Tangawizi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 6,696
- 6,734
Magaidi wafichuliwe na washughulikiwe kama wale wa Kibiti na Mozambique as we are speakingAcha stori zako ndugu
Hamza ni kada mtiifu na chama tawala kinamtambua, watuambie wamemtenda nini?
Gaidi gani anamiliki silaha kihalali?
Ina maana mnataka kuivua nguo serikali kwamba ilifanya poor vetting ndo maana Hamza akaruhusiwa kumiliki silaha??