Hamza Mohamed Hassan azikwa makaburi ya Kisutu, Dar. Mazishi yachelewa kutoa risasi zilizokwama mwilini

Hamza Mohamed Hassan azikwa makaburi ya Kisutu, Dar. Mazishi yachelewa kutoa risasi zilizokwama mwilini

Nimeangalia mpaka mwisho na sikuona hayo "maelfu" kabisaa. Nyie uchwara wa ufipa acheni kutafuta kiki kupitia mazishi ya Hamza.
Yaani sijui kwa nini tunahubiri chuki. Maoni ya humu yanachukuliwa ama kutoka ufipa au lumumba; yaani misamiti ya chuki tu, eti chagademaa, sukumaagang nk.
Nikiona mwelekeo huu nasikitika sana. Kwa nini?

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Mkorinto siku ile polisi baada ya kumpiga na mabomu ya machozi walikuwa wanaweza kumpiga risas ya mguu ili kumkamata.lakn wakaamua kumuuwa.msema peke mshindi.ILA HUU NI UKUMBUSHO TU KUWA JASHO LA MTU HALIENDI BURE.
 
Back
Top Bottom