Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
tunamshukuru sana kwa alichokifanya
Nyie ndio mliohudhuria tamasha wakati tuna omboleza polisi walio uwawa na Hamza sheikh Mohamed na marehemu polisi wengine wakiwa bado wanazikwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tunamshukuru sana kwa alichokifanya
Nimeangalia mpaka mwisho na sikuona hayo "maelfu" kabisaa. Nyie uchwara wa ufipa acheni kutafuta kiki kupitia mazishi ya Hamza.Video ina more than 3 hours wewe umeangalia mpaka mwisho au umekurupuka tu kujibu?
Apumzike Kwa AmaniSanamu la Hamza linajengwa wapi jamani?
Umefuata hiyo link ?Hao "maelfu" mbona hawaonekani sasa?
Allah ahitaji wapumbavu kumpigania. Hivi huyo Allah tunayeambiwa ana nguvu kuliko kitu chochote anapaswa kupiganiwa na wanadamu kweli au ni gea tu hana hiyo nguvu?Hamza anajinasibu kumpigania Allah, jamaa lilikua kichwa maji jamani
Gaidi yuko Ufipa.UjiNga mtupu ambao hauendani na umri wako au ukiwa ccm kichwa kinakosa akili
Usiku mzima wote huu badala utuambie kwann ccm kuna magaidi we unaleta porojo
Hamza anajinasibu kumpigania Allah, jamaa lilikua kichwa maji jamani
Hahahaaaa.........!Hamza ni kada wa CCM full stop mengine mbwe mbwe tu.
Shahidi wa nini? So unataka familia zingine zizalishe magaidi?Tunaomba familia nyingine itupatie shahidi Hamza mwingine
Mmekumbuka kumzika na kadi yake Pendwa ya CCM?Nimeangalia mpaka mwisho na sikuona hayo "maelfu" kabisaa. Nyie uchwara wa ufipa acheni kutafuta kiki kupitia mazishi ya Hamza.
Nimeangalia mpaka mwisho na sikuona hayo "maelfu" kabisaa. Nyie uchwara wa ufipa acheni kutafuta kiki kupitia mazishi ya Hamza.
Hongera kwa kufuatilia mazishi ya kiboko wa Polisiccm!Nimeangalia mpaka mwisho na sikuona hayo "maelfu" kabisaa. Nyie uchwara wa ufipa acheni kutafuta kiki kupitia mazishi ya Hamza.
Yaani sijui kwa nini tunahubiri chuki. Maoni ya humu yanachukuliwa ama kutoka ufipa au lumumba; yaani misamiti ya chuki tu, eti chagademaa, sukumaagang nk.Nimeangalia mpaka mwisho na sikuona hayo "maelfu" kabisaa. Nyie uchwara wa ufipa acheni kutafuta kiki kupitia mazishi ya Hamza.
Ilivyo muislam akifariki hatakiwi kucheleweshwa kuzikwa! Hata Ikiwa usiku!Mazishi yalifanyika usiku.
Jiulize kwa nini?
Kuna bikra zinamsubiri...allah AkbaruSawa,ataenda peponi
Hukwenda kumzika kada mwenzio.?Hao "maelfu" mbona hawaonekani sasa?
Ndio.Umefuata hiyo link ?