Hamza Mohamed Hassan azikwa makaburi ya Kisutu, Dar. Mazishi yachelewa kutoa risasi zilizokwama mwilini

Usiku katoka kukesha bar asubuhi anasema anampigania Allah tusichanganye pombe na mambo ya dini pombe ni haram kwa mujib wa Quran yeye anajidai mtu wa jihad huku ana swaki na beer [emoji482]
Mtoto mjinga ni hasara kwa mamake Toto la hovyo sana hilo
 
Mauaji yalisababushwa na polisi kutotenda haki, dhuluma! Mungu amuweke Mahali Pema Peponi
Hamza alisema anampigania Allah, hiyo yako ya kudhulumiwa umeisikia wapi?

Hamza yuko kwenye records akisema anampigania Allah.

Hamza ni Gaidi hilo liko wazi.

Serikali iwaondolee ndugu zake wasomali uraia, warudi kwao somalia wakauane.
 
Not at all, hakuna mahali ameacha MAANDISHI kuwa anampigania Allah. Amekufa akitoa indication All pointing to protest against police brutality
Hakuacha maandishi, ameonekana kwenye records za video akisema anampigania allah, hilo liko wazi.

Hiyo ya pointing police brutality alikwambia lini ama aliisema wapi?

Magaidi mnajaridu kumtetea gaidi mwenzenu wakati alisema mwenyewe anampigania allah.

Hata mumtetee vipi hamza ni gaidi na amesema mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…