Hamza Mohamed Hassan azikwa makaburi ya Kisutu, Dar. Mazishi yachelewa kutoa risasi zilizokwama mwilini

Hamza Mohamed Hassan azikwa makaburi ya Kisutu, Dar. Mazishi yachelewa kutoa risasi zilizokwama mwilini

Luangalila pole sana kwa msiba usilie utazoea.kikubwa tuache dhulma

marehem kadhulumi nafsi za vijana wadogo kabisa wasio na hatia,kwa kumpigania allah,wenzake wakaja kuchukua nafsi yake nayeye.

kilio kimebaki kwa wazazi wake,wanajiuliza walimkosea nini allah,mpaka hamza kafa kifo cha kipumbavu na fedheha kama mbwa namna ile!!!
 
Afadhali umesema mafundisho ya dini si ya Mungu! Maana si kila cha dini ni cha Mungu!
 
Political stability hamza hana cha kupoteza.amejitoa muhanga kudai haki yake.ule ni ujasiri .tukienda hv dhulma itapungua
Ndio Mkuu ulisemalo ni kweli inafika muda wananchi uvumilivu unawashinda Polisi wa nchi nyingi ni Vimeo Sana Mkuu,
Kama unakumbuka Yale ya Sudan Polisi kumkingia kifua yule dhalimu Omary Albashir
Lakini mwisho wa siku wakonekana takataka wajeda wakachukua nchi Kwa nguvu
Sijui sahizi wanaishije wanafiki wale au walipinga u turn kuendana na watawala
Vizabi zabina wale hawana wanalolisimamia kazi Yao kupokea amri za wanasiasa uchwara na kuumiza wananchi bila kutafakari maumivu ya wananchi wa hali ya chini

Shame to all Policemen!
 
Hata wewe utakufa siku iwe kwa korona ama moyo. Unawezakufa ukiwa umejikunyata kinyonge lakini haitokusaidia usife. Fikiria kuna watu waliishi zaidi ya miaka 90 kama Mugabe lakini mwishoe walikufa na kuzikwa. Chaugua tu unavyokufa - kishujaa ama kinyonge. Usimwone Hamza mjinga kwa kufa kishujaa.
Upambavu wake, umemfanya afe kijinga , na kuua askari wasio kuwa na hatia..

Kama ka dhulumiwa, yeye sio kwanza kudhulumiwa hapa duniani.. Ona sasa, anaicha familia yake kwenye machungu, hana tofauti na mtu aliye jinyonga kisa kaachwa na mpenz wake.
 
Back
Top Bottom