Hamza Mohamed Hassan azikwa makaburi ya Kisutu, Dar. Mazishi yachelewa kutoa risasi zilizokwama mwilini

Hamza Mohamed Hassan azikwa makaburi ya Kisutu, Dar. Mazishi yachelewa kutoa risasi zilizokwama mwilini

Acha stori zako ndugu
Hamza ni kada mtiifu na chama tawala kinamtambua, watuambie wamemtenda nini?
Gaidi gani anamiliki silaha kihalali?

Ina maana mnataka kuivua nguo serikali kwamba ilifanya poor vetting ndo maana Hamza akaruhusiwa kumiliki silaha??
Magaidi wafichuliwe na washughulikiwe kama wale wa Kibiti na Mozambique as we are speaking
 
Ninapata shida sana kuona kwamba polisi wetu wanakosa weledi kabisa inamaana polisi wetu hawanaga nafasi ya kumsihi mtuhumiwa kujisalimisha kwa kutumia kipaza sauti kabla ya kufanya maamuzi ya kuuwa? Alitakiwa apewe nafasi japo ya kusikilizwa sababu iliyopelekea kufanya uamuzi ule jambo lakumfikiria kila mtu gaidi sio poa kabisa. Inabidi tujifunze kwa wenzetu
 
Not at all, hakuna mahali ameacha MAANDISHI kuwa anampigania Allah. Amekufa akitoa indication All pointing to protest against police brutality
Yes, his message was very clear, IGP and his staff to stop brutuality. He had a golden chance to kill at least 200 inocent and unarmed civiliants but he did not! RIP Hamza!
He came to open space and surrendered the battle but they shot him, why?
 
Hamza ni mpumbavu...

Sio shujaaa...
pale sarenda yanapita madaladala ya kwenda tegeta n.k hayo madaladala yanajaza sana abiria angeamua kuchagua daladala moja akapiga vyuma vya kutosha leo tungesema hamza ni gaidi. mbili.pale mbele ya sarenda kuna benk ya stanbic kama angekuwa jambaz angeingia pale na kumwaga vyuma vya kutosha le tungesema mengine. tatu,kama hamza angekuwa chizi basi asingechagua wa kumtwaga vyuma angepiga yeyote aliyemuona mbele yake.
 
Mauaji yalisababushwa na polisi kutotenda haki, dhuluma! Mungu amuweke Mahali Pema Peponi

kamandaa,umechoka umekata tamaa mpaka akili imelala.

[emoji16][emoji16][emoji16]anyway gaidi kamaliza kazi aliyodhamilia,kuhusu nini anapigania Mungu ndiye atazungumza naye vizuri siku ya hukumu.

kwa sasa hata polisi wakipata ajali,utasema ni malipo kwa dhulma zao,as if hakuna wengine wanapata ajali.

man up mzee,maisha ni zaidi ya udiwani au ubunge uliporwa na ccm.
 
Not at all, hakuna mahali ameacha MAANDISHI kuwa anampigania Allah. Amekufa akitoa indication All pointing to protest against police brutality

ndio maana tunakwambia siasa huziwezi mzee.

huyu simu imefunguliwa,kilichokutwa huko hata uonyeshwe hapa utasema ni cha kuchongwa na sirro,kifupi umekufa akili kwa mateso unayopewa na ccm.
 
Probably Mwamwindi had an issue with the RC. Ingawa njia ya kutatua tatizo haikuwa sahihi kabisa, Wale vijana aliowauwa Hamza walikosa nini?
Hao vijana ni wahanga tu wa mfumo wa dhulma uliopo ndani ya PT.

Kleruu naye akiwa mhanga wa mifumo isiyoshirikishi ya Ujamaa.
 
Amezikwa usiku saa 2:30 , tarehe 29/8/2021 , badala ya Saa 7 mchana kama ilivyotangazwa awali kutokana na ugumu wa kazi ya kutoa risasi zilizokwama mwilini mwake , hayo yamesemwa na msemaji wa familia Abdulrahim Hassan

Mwili wake umeswaliwa katika Msikiti wa Mamuur Upanga .

Mwili_wa_Hamza_Mohammed_aliyefariki_dunia_katika_tukio_la_majibizano_ya_risasi_kati_yake_na_je...jpg


Chanzo : Mwananchi
 
Back
Top Bottom