Hamza Mwapachu, Abdulwahid Sykes na Chief Michael Lukumbuzya

Kwezisho,
Wala hilo la Lofchie halipo katika niliyoeleza.


Michael Lofchie na mimi Chuo Kikuu cha Iowa
Samahani Sheikh Mohamed Said, suala langu ni kwa nini aliachia ngazi wiki sita baada ya uhuru? Mbona sababu inayotolewa ya kuijenga TANU bado ina mashaka kwangu?
 
Samahani Sheikh Mohamed Said, suala langu ni kwa nini aliachia ngazi wiki sita baada ya uhuru? Mbona sababu inayotolewa ya kuijenga TANU bado ina mashaka kwangu?
Samahani Sheikh Mohamed Said, suala langu ni kwa nini aliachia ngazi wiki sita baada ya uhuru? Mbona sababu inayotolewa ya kuijenga TANU bado ina mashaka kwangu?
Samahani Sheikh Mohamed Said, suala langu ni kwa nini aliachia ngazi wiki sita baada ya uhuru? Mbona sababu inayotolewa ya kuijenga TANU bado ina mashaka kwangu?
Samahani Sheikh Mohamed Said, suala langu ni kwa nini aliachia ngazi wiki sita baada ya uhuru? Mbona sababu inayotolewa ya kuijenga TANU bado ina mashaka kwangu?
Kwezisho,
Sijui kilipitika kitu kipi.
 
Huwezi ukumtusi katika maandishi, pembeni unamsumanga na kumtusi sana ukitawanya ile sumu watu wamchukie na wachukiane! Soma hapa chini halafu unishawishi kuwa wanaomfahamu Mwalimu wamefurahia maneno hayo. Nishawishi kuwa Familia ya Mwl ikisoma haya itafurahi. Nishawishi kuwa maneno haya yangeandikwa dhidi ya Abdul Sykes ungefurahi. Wewe siku zote humwendea mbio Nyerere kwasbabu bila yeye utaandika nini kuhusu Abdul Sykes? Na hilo ni kosa, Abdul Sykes hawekwi mizani moja na Nyerere. Ndio maana wengine tumeamua sasa kukuonyesha kuwa Abdul si size ya Nyerere wala baba yake
 
Kwezisho,
Sijui kilipitika kitu kipi.
Hapa tunawapa wana historia ni fursa ya kudadavua na kuangalia sababu halisi za hili tukio, sio kawaida kutokea na linahitaji kuangaliwa kwa mapana. Je huwezi kutusaidia kujua kiini cha hilo jambo?
 
Nguruvi3,
Huko kote unahangaika kitabu cha Abdul Sykes nia yangu
ilikuwa kusahihisha historia rasmi iliyowaondoa wazalendo
wengi waliopigania uhuru wa Tanganyika.

Kweli wako wanaokasirika kwa historia hii lakini leo wapo
wengi wanaofurahi kuwa historia ya kweli imeandikwa.

Angalia picha hiyo hapo chini niko na watafiti wanaoandika
historia ya Mwalimu Nyerere.

Hawa wanatambua kuwa mimi najua.


Kushoto: Prof. Saida Haroub Othman, Prof. Issa Shivji Mwenyekiti wa Kigoda Cha Mwalimu Nyerere
 
Hapa tunawapa wana historia ni fursa ya kudadavua na kuangalia sababu halisi za hili tukio, sio kawaida kutokea na linahitaji kuangaliwa kwa mapana. Je huwezi kutusaidia kujua kiini cha hilo jambo?
Kwezisho,
Hapana sina nilijualo katika hilo.
 
Mohamed Saidi sina tatizo na historia yako unayoandika. Zimeandikwa nyingi na ni jukumu la wasomaji kuamua wenyewe. Sipangani na historia hata siku moja

Ninachokataa ni mambo yafutayo
1. Kuficha ukweli ili kupumbaza baadhi ya watu
2. Kupotosha umma makusudi kabisa
3. Kashfa na kejeli
4. Kuchomeka mbegu mbaya na chafu za ubaguzi

Tumekuwa katika mijadala nawe siku nyingi kuhusu haya.

Baada ya hapo wengine tukakaa kimya kwani hakuna jipya la kuongea nawe.
Ni yale yale, nimekula na wazungu, hiki na kile

Kilichonirudisha ni kashfa zako dhidi ya Nyerere ukitaka uwe sawa naye na Abdul Sykes awe zaidi ya Nyerere.

Sina tatizo ukipamba watu wako, lakini si kwa gharama ya Nyerere

Unawaweka Nyerere na Abdul katika mizani kama ulivyowahi ktk vitabu vyako.
Sasa hivi unawaweka katika mizani kisha unawapa maksi na matusi hapo hapo

Nakuambia wazi bila kuuma maneno, huwezi kumlinganisha Nyerere na Sykes

Na wewe pamoja nao hamuwezi kushusha pazia la mwalimu katika historia

Hatuna interest na picha za album yako tunataka haya

1. Katiba ya chama cha siasa iliyowahi kuandikwa na Familia ya Sykes 1929-1950

2. Mkutano ambao TANU ilitajwa kabla ya kuzuinduliwa na Nyerere(kadi namba 1)kwavile jina alikuja nalo Abd Sykes kutoka Burma, moja tu
 
Mzee wangu Mohamed Said, mengi unaandika mazuri, lakini mengi unaandika uongo, Nitakujibu hapa hapa upotoshaji wako, lakini mengi nimekujibu kupitia kitabu changu kiitwacho Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi.

Dowload hapa chini sasa..

https://www.amazon.com/Ujasusi-Kiuc...e=UTF8&qid=1465766645&sr=8-1&keywords=Yericko

Kwa waliopo Dar wanaohitaji kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi kwa mauzo ya jumla na rejareja fika Posta mtaa wa Samora Jengo la NHC ghorofa ya kwanza duka la House of Wisdom Bookshop,

Au piga simu 0715865544. / 0755865544 Utaletewa mahali ulipo

Bei Rejareja ni Shilingi 30,000 na Bei ya jumla ni 25,000

Wale waliopo nje ya Tanzania, nunueni kupitia mtandao wa Amazon.com
 
Nguruvi3,
Hapana si na Wazungu ni maprofesa wa historia wakubwa katika
African History duniani.

Suala si kumlinganisha Abdul Sykes na Julius Nyerere.

Suala ni kuwa haiwezekani ikaandikwa historia ya TANU na uhuru wa
Tanganyika jina la Abdul Sykes likawa halipo.

Hapa ndipo nilipotofautiana na Historia ya TANU ya Chuo Cha Kivukoni.

Ingekuwa sikuandika kitabu cha Abdul Sykes hayo yote niliyoeleza hapa
ungeyajulia wapi?

Wewe huna ''interest,'' na picha hizo kwa kuwa kifua chako kinawaka moto
kwa husda.

Lakini picha hizo zinarushwa kwingi na wasomaji na mwisho hurejea
kwangu baada ya mzunguko mrefu.

Katiba ya TAA 1950 haikuandikwa na Abdul peke yake.
Iliandikwa na TAA Political Subcommittee na wajumbe wake nimekutajia.

Kwa nini hujiulizi iweje Kivukoni wasiyajue haya?

Unataka darsa la nini jopo la Kivukoni lilisema walipoletewa ''notes,'' za
Abdul Sykes kuhusu historia ya TAA na TANU?
 
Yericko,
Hongera kwa kuandika kitabu.
Unastahili pongezi kwani uandishi wa kitabu si kazi nyepesi.

Ungeweza kusema ''sisemi kweli,'' ni lugha ya kistaarabu kuliko
kuniita ''muongo.''

Ushachapa kitabu iko miiko yake katika lugha na semi lazima
ujifunze kwa kuwa utaalikwa kuzungumza kwingi.

Usende huko ukatufedhehesha.
 
Katiba ya TAA 1950 haikuandikwa na Abdul peke yake.
Iliandikwa na TAA Political Subcommittee na wajumbe wake nimekutajia.
Sijaamini historia ya kivukoni, in fact niliwahi kuhoji hata kabla hujaandika kitabu

Na wala sikuamini Dar iliyokuwepo haikuwa na historia.
Haya sikUyajua katika vitabu vyako, nimejifunza siku nyingi sana.

Nimevisoma vitabu vyako na vya wengine ili kupata mizania nzuri, ndio hasa msingi wa kuweza kukubana nikitaka. Nina background sikusubiri masimulizi uya microfilm

Historia yako imejikita zaidi Tandamti, una resource za kutosha kuipanua
Hukufanikiwa kuipanua, uliiandika kwa jicho la dini kuliko historia

Ukasahau, dini haihitaji historia ili iwepo, ilikuwepo kabla

Ulitumia historia kama platform ya kuonyesha kuna waliopigania uhuru haswa
Kwa mtazamo huo, nikilinganisha na wengine nakusoma katika jicho la ubaguzi

Unajua wazi Nyerere alikuwa educated kuliko Abdul
Unajua harakati zilikuwepo bila mweleko.

Unajua chini ya uongozi wa Nyerere kilichomshinda Kleist na Abdul kwa miaka takribani 20 Nyerere alikimaliza kwa miaka 10. You know that

Njia ya mkato uliyotafuta baada ya ile ya dini kugonga mwamba ni kumfanya Nyerere public enemy, hilo limekwama, unakuja na dharau na kumdhalilisha.

Lete ushahidi wa katiba iliyoandikwa na Sykes, hatuhitaji bla bla za
subcommittee n.k. Lete katiba aliyoandika Kleist au Mwanae Abdul au wote

Lete ushahidi wa mkutano aliofanya Abdul kabla ya Kambarage hajasema sasa ni TANU.

Mwisho sina interest na picha zako hazi add value katika knowledge yangu.

In fact unazitumia kuziba ombwe la inferiority complex ulingane lingane...
Unadhani kunywa chai na mzungu it's a big deal! lol
 

Umekazana kutapika "kumtusi Nyerere" lakini mpaka sasa hujaweka nukuu hata moja ya kuonesha hilo. Unabwabwaja na kuhororoja bila mpango wakati Alama Mohamed Said anakupa vitu kimpangilio na "citations" na mapicha juu.

Wacha kupinga hewa, njoo na vitu "solid", unajizidishia maradhi bure bilash.
 
Nguruvi3,
Ushahidi wa TAA Political Subcommiittee nimekuwekea ''source,'' mbili na
zote umezikataa.

Nimekuwekea taarifa ya Abdul Sykes (1951) mwenyewe na ya Judith
Listowel
katika kitabu chake, ''The Making of Tanganyika,'' (1965) na
ya Cranford Pratt, ''Critical Phase in Tanzania,'' (1976).

Hawa wamezungumza kuhusu hiyo katiba kabla yangu.
Hayo mengine sina haja ya kukujibu kwa kuwa umeghadhibika.

Kuna mtu simjui kaniletea msg ningependa na wewe uione:
''shkrn sheikh inshaAllah. umefanya wajibu mkubwa sana.
tunasoma tupo pmja. rejea zote fanunuzi zote zipo sahihi
lugha vinakidhii hadhi kubwa sheikh shkrn kwa muda uliotumia
kukusanya hizii data...''
 
Mzee Muhamed unajua kila binaadam amepata malezi tofauti ktk udogo wake mpaka ukubwani.
Kuna wengine wamekosa kabisa malezi sikuhizi wanaitwa watoto wa mitaani.
Kwahiyo kuitwa MUONGO usishangae pengine nikatika hao watoto wa mitaani.
Mtu aliekosa malezi ni mtu anaeweza kutamka lolote lile bila kijali nani anamtamkia au kufanya lolote bila kujali athari zake.
Kutunga kitabu hakuondoi makuzi machafu ya mtunzi.
 
Sahimtz,
Nimekusoma.
 
Nimemuwekee matusi kwa Nyerere mara 4, hajajibu hata moja
 
Hayo ndiyo unataka kusikia ukisifiwa hutaki kuelezwa ukweli. Huyo wa msg ndio wa blog yako, na nilishakuambia waje hapa tuzungumze. Mohamed, tatizo lako una bragging nyingi katika kuficha inferiority complex.

Kuhusu katiba ya chama chochote cha siasa, hatutaki maelezo, weka ushahidi hapa wa kuonyesha uwepo wa katiba hiyo. Umehamisha goli, siyo microfilm tena iliyonyofolewa

Umesema ya Nyerere alikopi, nasema onyesha ya Abdul aliyo kopi nitashukuru

Kuanzia mwaka 1929-1968 hakuna Sykes yoyote aliyewahi kuandika, kudurusu, kunukushi au kukopi katiba. Hakuna ! Hawakujua, si kosa hata kidogo

Mjanja mmoja aliyafahamu haya kutoka Scotland, akafanya kazi ya miaka 20 kwa miaka 10, akawaongoza wakashinda kwa pamoja. Hakuwa Abdul Sykes
 
Nguruvi3,
Kama kujua ni ''bragging,'' hakika nakubali.
Si unaona mwenyewe darsa ninalotoa hapa?

Nimeandika kitabu kisha nimeshiriki katika mradi wa Oxford University
Press na Harvard wa kuandika Dictionary of African Biography (DAB)
nk. nk.

Naijua historia ya TANU kama unapinga pinga kuiburudisha nafsi yako.

Hilo la ''inferiority complex,'' umelirudia tena nilikuwa nalipuuza sasa
nakuwekea darsa usome unijue kama vipi nitapita huko kote kisha niwe
na ''inferiority complex.''

Ingia hapa:
Mohamed Said: FROM KIPATA TO CAPE TOWN AND OTHER ...

Hayo mengine wala sina sababu ya kukujibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…