Hamza Johari: Kikatiba, nafasi ya Nchimbi ilikoma baada ya kuvuliwa uanachama CCM

Huyu mwanasheria au mhasisheria? Senzi kabisa chawa mkubwaa.
 
Lakini pia katiba ya chama cha mauaji inasema kuwa kamati kuu itampeleka kwanza kamati ya usalama na maadili ili asikilizwe then NEC na mkutano mkuu UTA M DELETE! au katiba yao imebadilika?
 
Ushuzi tu kwaiyo Nchimbi ata asingejiuzuru migiro angetoka uko tumemfuta uanachama kwaiyo si makamu lol hii haipo duniani , makamu si mjumbe wa serikal za mtaa
 
Kosa kubwa la Kikatiba limefanyika hapa. Makamu wa rais alipoandika barua ya Kujiuzuru na akataja tarehe ya kujiuzuru ambayo rais mwenyewe akaridhia kwa maandishi ndio inasimama kisheria.

Ajabu ni kwamba rais mwenyewe kenda kuitisha kikao cha Chama chake na kufanya maamuzi dhidi ya mamlaka alotumia kukubali kujiuzuru kwa Makamu wake tarehe ilotajwa kwa kumfukuza Uanachama wa chama tawala. Hapa rais kaji contradict mwenyewe.

Ililtakiwa kuchukuliwa ile barua ya rais kukubali kujiuzuru kwa Nchimbi tarehe ilotajwa na sii maamuzi ya Chama ambayo yanapingana na barua ya rais.
 
Lakini pia katiba ya chama cha mauaji inasema kuwa kamati kuu itampeleka kwanza kamati ya usalama na maadili ili asikilizwe then NEC na mkutano mkuu UTA M DELETE! au katiba yao imebadilika?
Walivyoweka mbele madaraka wameshindwa kuvumilia hizo siku zilizobaki ifike 4 Sept, wamemchinja fasta
 
Someni barua ya uteuzi iliyotoka juzi ya wakuu wa mikoa. Kuna yule Chacha wa Tabora aliyekuwa amepewa uongozi ndani ya CCM, barua ile ya Ikulu ime refer uteuzi wake wa CCM kwa mtu aliyeenda kuchukua nafasi yake ya uRC. Nikashangaa sana maana nafasi aliyopata ndani ya CCM siyo nafasi ya utumishi wa umma.

Kuna shida kubwa katika mfumo wa utawala ndani ya Tanzania na nafikiri nguvu za ziada zinatumika kutuaminisha CCM ndiyo serikali na dola na hakuna tunachoweza kufanya.
 
🤣😂🤣😂
 
Katiba mpya inabidi iruhusu mgombea binafsi na iondoe hii habari ya wabunge, madiwani nk kuwa watumwa wa vyama. Kwamba wakifukuzwa uanachama basi na nafasi zao serikalini zinakoma.
 
Nafasi ya umakumu igombaniwe tutoke kwenye mfumo wa teuzi
 
Ndijembi Nani amepigia kura? Makamu wa Rais Lazima achaguliwe na Kwa kura
"Rais ambaye hajawahi kugombea,ilitokea marekani itatokea na huku" by Tumia akili

What if mama akajiuzulu kwa kashfa ya umwagaji damu October 29,na shinikizo la ICC!!?

Na hivi majuzi alianza kabisa kusema anatamani kupumzika!

Pia mchengerwa akisema mama samiah atakumbukwa kwa mengi!

Huoni kama anaaga kabisa!!?

Huoni "origina plan in and out itakua imetimia!!?

Ndejembi sio mtarajiwa wa rais ambaye hajawahi kugombea!!?

Nawaza TU!!!
 
Nimegundua kwanini viongozi walio wengi wa CCM wanakufa mapema na wanakufa vifo vibaya!
1. Lowassa
2. Nyerere
3. JPM
4. Mkapa
5. Deo
6. Lukuvi
7. Ndugai
8. Mhagama
9. Saa100...2027
10. JK....2027 ( HIV)
11. Sabaya... 2026
12. Kabudi ....2026
13. Mwandri.....2027
14. Wassira ...2026
15. Chatanda... 2027 ( HIV)
16. Msukuma .... 2028
17. M. Babu.... 2027
18. Mongela J.....2028
20. Chacha ... 2029 ( HIV)
21. Migiro.... 2027
22. Makonda ... 2030.. (HIV)
23. CDF wa sasa... 2028 Ajali
24. Kanda maalum wa sasa Dar...2030
25. Nape ....2027
26. Kinana ...2027
27. Makamba Jn ..2027
28. Makamba Sn....2026
29. Abdul 2028 (HIV)
30. Chalamila 2027 (stroke)
31. Tulia 2030
32. Mwema 2027
33. Siro 2028
34. INEC Mkurugenzi 2027
35. Chande 2027 ( Moyo)
36. M. Nasonde 2027 ( HIV)
37. J. sajini 2027
38. Sigala 2027 ( HIV)
39. Maria .N. 2026 (Uzee)
40. Sefue 2027
 
Akifukuzwa uanachama urais wake unakoma.
Mkuu, Katiba imebakwa mchana kweupe. Sifa za kuchaguliwa/kuteuliwa na sababu za kuachia kiti ni mambo mawili tofauti hayapaswi kuchanganywa. Angalia upande wa speaker.
 
 
Nchimbi si mhalifu, apewe haki yake ya kikatiba vinginevyo " kujiuzulu" kuwe ni kosa kikatiba.
 
 

Attachments

  • 6386065-b1d9b08351cc340ca659591b16278226.mp4
    21.4 MB
Huyo ndo yule mwenye digrii ya sheria kutoka Ukraine? 🤣
hahaha_ kuna kipindi halima mdee alivuliwa uanachama CDM lakini akaendelea kuwa mbunge. Hatuna utamaduni wa kufuata katiba
 
Kelele...hayatuhusu kwanza.

Kipaumbele chake si kumleta Mange Tanzania..Kesi imefikia wapi?!!!!
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…