Hamza Mwapachu, Abdulwahid Sykes na Chief Michael Lukumbuzya

Hamza Mwapachu, Abdulwahid Sykes na Chief Michael Lukumbuzya

Kwezisho,
Utawatafutia wapi?

Mjadala mpana wa nini na utaufanya na nani ilhali akina Hawa
biti Maftah, Titi Mohamed, Sharifa biti Mzee, Tatu biti
Mzee, Dharura biti Abdulrahman, Halima Selengia, Lucy

Lameck na wengineo kutaja majina machache weshatangulia mbele
ya haki?

Msome Susan Geiger: ''TANU Women.''
Kafanya utafiti huo huna haja ya kuurudia.

images
 
Hapana chuki ipo kubwa na ya dhahiri.
Tumelumbana sana na huyu mzee na tunamjua vema

Lengo lake ni fitna kati ya jamii, na ili afanikiwe lazima awe na daraja.
Nyerere ni daraja tu ili akamilishe azma yake. Hutamsikia akimsifia hata siku moja kila asiku anatafuta namna ya kumdhalilisha , kashfu, tukukana n.k.

Baada ya hapo daraja linakuwa tayari, anapita kuelekea kule anakotaka

Tunakataa mambo mengi si historia kama ilivyo. Kwanza, lazima tukiri Nyerere ni sehemu muhimu sana ya Historia ya Tanganyika.

kumbuka, kuna sehemu muhimu na sehemu kubwa ni vitu tofauti kabisa.
Na kwamba kumdhalilisha ni kukosa adabu kwa kiwango cha maana

Pili, uhuru wa nchi ilikuwa jukumu la pamoja.
Bila coalition ya Watanganyika pengine tusingefika hapa katika muda huu tunaoongea.

Tatu, tunaheshimu michango ya watu wote, hii habari ya familia tukufu ya Sykes, ni kutaka kuchagua watu muhimu na watu hafifu. Si kweli, kila mtu alikuwa na mchango wake
Nguruvi3,
Sitojibu kitu hadi yule aliyemtukana Maalim Faiza ameadabishwa.
Alhamdulilah.

Naona jamvi limesafishwa baada ya kuchafuliwa sasa tunaweza kurejea
kwenye barza yetu.

''Huyu mzee.''

sCKqq2stAkNJgg7-LQLD6Q3kC_yHynRUV8szucHpYPUCDF0Mwyko2hO8BarO_jrvpJLtYlzTriek-T7wyKjo_LiyrRo2QfXkargeVh33v0Ya1718EsXp3HnUzMEcZwlOs92gkVlSlMV8VMruCzyv_4aDOFGD-Qtci_1TcADI_J58MjhvBYpgPcxnO2P8XAqUhaZbKoxCskAelDIJEFZU9jmvcBd1pO8r_B2o6hjfJQQt9f5G5879YwOT4sUi8zQUjdihwm6arGb9_zekI4u8IeYcY6EFpovvrYlwBVqUlak6XxkCgUY0dQkmp4_NjS0WZhixwN4kNC97-CQVUULFolW5KfuOpmr1YYtymgYUsX28bQNvjwwpuP7xshT-yp1dqNMh4VzVo1LMVPcAtMY8q2G3lzllnQetEnbyCnfwUJYETraOPx9h77Fg5KAUkPi9jXk1FjgV1rjgQ9RB-4peh8xmiTNFflbLfydVpdyVNON_JalzJK7nMQUl2KQbNJCkEha1ovUBYQpeE1ucfzDPBx9IPvEoCNQYmtNh1q3PvO_fRx4aJWptCAa_1n0iSpaAoCfCE6azbnGI0sUYtQVHNKlVIpCqG3Di=w876-h657-no

''Huyu Mzee'' ndiyo huyo hapo alipokuwa kijana.
Hii ni picha ya 1990s.

Moyo wako umejaa chuki.
Huniudhi mimi kwa kuniita mzee.

Hakika mimi ni mtu mzima sasa mzee kabisa nina miaka 64.
Namshukuru Allah kwa kunipa umri huu kufikia leo kuwa mzee.

Uhuru wa Tanganyika kila mtu aliutaka lakini kulikuwa na viongozi
wa uhuru na ikatokea wengi walo walikuwa Waislam.

Hili huenda liliwatisha na linaendelea kuwatisha waandishi wa historia
ya Tanganyika na wao wakadhani kuwa kusalimika ni kujaribu kuibadili
historia hii.

Kitabu nimeshaandika na historia ya TANU sasa inafahamika.
 
Maalim Mohamed Said assalam alaykum. Nimekusoma kwa muda mrefu sana kupitia jukwaa hili. Sina budi kukushukuru kwa niliyojifunza kutoka kwako. Nimesoma somo la historia hadi kidato cha sita. Lazima tukubali historia yetu inamapungufu makubwa sana. Hayo nisingeyajua kupitia historia rasmi pasi kukusoma wewe. Mungu akujalie umri mrefu na afya njema.
 
Kolorama,
Waleikum Salaam Warahmatullah Wabarakatuh.
Allahuma Amin.

Ahsante kwa maneno yako yanayonitia nguvu.

Mimi nilisoma historia ngazi ya chuo kikuu na hayo
uliyoyaona wewe high school nikayakuta huko juu.

Naambiwa kuwa hivi sasa walimu wa historia wa
vyuo vikuu Tanzania wamebadilika wanaposomesha
historia ya uhuru.
 
Mzee mohamed said :

Nimekua nafuatilia huu mjadala tokea awali, na nadhani mzee umeona comment zangu kwenye page za kwanza kwanza kabisa!

Mimi ni kijana,

Napia ni Mkristo, lakini nimevutiwa mno na namna ya uandishi wako tokea mwanzo, sijaona udini wala Chuki wala maneno ya kashfa ambayo umeyatoa dhidi yetu wa Kikristo. Kila upande umeupa Heshima!

Ahsante sana.

Nimejifunza, kuamua 'Kuelewa' mtu asipoamua kuelewa basi kamwe hawezi kukubali 'kuelewa' asipoamua kujifunza, kamwe hawezi 'Kujifunza'

Mimi nadhani umeongea kwa upana sana, tulio amua kujifunza na kuelewa , tumekuelewa mzee na kujifunza!

Kazi nzuri mzee said!
Magari7,
Ahsante tuko pamoja.
 
Mohamed katika bandiko umewataja wote na hakuna ushahidi waliacha maandiko.

Kutaka kukwepa ukweli unasema Matola hakuandika kuhusu maisha yake.

Well, kama hakuandika ungemtaja ingetosha. Kilichofanya ukamkwepa ni ukweli kuwa yeye ni Mwanzilishi wa AA kama Mwenyekiti.

Hapa kuna jambo jingine, kwamba licha ya kutojulikana elimu yake ilimsaidia kushawishi townsman kama Kelist kuunda chama

Na hilo linaonekana alipopewa uenyekiti na Townsman kuwa katibu

Inashangaza mchango wa Matola unafutwa kwa hadithi za 1933 baada ya kifo chake ili kuhakikisha Klesit na Familia tukufu inaendelea kusifiwa!

Kuhusu Imani, inategemea nani ameandika na kwa lengo gani.

Sitegemei Daisy aongee jambo zuri kuhusu Nyerere hata siku moja kama ambavyo Mohamed Said na Faiza wangefanya

Harakati za uhuru zinachukuliwa kama za Pwani, ukweli ni kuwa zilisambaa kwingineko

Na hapa tunajifunza jambo jingine, kwamba harakati hizo zilibebwa kwa msingi wa dini na hivyo kukwama kwa miaka 29 chini ya Familia tukufu ya Sykes.

Hakukuwa na broad coalition dhidi ya Mkoloni na hivyo kukatokea mgawanyiko

Miaka ya 1950 Nyerere alikuja na idea mpya. Kubadili TAA kuwa TANU ililenga kuleta broad coalition na inclusion ya different sect of society.

Ilimchkua miaka chini ya 10 kufikia lengo la uhuru.
Mafanikio yake yamejengwa katika elimu, exposure and leadership

Kwavile alikuwa educated na exposure of modern politics aliweza kumbwaga Abdul Sykes katika uchaguzi na kuendelea na transformation za chama kama kuandika katiba

Kuandika katiba ilikuwa ni kuachana na mass movement na kufanya politics kama sehemu ya institution.

Hilo ndilo likawaleta Watanganyika wa dini, kabila , Imani mbali mbali kama kitu kimoja chini ya institution ya TANU ambayo before yeye haikuwepo!

Kutokana na frustrations za kupoteza uongozi na kuona the future ilianza kutoweka, Abdul Sykes akaamua kurudia wazee ili kupata kuungwa mkono.

Ndipo alipomtumia Sheikh Amir kuanza kujenga umaarufu na movement nyingine dhidi ya Nyerere. Hili kalisema MS katika Makala zake alipomnukuu kiongozi mmoja akisema '...mnampa huyu mtu chama mnamjua?"'

MS kaendelea kutueleza '...Sheikh alitoka na kuwaangalia waliokuwa wanamzomea, akasema ipo siku mtanikumbuka''

MS anaonyesha katika maandishi yake Abdul was real frustrated, the last card he could play ni misikitini akimtumia sheikh Amir.

Nyerere hakuvumilia, akamuondoa Amir haraka iwezekanavyo akiwaangalia akina Abdul kwa jicho la karibu. Mtawala yoyote duniani angefanya hivyo.
Nguruvi3,
Mimi nakuhurumia sana tena sana kuwa hujui uwezo wako na hii
si hali nzuri.

Nimekuuliza na hukunijibu kwa kuwa uneingiwa na hofu ya jibu
langu.

Nakuuliza tena.

Je ungependa kujua jibu la jopo la waandishi wa historia ile ya
Chuo Cha Kivukoni walipopewa ''notes'' za Abdul Sykes kuhusu
historia ya TANU?

Daisy katika kuandika historia ya babu yake kaandika habari
kutoka 1894 - 1949 tena akitumia mswada wa alioandika Kleist.

Nyerere ataingia vipi katika historia hiyo iliyoandikwa na Kleist
kabla ya kifo chake 1949?

Ndipo ninapokuhurumia kuwa hujui ukomo wa uwezo wako na
sasa unakuwa kichekesho.

Hiyo ''idea,'' mpya unayozungumza ya 1950 haikuletwa na Nyerere
kwa kuwa 1950 hakuna aliyekuwa anamfahamu katika siasa za TAA
pale New Street.

Hiyo ''broad coalition'' unayoizungumza ilianza 1950 kupitia TAA
Political Subcommittee baada ya Abdul na Kyaruzi kuingia katika
uongozi.

Hakuwa Nyerere aliyeibadili TAA kuwa TANU.

Mchakato huu ulianza 1950 na katika watu waliokuwa na msaada
mkubwa katika hili ni Earle Seaton kuisaidia TAA kuandika katiba
ambayo Gavana Twining aliikataa.

Nakuwekea picha ya Earle Seaton akiwa na Nyerere baada ya
uhuru.

fXgYhAJXsorPyp7hlMhmbhdN-Uv4xhnodCnVNbsizxs2MX72pch7XDZ9wxVQQdjWpcIF42_xYLbThDvxIrar5XsDPHuPmYskjf8ZL6g8_A8WfkLOD8T3awtT69ZWjQj-l4oScZSkoINymJzJkRAmy8q6nDl8-0JOPYnJAHXQFPvl48FkzwvGdrR_9ae3IE_5nLiZgg3WNcg4GIQQDa0mULe2X5iJPZBq05uX4zG1ZdtTXF2f8yg_MMI1EJkCDV57DbatBW9Cq0OcPjZ238Hxl-WzGQzeppgEtXR2OgSyMNI2W84ZvlLvCDNePK4uXoEWcxc7jTDz_Vbvr0yUT6pymR8rFkICn_LwGmem1d2bElHjPNiri2Nksdp_X2cOgS1ZsUn0V3iSnK-l2ouHPwv_A3YxvvNMx0TQTpXCM1MdcIbOD9xrmc77yKTOApXRFPnt-JNMK34z5XzNdlLfD7D4ty-2XUgt5K8yH9uOJfa_XMqon-8GH7y41lNCOP84iEur2dAiCXMYwedcQmwWTKUhhNcfdeXaK0HSp1yh_I6xcJyWU_WshDKbr8s9qVG35VtWdfaaqc8QkVfLfHu9enqiMxI9H2gZv1Q=w986-h657-no

Nyerere alipokuja kuingia madarakani 1953 alikuta kazi kubwa
ilikuwa tayari ishafanyika.

Nakuwekea hapa uongozi wa TAA pale New Street mwaka wa 1953:
President, Julius Nyerere, Vice-President Abdulwahid Sykes,
General Secretary Dome Okochi, Assistant Secretary Dossa Aziz,
Treasurer John Rupia, Assistant Treasurer Ally Sykes.

Nakuwekea picha ya Dome Okochi Budohi hapo chini:

88S_SrX8Rq52cCzBGJrXnK2rUa7CY8RVJ9tD9i9cHbSEk2XtcdTxjdvnT4Xk7MUmctPjvapLHHZeMgBuYyAoQ8HxeAKAGm0j3ueDbVrDayMeP5F8kZg8eAYA0o56SjSKk5avrS8gNjHYjPu19bhs3eWF2fHbdO001djEcyjTG_rosLdgNTZfvRExxEUCkh66uPOJO_jve9MqrAdyd2bTbW4jxJzmszufCvasrUgcT7J5bwn7UqHGysxI5fwdCGR9iEiCj5NZAejv5ZBdkrA9jalQt6fNZoWXe5tgmHOZklIT5UiasG0vHT_Z3zdibgkXO7DRN8p6G37h4ou4uqMtLIZ38b8ggnyH0a7cRw_QOc0CsNH6bPorZYoQRfnHoyg5GLPSc-7dk32YBcOpQ307DTiFXEx5DUFFGLtFQwsfu0V4HPYkOHfOhQ6KaOrpNpuFeiNnn0Xw1X2qofORgOuYiZMzMeXYTlvQTbBBTxPN745eDU1NMFdUKQ07f7SAAYiZTvixvCHNWqo4HrwJRYkaw6Njxr37EqNppC8xKOKwS2_2o6sA-g-C3VY9kycu8NENasRlECQf6MERzfwVkRtEkKf2csCwhrI=w705-h657-no

Nguruvi3,
Hayo mengine uliyoandika ni vichekesho vikubwa sitakujibu chochote
ila hili la Sheikh Hassan bin Amir.

Ikiwa unataka kujua sababu ya mapambano ya Sheikh Hassan bin Amir
na Nyerere yaliyodumu kati ya 1963 - 1968 fungua uzi In Shaallah nitatoa
darsa na ninalihakikishia barza hatotumwa mtoto dukani.

Ingia hapo chini nimekuweka katika blog yangu wasomaji wakusome:
Mohamed Said: EARLE SEATON (BERMUDA) NA DOME BUDOHI (KENYA) KATIKA HISTORIA YA UHURU WA TANGANYIKA
 
Wanajamvi, kuna wale wambao hawakuwahi kumsikia au kumwelewa Mohamed.
Tafadhali sikiliza sauti hiyo kisha utafakari

Katika dakika 11 hadi 14 MS anasema Abdul Sykes alimwingiza Nyerere katika chama 1952 na kumpa uongozi 1953. Akasema wakati huo hakuna aliyemjua Nyerere au kumsikia

Tukirudi nyuma Nyerere alikuwa mwanafunzi Makerere na zipo harakati na mwasiliano aliyofanya kuhusu chama cha wanafunzi wa Tanganyika. Haya kayasema Mohamed katika maandiko yake

Nyerere alikuwa katibu wa Chama akiwa Tabora. Na Tabora ilikuwa moja ya matawi makubwa ya chama. Nyerere alihudhuria mkutano mkuu 1948 akakutana na viongozi wa makao makuu

Katika kufifisha historia, MS anasema Nyerere kaanza siasa na Abdul Sykes 1952
Fikiria hapo

Pili, katika dakika 51 kuendelea, MS anasema baada ya kukabidhiwa chama na Abdul Sykes, chama kiilikufa kwasababu hakuna aliyemjua Nyerere.
Well, ni Nyerere aliyemshinda Abdul katika uchaguzi. Sasa alishindaje bila kujulikana linabaki kuwa swali.

Lakini pia MS anatusaidia katika hoja zetu kuwa Nyerere hakulingana na Abdul na kuwaweka katika mizani ya kisiasa ni makosa. MS anamnukuu Abdul akisema '...Nyerere ni msomi ana degree ya uzamili(master) hivyo Abdul aliona vema ashike chama'
Kwanini tunaposema elimu ya Nyerere ilimpa competitive edge katika siasa tunaonekana wehu? Kwanini wakisema ni sawa,tukisema ni makosa'

Hoja nyingine ni ile ya hotuba ya 'moto wa Waislam ukiwaka' maneno mazito yalisemwa kumtisha Nyerere baada ya kusoma waraka ulioandaliwa na akina Sheikh Hassan Amir
Ni mtawala gani angevumillia kitisho hicho cha 'Sheikh Amir'

MS anatusaidia anaposema (dakika 51 kuwa mikutano ya sheikh ilikuwa usiku) kwa maana kuwa kulikuwa na harakati zilizoendelea kichini chini za kutaka kumg'oa kupitia misikitini

Hivyo kuondolewa kwa Sheikh Hassan Amir hakukuwa uonevu dhidi ya waislam kama anavyodai MS, bali ni misuguano ya kisiasa kati ya sheikh na kundi lake na Nyerere

Hili linatueleza jambo moja kwamba Sheikh alikuwa na watu wake nyuma.
Wengine walisusa serikali ya Nyerere baada ya sheikh kuondolewa na mmoja ni Abdul Sykes

Tuna ushahidi wa wazi kutoka kwa MS akimnukuu Abdul Sykes aliyekiri kuwa Nyerere alikuwa na uwezo wa elimu Zaidi yake. Leo MS anapowaweka katika mizani anatfuta nini?

Na mwisho msikilize MS akizungumzia Nyerere, chama na ukatoliki.
Kwa ufundi sana alikuwa ana link kati ya Nyerere mkatoliki na siasa za nchi.
Lile daraja linaanza kujengwa kuanzia hapo
 
Huyo uliyemsikia ndiye mimi khasa.
Na hivyo ndivyo ilivyokuwa.

Historia hii ilikuwa haifahamiki kwa wengi.

Nashukuru kuwa sasa imekuwa, ''documented,''
na itaishi kusomwa na watakaokuja baaada yetu.

Tusubiri fikra za wengine wewe nishakusikia.
 
Nguruvi3,
Mimi nakuhurumia sana tena sana kuwa hujui uwezo wako na hii
si hali nzuri.

Nimekuuliza na hukunijibu kwa kuwa uneingiwa na hofu ya jibu
langu.

Nakuuliza tena.

Je ungependa kujua jibu la jopo la waandishi wa historia ile ya
Chuo Cha Kivukoni walipopewa ''notes'' za Abdul Sykes kuhusu
historia ya TANU?

Daisy katika kuandika historia ya babu yake kaandika habari
kutoka 1894 - 1949 tena akitumia mswada wa alioandika Kleist.

Nyerere ataingia vipi katika historia hiyo iliyoandikwa na Kleist
kabla ya kifo chake 1949?

Ndipo ninapokuhurumia kuwa hujui ukomo wa uwezo wako na
sasa unakuwa kichekesho.

Hiyo ''idea,'' mpya unayozungumza ya 1950 haikuletwa na Nyerere
kwa kuwa 1950 hakuna aliyekuwa anamfahamu katika siasa za TAA
pale New Street.

Hiyo ''broad coalition'' unayoizungumza ilianza 1950 kupitia TAA
Political Subcommittee baada ya Abdul na Kyaruzi kuingia katika
uongozi.

Hakuwa Nyerere aliyeibadili TAA kuwa TANU.

Mchakato huu ulianza 1950 na katika watu waliokuwa na msaada
mkubwa katika hili ni Earle Seaton kuisaidia TAA kuandika katiba
ambayo Gavana Twining aliikataa

Nguruvi3,
Hayo mengine uliyoandika ni vichekesho vikubwa sitakujibu chochote
ila hili la Sheikh Hassan bin
MS sipendi kujua jibu la kivukoni, tofauti na wasomaji wako watiifu mimi natumia ubongo kuchambua pumba na mchele.

Nilishachambua pumba za kivukoni na mchele na sasa ninaendelea kwingine

Ni kweli nitaonekana kichekesho sana na wala sitakuwa wa kwanza.
Ninafahamu kichekesho changu ni challenge na hilo halinitii wasi wasi kabisa.

Hakuna niliposema Nyerere alitakiwa kuonekana katika historia ya miaka 1800 hata 1929.

Cecil Matola anaanzisha AA Nyerere ana miaka 7, vipi angeonekana katika historia?

Wakuonekana hapo japo kwa kutajwa ni Cecil Matoala.
Kwa makusudi kabisa nafasi yake inazibwa na Kleist Sykes!!

Nikasema hivi mwaka 1948 Nyerere alihudhuria mkutano mkuu, sikusema 1848

Kuhusu Daisy, ni vema aandike historia ya babu yake na babu zake.

Hata hivyo, nature inatushawishi kutumia akili zetu maana kuna conflict of interest.

Unategemea Daisy aseme lolote jema kuhusu Nyerere aliyemweka Abdul Sykes bench!

Kuhusu picha, sijui zinaeleza nini mkuu. Je, hizo zinaeleza kuhusu katiba iliyoandikwa na Abdul Sykes ambayo umeshindwa kuiwasilisha hapa? Kama picha ndiyo katiba hewalaa

Pili, nimekuuliza kama Nyerere hakufanya transformation ya TAA kwenda TANU, nitajie mkutano au mkusanyiko mmoja tu uliowahi kufanyika kwa jina la TANU kabla ya hapo

Sidhani kama picha zinajibu hoja hizi

MS una wasomaji na wafuasi wengi wanaosoma historia yako kwa mafanikio makubwa

Kuna kundi dogo sana la vichekesho nikiwemo linasoma historia yako kwa ufahamu , kuhoji na kwa weledi.

Hili kundi ni muhimu sana kwako na lisome ukiendelea kucheka na vichekesho lakini lisome ukipata muda usilidharau
 
Nguruvi3,
Huyo uliyemsikia ndiye mimi khasa.
Na hivyo ndivyo ilivyokuwa.

Historia hii ilikuwa haifahamiki kwa wengi.

Nashukuru kuwa sasa imekuwa, ''documented,''
na itaishi kusomwa na watakaokuja baaada yetu.

Tusubiri fikra za wengine wewe nishakusikia.
Ahante nilidtegemea ungekanusha kauli zangu, midhali unakubaliana nazo, tusonge mbele
 
Mkuu Nguruvi heshima yako. Kwa uzoefu wangu wa jukwaa hili japo nilikuwa nasoma kama mgeni ila nimekusoma siku nyingi sana. Nakupongeza sana kwa kutoa challenge kwa maalim Mohamed Said ila lazima tukubaliane kuwa historia yetu inamapungufu makubwa na pengine niseme hayajatokea kwa bahati mbaya. Historia inakuwaga na chimbuko ili upate mtiliriko mzuri ila mengi hayajasemwa kwenye historia rasmi na ndo maana maalim yeye kajaribu kuleta yale anayojua, kama Taifa lazima tukubali kuandika historia yetu kwa usahihi kwa manufaa mapana ya jamii yetu.
 
Yan saizi unarudi n I'd ya pili kujisifia
hiyo I'd yangu nani mwingine anayo? mimi nasifia kitu ninachoona cha haki na kwa taarifa yako sijawahi kuwa na I'd tofauti na hii
 
Mkuu Nguruvi heshima yako. Kwa uzoefu wangu wa jukwaa hili japo nilikuwa nasoma kama mgeni ila nimekusoma siku nyingi sana. Nakupongeza sana kwa kutoa challenge kwa maalim Mohamed Said ila lazima tukubaliane kuwa historia yetu inamapungufu makubwa na pengine niseme hayajatokea kwa bahati mbaya. Historia inakuwaga na chimbuko ili upate mtiliriko mzuri ila mengi hayajasemwa kwenye historia rasmi na ndo maana maalim yeye kajaribu kuleta yale anayojua, kama Taifa lazima tukubali kuandika historia yetu kwa usahihi kwa manufaa mapana ya jamii yetu.
Mkuu kwanza nikushukuru kwa kulileta hili jamvini. Wengi hawaelewi kwanini tunahoji, tuna challenge na kutoa maoni kuhusiana na maandiko ya Mohamed

Wengine tulijiuliza sana kuhusu historia ya kivukoni hata kabla ya MS hajatoa kitabu. Tulijiuliza , Dar ilikuwepo, AA ilikuwepo TAA ilikuwepo iweje historia ianzie katikati?

Kwamba, Nyerere alizaliwa ButiAma na kuhamia Dar es Salaam, role ya wenyeji wa mji huu mkuu wa nchi ilikuwa nini? Haikuelezwa na kutuacha na maswali

MS alipotoa kitabu , wengine tulivyosoma miaka mingi version zote za kiingereza na Kiswahili. TUliona hoja za upande wake tukaziweka katika uzani

Mwaka 2010 tulikuwa na mjadala wa miezi takribani 4 kuhusiana na kitabu chake

Ni hivi karibuni wengi wameacha kuchangia nikiwemo kwavile hakukuwa na jipya

Kinachoturudisha katika mjadala ni hizi jitihada za 'kumharamisha' Nyerere kwa lazima, ili kujenga daraja si la kuunganisha umma bali kutoa ufa miongoni mwa makundi ya jamii

Utakumbuka baada ya kitabu cha kwanza, MS ameendelea na vingine kama vile '...Christian Hegemony' na ndiye 'muasisi kama si mpiga debe' wa maneno kama mfumo kristo n.k. Maneno yanayoleta utengano na si utangamano katika jamii ile ile

Hoja za MS kwa haraka zinaonekana kusahihisha historia ambalo ni sawa,halina makosa.

Hadi leo watu wanaandika historia ya miaka 200 ya US seuse sisi wa 50

Ni wajibu wa wanazuoni kuonyesha mapungufu yasiyo onyeshwa na watangulizi

Tatizo si historia ya MS. Hakuna shaka anayoeleza ni kweli yalikuwepo.

Utakaaje uwepo wa AA au TAA ? Utakataa vipi kuwa vyama hivyo vilikuwa na viongozi na wafuasi? Utakataa vipi kuwepo kwa harakati za uhuru?

Utakataa vipi uwepo wa Matola. Kleist, Sudi, Kyaruzi n.k.?

Tatizo linalojitokeza ni kuwa masahihisho yanafanywa kwa makosa kama ilivyo Kivukoni.

Kwa mfano, tukikubali historia ilimwacha nje Abdul Sykes, tukaandika historia na kumwacha nje Cecil Matola, tunasahihisha makosa?

Tukisema Abdul aikwenda Burma na kurudi na fikra mpya, halafu tukasahau Nyerere alikuwa na fikra akiwa mbali na alishiriki akiwa huko huko tunasahihisha historia?

Tukiifanya historia kama sehemu ya dini tukijua ni ya Watanganyika tunasahihisha historia? Tukiwakweza watu kwa interest zetu na si historia, tunasahihisha historia

Kubwa Zaidi tukiandika historia ili kuligawa taifa na kuleta mifarakano kwa maneno na mjina ya historia , tunasahihisha historia?

Tukipotosha umma kwa kuficha ukweli au kupuuza wahusika tunasahihisha historia?

Leo tumefika mahali historia ya Taifa haitambuliwi kwa michango ya kila upande, tuna ibinafsisha kwa familia moja kwa interest zetu, tunasahihisha historia?

Tunaposingizia watu na si historia kama vile kumfanya Nyerere ni 'mhalifu' na si serikali, huku wengine wakifichwa kwa jina la serikali na si majina yao, tunatenda haki?

Tunapoingalia historia kwa jicho huyu mwislam na yule mkristo, tunasahihisha historia au tunapanda mbegu za historia nyingine?

Tunapopanda chuki na kubagua viongozi, la Nyerere ni Nyerere la Mwinyi ni serikali na la Kikwete ni serikali tunajenga utaifa au tunabomoa misingi ya utaifa?

Mkuu, hatupingi historia, na haiwezekani kupinga historia, tunakataa upotoshaji, unafiki, urongo, chuki na fitna kuchomekwa katikati ya historia

Nadhani utakuwa umenielewa na wengine.
 
MS sipendi kujua jibu la kivukoni, tofauti na wasomaji wako watiifu mimi natumia ubongo kuchambua pumba na mchele.

Nilishachambua pumba za kivukoni na mchele na sasa ninaendelea kwingine

Ni kweli nitaonekana kichekesho sana na wala sitakuwa wa kwanza.
Ninafahamu kichekesho changu ni challenge na hilo halinitii wasi wasi kabisa.

Hakuna niliposema Nyerere alitakiwa kuonekana katika historia ya miaka 1800 hata 1929.

Cecil Matola anaanzisha AA Nyerere ana miaka 7, vipi angeonekana katika historia?

Wakuonekana hapo japo kwa kutajwa ni Cecil Matoala.
Kwa makusudi kabisa nafasi yake inazibwa na Kleist Sykes!!

Nikasema hivi mwaka 1948 Nyerere alihudhuria mkutano mkuu, sikusema 1848

Kuhusu Daisy, ni vema aandike historia ya babu yake na babu zake.

Hata hivyo, nature inatushawishi kutumia akili zetu maana kuna conflict of interest.

Unategemea Daisy aseme lolote jema kuhusu Nyerere aliyemweka Abdul Sykes bench!

Kuhusu picha, sijui zinaeleza nini mkuu. Je, hizo zinaeleza kuhusu katiba iliyoandikwa na Abdul Sykes ambayo umeshindwa kuiwasilisha hapa? Kama picha ndiyo katiba hewalaa

Pili, nimekuuliza kama Nyerere hakufanya transformation ya TAA kwenda TANU, nitajie mkutano au mkusanyiko mmoja tu uliowahi kufanyika kwa jina la TANU kabla ya hapo

Sidhani kama picha zinajibu hoja hizi

MS una wasomaji na wafuasi wengi wanaosoma historia yako kwa mafanikio makubwa

Kuna kundi dogo sana la vichekesho nikiwemo linasoma historia yako kwa ufahamu , kuhoji na kwa weledi.

Hili kundi ni muhimu sana kwako na lisome ukiendelea kucheka na vichekesho lakini lisome ukipata muda usilidharau
Nguruvi3,
Mkuu Nguruvi heshima yako. Kwa uzoefu wangu wa jukwaa hili japo nilikuwa nasoma kama mgeni ila nimekusoma siku nyingi sana. Nakupongeza sana kwa kutoa challenge kwa maalim Mohamed Said ila lazima tukubaliane kuwa historia yetu inamapungufu makubwa na pengine niseme hayajatokea kwa bahati mbaya. Historia inakuwaga na chimbuko ili upate mtiliriko mzuri ila mengi hayajasemwa kwenye historia rasmi na ndo maana maalim yeye kajaribu kuleta yale anayojua, kama Taifa lazima tukubali kuandika historia yetu kwa usahihi kwa manufaa mapana ya jamii yetu.
Kolorama,
Umesema kweli kufutwa kwa majina katika historia ya TANU na
uhuru wa Tanganyika hakukuwa kwa bahati mbaya.

Lile jopo la waandishi wa Chuo Cha Kivukoni walikuwa wanafata
maelekezo waliyopewa vipi waandike historia ile.

Swali la kwanza la kuuliza ni nani huyu aliyetoa maelekezo ya vipi
historia ya TANU iandikwe?

Bila shaka atakuwa kiongozi mwenye nguvu sana ndani na nje ya
chama.

Katika jopo lile nilikuja kujuana na wajumbe wawili na wote makada.
Dr. Mayanja Kiwanuka na Hassan Upeka.

Hassan Upeka ni marehemu.

Huyu ni mtu wa Dar es Salaam na ni mtumishi wa kwanza kuajiriwa
na TANU 1956 alipomaliza darasa la 10 Tabora School.

Upeka alikuwa kachero wa TANU kastaafu miaka ya 1980 akiwa katika
kazi hiyo.

Hakuna kijana wa Dar es Salaam wa umri wangu aliyekuwa hamjui kaka
Upeka kwani akiogopewa kwa ile kazi yake.

Lakini hakupata kumnyayanyasa mtu yoyote kwa wadhifa wake ila nasikia
mara moja moja alikuwa akipita Mnazi Mmoja kuwatisha wauza bangi na
kuwaambia atawaletea polisi ikiwa wataendelea na kazi hiyo.

Vinginevyo alikuwa mtu mtaratibu na mkimya sana.
Labda ni kutokana na mafunzo ya kazi yake.

Upeka akinijua kama bwana mdogo tu lakini alipostaafu tukawa karibu sana.

Wakti huo mimi nishafanya mhadhara wangu wa kwanza Mnazi Mmoja na
kueleza mchango wa Waislam katika kupigania uhuru nikidai wazee wetu
wapewe heshima wanayostahili.

Cassette za mhadhara huu ziliuzwa kama maandazi ya moto.
Kila kibanda cha kuuza inawekwa na watu wamejazana wananisikiliza.

Kipindi hiki nishaandika ile makala ambayo gazeti zima lilikusanywa na
kutolewa katika mzunguko kwa sababu nilimtaja Abdul Sykes kuwa muasisi
wa TANU.

Hili lilikuwa Africa Events likichapwa London.

Makala zangu kuanzia 1990 zikawa maarufu na zikivutia wasomaji wengi.
Africa Events na New African yote magazeti ya London yakinichapa.

Katika hali hii siku moja Upeka aliniomba nende tukae faragha ofisini kwake.
Ofisi yake ilikuwa Mtaa wa Mvita, Karikaoo.

Upeka alinifungulia kifua chake kuhusu tatizo alilokutananalo wakati wa
kuandika historia ya TANU.

Akanieleza pia jinsi alivyomsaidia John Iliffe wakati ule mwalimu wa historia
Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam kupata nyaraka za TAA na TANU zilizokuwa
TANU Office, Lumumba Street.

Akanieleza pia kuhusu ''notes,'' za Abdul Sykes alizoandika katika mazungumzo
na yeye kuhusu historia ya TANU.

Upeka akanambia kuwa ''notes,'' hizi zilikataliwa na jopo.
Jopo liliamua kuandika historia ya TANU bila kumtaja Abdul Sykes.

Nilimuomba ruhusu nitumie mazungumzo yetu katika kitabu cha Abdul Sykes
na nitaje jina lake.

Upeka alinikubalia.
Upeka tulibaki marafiki hadi alipofariki mwaka wa 2010.

Sasa tuje kwa Dr. Mayanja Kiwanuka.

Yeye ndiye aliyeandika barua ya kunitisha (Africa Events, May, 1988, barua
ya Dr K. Mayanja Kiwanuka) baada ya Africa Events kuchapa ile makala
yangu, ''In Praise of Ancestors,'' (Africa Events, London, March/April, 1988,
September, 1988) ambayo kwa mara ya kwanza wasomaji walisoma kuwa
Abdul Sykes ndiye muasisi wa TANU.

Haya ni baada ya toleo zima la Africa Events kuondolewa katika mzunguko
kama nilivyodokeza hapo juu.

Nguruvi3,
Ndiyo nakuambia huna moja unalojua katika historia hii.
Yapo makubwa niliyozungumza na marehemu Hassan Upeka.

Yeye alikuwa anajua kuwapo kwa historia ya TANU katika nyaraka za TANU
iliyoandikwa na Abdul Sykes na Dr. Wilbard Klerruu mara tu baada ya
uhuru.

Je, ungependa kujua nini kilitokea kwa mswada huu?

Kipi walikiona kimepungua au kimezidi katika mswada ule kiasi hadi leo si tu
haujachapwa lakini inaelekea umefichwa au kuchomwa moto?

Tusimame hapa.

Nakuwekeeni hapo chini picha ya maziko ya Upeka nyumbani kwake
Mwananyamala:

JAq11CKlP44ZcfCuvYidF_2LQ0dRhI2eZ7vwWoUqS93XzF222efNwdne98893Q5Bl7_xEu9uFxffiqk0o-rintUyw1Jtfq1PGzbmhR8mHbtHMSikD28BD-aCy7Zpik_3Ksr2vzsO3P2r7VFxhr1cvq4k-VwU3cuBAQJMTzYBty6LtSHRox3gLq9pidULETfi_jty_7fxtUdpeS0eCYxcr7Ali4xAg3d_NSud1ZCHpEJnI2Bw-hRMpPHu04BGF5wiOG9mJYSS3R49TLJpYQCZHK3bCaY0fn2X66myKnXfXyzOIlEUC_1WvJSRWZdm-ir9ov849qk9r4vaIGVuXy9KvYauWKiat1u3qEQP4d3hn5XnTG0CPjq7envbIxjaIsTeF4uUwRZhH_lUNVzD4dj98rbMBoX_yeDEwG1TekNDsyVW8tD7UdOYl95K6R-ZGtVayoTlzNex5P9dB6_LObdDd23crTa1KhGoTuCbDiP5Hjh-Eu1kkmxF88Vv5n37pziTkCkbefYiaqzeRppn17Cvco0TxF9R59p0uokO7jW_UhVeA3vZz7T17KENhGTdPc6108Q34_7MvI2bM0Y5VduImBi3OGR6_L4M=w876-h657-no
 
Ahante nilidtegemea ungekanusha kauli zangu, midhali unakubaliana nazo, tusonge mbele

Hapo kwa Cecil Matola naona kuna hoja ya msingi imeachwa... Historia inaanzia kwa katibu bila kumtaja Rais wa chama!?
 
Hapo kwa Cecil Matola naona kuna hoja ya msingi imeachwa... Historia inaanzia kwa katibu bila kumtaja Rais wa chama!?
Hahahahahaha na ya TANU imeanzia kumtaja Nyerere bila Abdulwahd Sykes
 
Hahahahahaha na ya TANU imeanzia kumtaja Nyerere bila Abdulwahd Sykes

Kimsingi ile ya TANU ambayo haikumtaja Abdul tayari imekosolewa na kwa mujibu wa MS ameandika ili kuweka sawa historia. Hivyo sikutegemea nae afanye makosa yaleyale... Kwa kutomtaja Rais Matola kinagaubaga.
 
Back
Top Bottom