Huo ni mtazamo wako na ndio maana unafanya rejea ya kitabu chako mwenyewe. Nikuhakikishie tu kwamba yeyeto mwenye mtazamo flani hawezi kushindwa kuandika na akawafurahisha kundi alilokusudia limsikilize hasa kundi la itikadi yako ambalo hupenda kumeza pasipo kuchambua japo kwa kutumia ulimi tu.
Hata wewe umetumia mbinu hiyo na kweli umewakamata hapo! Sababu wengi tunawafahamu walivyokuwa na uvivu wa kusoma hasa mambo yasiyo husu dini yao na watu wao. Ni wagumu sana kujifunza mambo pasipo kuhusisha dini.
Uncle...
Inaelekea huijui historia ya Maji Maji hiyo info niliyoweka ni
info ''common'' inafahamika na kila mtafiti.
Hebu soma hapo chini:
''...one needs only to read the letter written by
Chief Songea bin Ruuf at the time when he was mobilising his people for war while at the same time trying to cement alliances with other chiefs in Southern Tanganyika and across River Ruvuma in Mozambique. This letter written to
Sheikh and
Sultan Mataka bin Hamin Massaninga reads:
''
Sultan Songea bin Ruuf writes: To the
Shaykh and
Sultan Mataka bin Hamis Massaninga. Greetings, etc. I am sending you a letter through
Kazembe. We have received an order from God that the Europeans must leave the country. We are in the process of fighting them here. I believe that we have long since been reconciled,[so] send me your children, so that we may make an alliance. I had wanted to send you some cattle as a gift, but am not able to do so, as the war which God desired is continuing. Send me a hundred riflemen, and support me in storming the Boma (Songea).
I am also sending you a flask of the
Prophet Muhammad, which contains the means for conquering the Europeans. Have no doubt about it, it possessed great power. And when we have taken the Boma (Songea), we shall go on the stations on the Nyasa together, you and I. Now, let us forget our old quarrels.
This bottle, with a da’wa, has been sent by
Chinyalanyala himself, the war leader. He also sends the container (kombe), and sends you many greetings.
If your men will come, then
Chinyalanyala himself will come and will give you many of the holy things.
Hassan bin Isma’il greets you.
Many salutations,
Sultan Songea bin Ruuf.”
[1]
Hii ndiyo hali ya kusini ilivyokuwa wakati wa Maji Maji.
[1] C.H. Becker, ‘Material for the Understanding Islam in German East Africa’,
Tanzania Notes and Records, No. 68, February, 1968, p.58.