Hamza Mwapachu, Abdulwahid Sykes na Chief Michael Lukumbuzya


Hao uliowataja wameandika historia ya dini na wamejipambanua hivyo, tofauti yako wewe umeandika historia ya dini Kisha unataka kutuaminisha kuwa ni historia ya kweli ya Tanganyika.
 

Huo ni mtazamo wako na ndio maana unafanya rejea ya kitabu chako mwenyewe. Nikuhakikishie tu kwamba yeyeto mwenye mtazamo flani hawezi kushindwa kuandika na akawafurahisha kundi alilokusudia limsikilize hasa kundi la itikadi yako ambalo hupenda kumeza pasipo kuchambua japo kwa kutumia ulimi tu.

Hata wewe umetumia mbinu hiyo na kweli umewakamata hapo! Sababu wengi tunawafahamu walivyokuwa na uvivu wa kusoma hasa mambo yasiyo husu dini yao na watu wao. Ni wagumu sana kujifunza mambo pasipo kuhusisha dini.
 
Uncle...
Inaelekea huijui historia ya Maji Maji hiyo info niliyoweka ni
info ''common'' inafahamika na kila mtafiti.

Hebu soma hapo chini:
''...one needs only to read the letter written by Chief Songea bin Ruuf at the time when he was mobilising his people for war while at the same time trying to cement alliances with other chiefs in Southern Tanganyika and across River Ruvuma in Mozambique. This letter written to Sheikh and Sultan Mataka bin Hamin Massaninga reads:

''Sultan Songea bin Ruuf writes: To the Shaykh and Sultan Mataka bin Hamis Massaninga. Greetings, etc. I am sending you a letter through Kazembe. We have received an order from God that the Europeans must leave the country. We are in the process of fighting them here. I believe that we have long since been reconciled,[so] send me your children, so that we may make an alliance. I had wanted to send you some cattle as a gift, but am not able to do so, as the war which God desired is continuing. Send me a hundred riflemen, and support me in storming the Boma (Songea).

I am also sending you a flask of the Prophet Muhammad, which contains the means for conquering the Europeans. Have no doubt about it, it possessed great power. And when we have taken the Boma (Songea), we shall go on the stations on the Nyasa together, you and I. Now, let us forget our old quarrels.

This bottle, with a da’wa, has been sent by Chinyalanyala himself, the war leader. He also sends the container (kombe), and sends you many greetings.

If your men will come, then Chinyalanyala himself will come and will give you many of the holy things.

Hassan bin Isma’il greets you.
Many salutations,

Sultan Songea bin Ruuf.” [1]

Hii ndiyo hali ya kusini ilivyokuwa wakati wa Maji Maji.

[1] C.H. Becker, ‘Material for the Understanding Islam in German East Africa’, Tanzania Notes and Records, No. 68, February, 1968, p.58.
 
Napendezwa sana , barza ni watu. Watumie lugha za stara tu hilo ndilo ombi.

Nilisharidhia mbona nikakuambia waje wageni tukae kitako tuyazungumze
 
Mudeer...

Uwanja huu ni wako mudeer...

Manta hofuuu...sisi tupo tunazid fyonza ilm....

Rumble Mudeer Rumble...!

Float like a butterfly Sting like a bee...

Kwako wewe tunacho cha kujivuniaa...Wallahi thuma wallahi tunachoo...
 
Napendezwa sana , barza ni watu. Watumie lugha za stara tu hilo ndilo ombi.

Nilisharidhia mbona nikakuambia waje wageni tukae kitako tuyazungumze

Sisi waislam lugha za stara kwetu ni ibadaa...

Tukiingea lugha za stara tunapata thawabu kwa Allah haza wa jallah...

Nguruvi3 kukumbushia kuhusu ile adhma yako ya kuandika kitabu kuzungumzia historia hii ambayo wew unasema inapotoshwa siyo kukukebehi na kukupa maneno ya kejeli...hata siku moja..!

Kukumbusha utimize ahad iwe nongwa?...aaah wacha bana mambo yako banaaa...

We namna gan wewe....

Its three years now comrade...twakuuliza what happened?...unashindwa hata na checkbob yericko?teh teh teh...
 

Nnahisi kama umekisoma kitabu cha Abdul Wahid Sykes. Maana unapita mulemule, kama hujakisoma basi utashangazwa kwa kuyakuta hayo uliyoyasema humo.

Nimekuja ku edit hii post, maana nnaona Alama Mohamed Said ameanza kukupa elimu bila khiyana kuhusu majimaji.
 
Nimekuja natoka Ulaya tena msomi, msomi ninakuja, nimetoka Ulaya nimesoma muda mfupi tu, jamaa hawa wa mjini Dar es Salaam kwa kweli
sijapata kuishi mjini, lakini jamaa hawa mara wakaniamini haraka
haraka sana. Wakaniamini haraka sana.

Katika muda wa miezi mitatu wakanichagua President wa African Association. Tanganyika African Association... Ndipo tukaanza sasa shughuli za kujaribu kuandika katiba mpya ya TAA kusudi tuipe madhumuni ya shahaba ya kuleta uhuru.

Mwaka uliofuata 1954 ndio tuka, kwa kweli mimi nilidhani tutachukua katiba tu wenzangu wakasema hapana, tukibadili katiba tubadili na jina

Tukahaingaika sana kupata jina na hao hao kina Abdul Sykes, jina lile hatukuligundua. Wao walikuwa wamelifikiria zamani wakina Abdul Sykes
hao. Walikuwa Burma alikuwa askari na kule waliwahi kufikiria
kuanzisha chama...

Kusema kweli wao waliwahi kufikiria kabisa Tanganyika African National Union.

Kwa hiyo wakati tunahangaika hangaika pale tuchukuwe jina gani tuchukue Tanganyika African Union wakasema hali itafanana na Kenya African Union. Watadhani nao ni Maumau. Tunataka kuanzisha Maumau yetu. Ndio wakina Abdul Sykes wakakumbuka jina lao walilokuwa wameliunda walipokuwa Burma, wakasema tuite Tanganyika African
National Union, ndio tukaanzisha.....
 

Huwachi vituko wewe?

Leo umewasahau kina Ritz, THE BIG SHOW na Spike Lee? Au unam miss kahtaan?
 
Mzee wetu ms waweza jibu maswali ya Nguruvi3 kabla atujaendelea na mnakasha?

Sasa wewe hapa unatafuta ugomvi buree,Ustaadhi Mohamed Said hana uwezo wa kujibu hoja kazoea kulisha makinda wasokuwa na uwezo wa kuchagua au chakula wanachopewa ikifika mahali watu kahoji kwa hoja nzito juu ya maandishi yake yenye utata mwanzo mwisho utimua mbio na sababu kedekede mara nilidarasisha chuo kikuu cha Lagos, akigeuka kushoto atakwambia hata Msikiti wa Manyema wanatambua kipaji chake na Sheikh Chaurembo anamtambua haya sasa na sisi tunataka kutambua uwezo wako maswali kiduchu tena kwa maandishi aliyoyaleta mwenyewe anakimbilia kwa wajukuu wa wapigania uhuru ebo kumbe huyu Ustaadhi mwepesi sana halafu anataka kumshusha Baba wa Taifa Mwl Nyerere kumlinganisha na msimamizi wa soko.
 
F.F...

Salaaam aleykum...

Nguruvi3 hana hata soni...hana hayaa...

Kwani yeye hajui popote alipo mwalimu wetu sisi tunaweka kambi?...

Chambilecho tunamuuliza kile kitabu chake alichokaahid three years ago kiko wapi?..anarusha ngumi hewanii...

Always tunamuambia kuwa yeye ni wa hum hum tuh...

Mudeer. Mohamed Said siyo size yake...
Huwachi vituko wewe?

Leo umewasahau kina Ritz, THE BIG SHOW na Spike Lee? Au unam miss kahtaan?
 
Uncle Jei Jei Mudeer kakuambia ukweli kuwa kaandika mchango wa waislam katika harakati za uhuru. Kumbuka kuwa kati ya wale watu walokuja kuweka watu sawa kwa ajili ya ukoloni walikuwepu missionaries so kwa akili ya kawaida tu ni kwamba waislam lazima wawe mbele kwa mambo makuu mawili, moja dini na nchi yao. Ndo maana walifanya harakati mpaka misikitini kwani waliona wanaonewa kama watanganyika na kwa upande mwingine kama waislam. Wakati huo wapo wakristo ambao wanaonya waumini wao wasijihusishe na harakati hizo kwani wakiona wao mambo yao yako sawa kama wakristo.
 
Maalim Mohamed Said assalam alaykum. Naweza kupata wapi copy ya kizungu ya kitabu chako? Please nisaidie maana maandishi yako kwangu ni burdani sana.
 
Mkuu Carlos ulikuwepo mnakasha mmoja mrefu sana miaka mitatu nyuma. Mkuu Nguruvi3 na hao wote anaolalamikia walikuwepo kiukweli ulikuwa ni mtanange wa nguvu mpaka Yericko alikiri kuwa si mtoto wa Nyerere. Sasa hawa nawaita waarabu wa pemba sisi tupate darsa ndo muhim
 

Dah, umerudi bila aibu? Tunaomba tupe ilmu kuhusu Cecil Matola, sisi sote tukifikiri ni mwanamme tulipomsoma atajwapo, wewe jana ukatufahamisha kuwa ni "mwanamama". Nakusihi tupe ilmu kuhusu huyu mwanamama aliyekuwa mbele ya kamdanasi ya wanaume enzi hizo hadi kufikia kuwa Mwenyekiti.

Tunasubiri.
 

Bibie FaizaFoxy nilitaka kuandika Mwalimu si mwanamama usikimbilie mambo madogo madogo ebo.
 
Maalim Mohamed Said assalam alaykum. Naweza kupata wapi copy ya kizungu ya kitabu chako? Please nisaidie maana maandishi yako kwangu ni burdani sana.
Makinda wa maalim Mohamed mnatapatapa tu mzee wetu kashindwa kujibu hoja za mkuu Nguruvi3 hapo juu ya yye na mwapachu nani mrongo?
 
Napendezwa sana , barza ni watu. Watumie lugha za stara tu hilo ndilo ombi.

Nilisharidhia mbona nikakuambia waje wageni tukae kitako tuyazungumze

Lugha za stara kama zile unazotumia wewe? Si ndiyo maana yake?

Naona juu huko ulianza kuomba poo na kuleta porojo eti za Alama Mohamed Said kuita watu!

Mimi nnakuitia hapa Mag3, Mzee Mwanakijiji, anaejiita Yericko Nyerere, Pasco and the likes, mkusanyane wote, mjadili hii historia na Alama Mohamed Said pekee, pia hamumuwezi hata chembe. Sana sana mtaanza lugha chafu tu.

Chambilecho, humu kwani tunapewa ilmu bila hiyana na nani mwengine zaidi ya Alama Mohamed Said?

Sisi tunafyonza ilmu tu, tofauti kubwa ni kuwa hao wanaotajwa ni wazee wetu tunaowajua amma wao amma watoto zao amma wajukuu zao.

Tunasoma na kupata ilmu na entertainment hususan pale unapokuja na maswali ya kebehi, huwa tunasubiri kwa hamu unavyofundwa bila khiyana na Alama Mohamed Said.
 
Maalim Mohamed Said assalam alaykum. Naweza kupata wapi copy ya kizungu ya kitabu chako? Please nisaidie maana maandishi yako kwangu ni burdani sana.
Kolorama,
Waleikum Salaam Warahmatullah Wabarakatuh,

Kitabu kinapatikana Ibn Hazm Media Centre Bookshop
Msikiti wa Mtoro na Manyema, Soma Bookshop Mikocheni
na Novel Idea Slip Way Masaki.

Bei ya Ibn Hazmm ni 10,000 kwengineko ni 13,000.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…