Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
- #141
Mohamed , Pasco alisema kuwa jitihada zako ni kuhakikisha unamdhalilisha Nyerere.
Ukaomba ushahidi, nikauweka mara tatu kwa maneno yako ''Nyerere si muhimu tena katika historia''
Ingawa umesema ni kwa mujibu wako tunajua nia yako dhidi ya Nyerere.
Una chuki dhidi ya Nyerere , unaandika na kuficha ukweli. Unamtukana kwa lugha laini na unajua kwa muumini unafiki kauzungumzia mwenyezi mungu
UtasemaNyerere alimfukuza Sheikh Amir, hutaeleza sheikh alikuwa nafanya nini misikitini dhidi ya Nyerere.
Hutasema Mwinyi alimwendea sawa Kassimu Juma, utatumia neno serikali.
Hata siku moja hujaandika Kikwete kamfunga Ponda, unatumia serikali.
Ikifika kwa Nyerere, si serikali ni mtu.
Mohamed, Nyerere ni figure ambayo huwezi kuiwekea katika mizani na yoyote katika nchi hii, Afrika na Dunia. Nyerere anabaki kuwa Nyerere. Period!
Amebadili harakati zikazaa matunda. Ameandika katiba ya chama na Nyaraka Hadi zitakapopatikana nyingine, ukweli, alibadili siasa kwa elimu na utaalamu.
Nyerere amewakuta, akawaongoza na kuongoza Taifa miaka zaidi ya 20.
Huwezi kudharu mchango wake na huwezi kufuta historia hiyo! Nitty gritty
Kuhusu majadiliano,kufunzwa adabu ni suala moja, kutumia mafunzo ni suala jingine na kuelewa mafunzo ni jingine.
ungekukwa umefunzwa adabu usingemtukana Nyerere kwa ''semantics''.
Ndiyo maana mimi situmii ''semantics' nakueleza ukweli.
Ndio maana hatutaki kuwa wanafiki tunasema wazi
Siwezi kuwa mshenzi wa kudharau mchango wa mzee yoyote yule aliyepigania uhuru wa nchi hii popote alipo, mwenyezi awarehemu waliotangulia
Siwezi kuvaa vazi la chuki na upumbavu kudhalilisha mzee au mtu yoyote wa nchi hii popote alipo kwa lugha yoyote.
Pazi la Nyerere haliwezi kushushwa, anazungumzwa Dunia kila siku
Unaweza kuwa na chuki na Nyerere ni haki yako, lakini chuki hizo si sehemu ya historia ya nchi hii. Ni chuki zako moyoni na zitafutie dawa, historia si mojawapo
Narudia tena, Kyaruzi, Kidaha, Chaurembo, Sykes, Mkwawa, Mirambo, Selengie n.k. wana nafasi zao katika nchi hii, tyunawashukuru. Nyerere ana nafasi yake ambayo haifutwi kwa pazia la Abdul hata siku moja. Ishi na uchungu huo
Abdul hakuwahi kuingia baraza lolote la utawala wa nchi hii.Ni ukweli.
Hakuwahi kutawala nchi hii hata kwa dakika moja, ni ukweli.
Unaposema anafunga pazia la show ya Nyerere ni matusi!
Nguruvi3,Mohamed , Pasco alisema kuwa jitihada zako ni kuhakikisha unamdhalilisha Nyerere.

Tunaweza hapa tukaenda hivi hivi hadi wasomaji wakawa taaban.
Wewe umesema na mimi nimesema na wasomaji wametusoma.
Sitakuuliza kama umekubali kuwa wazee wangu waliandika katiba.
Kwangu mimi kubwa ni kuwa nimeweka sawa historia ya TANU.
Baada ya hilo pazia nimelishusha.