Kasome mabandiko yako vizuri ufanya uhariri. Kama hutafanya hivyo nitatumia maneno yako kuonyesha ulichosema
Ndiyo maana nimekuomba uonyesha mkutano, mkusanyiko mmoja tu uliotokea chini ya jina la TANU kabla ya Nyerere kutangaza
Nyerere alikuwa katibu wa tawi kubwa la Tabora, Abdul makao makuu. Hwakujuana hata kwa habari tu. Je, Mkutano wa 1948 Nyerere alihudhuria au hakuhudhuria? Abdul alikuwa na nafasi gani wakati huo? Nyerere alihudhuria kwa sifa zipi?
Haitoshi kutueleza kuwa katiba iliandikwa hapo. Mpaka itoke huko iliko, katiba ya chama iliandikwa na Julius. Nyerere. Tunashukuru kwa mchango wa nyumba, hilo haliondoi umuhimu wa Nyerere au mabadiliko aliyoleta ambayo wenyewe waliyakubali na kumpa kadi nambari one (number uno)Nyerere hakuwaogopa akajitosha na kuongoza
Unaona umuhimu wake lakini! Unaposema si muhimu tena inatia shaka na dhamira yako
Wakati huo Nyerere alishamaliza Edinburgh na ndio maana nkueleza elimu iliku muhimu kubadili siasa, hata Abdi alijua hilo