Hamza Mwapachu, Abdulwahid Sykes na Chief Michael Lukumbuzya

Nguruvi3...ndug yanguu...

Achana na huyuu Kingunge Mohamed Said....

He is so mean..he can even make the medicine sick..!

Siyo size yakoo..yakupasa utulie ukae kitako upewe shulee...

Chambilecho umesahau maneno yako na walalama twakuwekea maneno kniywani?...

Ulisema utaenda andika kitabu kuweka historia na upotoshaji wa Mohamed Said sawa...

Three years now...kiko wapi?...
Niliahidi lini na kitabu gani? Unaweza kutuletea uzi.

Ni kweli nitabaki humu humu, niliombwa na gazeti fulani nikawaambia mimi ni wa humu humu JF. Lengo ni kuwafikia watu, elimu ni haki yao.

Hata Mohamed kaandika mabuku, kanywa chai na wazungu n.k. bado yupo humu humu

Ah kule duru kumbe unasoma, nakushangaa sasa wewe unasoma habari za mwendawazimu si utakuwa na hali mbaya kuliko yeye!
sheikh inakuwaje hapo
 
#Mohamed Said kwa heshima na taadhima mzee wangu naomba unisaidie mimi Mjukuu wako na mwanafunzi wako mtiifu wa Historia iliyofichwa pale KIVUKONI kuyajibu haya maandishi ya #Nguruvi3

Kwa wasomaji mliokuta Mohamed Said anaokolewa na matusi ya akina Faiza, haya ndiyo yaliyopo mbele yetu. Mkiona mzee anahangaika, anasema hovyo, anatukuna basi baadhi ya sababu ni hizi hapa chini

1. Tunasubiri Mohamed Said atuletee nakala ya draft(rasimu) au katiba ya kuandika au kukopi iliyokuwepo, andikwa au tumiwa na Abdul Sykes kabla ya katiba iliyoandikwa/kopiwa na Nyerere.

2. Tunasubiri Mohamed Said atueleze kabla ya kutangazwa kwa TANU mwaka 1954, jina la TANU lilitumika katika mkutano au mkusanyiko gani ambao Adul Sykes au mwingine nje ya Nyerere

3. Halafu kuna sauti hii ya Mohamed Said katika dakika 51-53 akimueleza mtangazaji wa radio kuwa kabla ya mwaka 1952 hakuna aliyemsikia au kumjua Nyerere. Sikiliza hapa https://soundcloud.com/mwinyimadi/sheikh-hassan-bin-amir-nur-fm[ Kisha usome maneno haya ya Juma Mwapachu aliyempa Mohamed Said atueletee kama zawadi. Lengo lilikuwa kuonyesha sisi 'vichekesho' hatujui na wala hatuna mawasiliano na watu wakubwa kama akina Mwapachu.

Hata hivyo, katika maandishi hayo tunapata habari nyingine ikihusiana na introduction iliyofanywa na Hamza Mwapachu kwa Nyerere katika kile alichosema TAA Leadership Kumbuka TAA leadership wakati huo ilikuwa chini ya Abdul Sykes, hivyo Hamza Mwapachu alimjulisha Nyerere kwa Abdul Sykes kama sehemu ya TAA leadership.

Soma hapa maneno ya Juma Mwapachu ''I still recall the visit vividly I was a standard three pupil then and together with my brother Bakari had to sleep in the sitting room leaving our bedroom to the two guests.
Abdul Sykes was then President of TAA and the TAA leadership plus Dar-based political activists who were predominantly Moslems wanted Abdul Sykes to retain the Presidency.

Abdul was eager to secure Hamza's position on the matter given the fact that it was Hamza who introduced Nyerere to the TAA leadership in Dar back in 1949 before Nyerere left for Edinburgh University''

Kwa faida ya wasomaji, tunaweka maneno ya Juma Mwapachu katika tafsiri isiyo rasmi

Tunaomba radhi ikiwa kuna mapungufu yatakayojitokeza. Juma Mwapachu anasema hivi ''Bado nakumbuka kwa uyakinifu. Nilikuwa mwanafunzi wa darasa la tatu na pamoja na kaka yangu Bakari tulilala sebuleni kuacha chumba kwa wageni wawili.

Abdulwahidi alikuwa Rais wa TAA na uongozi wa TAA pamoja na wanaharakati wa siasa wengi wao wakiwa waislam walitaka Abdul Sykes abaki kuwa Rais Abdulwahid alikuwa tayari kumuafiki Hamza katika suala hilo katika ukweli kuwa ni Hamza ndiye aliyemtambulisha Nyerere kwa uongozi wa TAA Dar es salaam mwaka 1949 kabla Nyerere hajaondoka kwenda chuo kikuu Edimburgh''

Ndipo tunakuja kutafuta ufafanuzi kwa Mohamed Said katika hoja ya 4 na 5

4. Mohamed Said , je bado unaamini kuwa kabla ya 1952 hakuna yoyote aliyewahi kumsikia Nyerere katika TAA HQ chini ya Abdulwahid Sykes?

5. Je, maneno ya Juma Mwapachu ni uzushi au ni ukweli?

6. Ikidhihirika J.Mwapachu maneno yake ni sahihi,utaliomba radhi jamvi kwa upotoshaji?

Je, utawaomba radhi wasikilizaji uliowapotosha katika redio na lini utafanya hivyo?
Kama maneno yako ni nkweli, je utakuwa tayari kukanusha maneno ya Juma Mwapachu hapa jamvini na kutuomba radhi kwa kutuletea habari zisizo na ukweli?
Na mwisho, Mohamed ajibu hoja hizi, hatuwezi kuburuzwa tu tukubali hata upotoshaji eti kwavile tunataka kujua mengine.

Haina maana kujua mengine ikiwa yapo tusiyoyajua kama haya tunayomuuliza
Mohamed Said, tafadhali sana usihamishe mjadala na kukwepa hoja.

Tunataka kusahihisha historia ya kivukoni kwa ukamilifu wake.Hatutaki kuwaacha vijana wamechanganyikiwa kwa hoja kinzani.

Tutaendelea baada ya majibu, vinginevyo ukiri makosa kama tunavyokubali ya kivukoni.

Ahsante
 
Uncle...
Hakika naandika historia ya Waislam jinsi walivyopigania uhuru
wa Tanganyika.

Angalia anuani ya kitabu hilo liko wazi.

Na hilo ndo kosa lako lilipo, nashukuru sana umekubali.

Kwa hiyo inabidi usiite historia ya ukweli ya Tanganyika kwasababu na wewe umefanya kosa lile lile ambalo unasema watu wa Kivukoni walifanya.

Labda utakuwa sahihi kama unaandika historia ya dini katika Tanganyika wakati wa ukoloni.

Historia ya nchi yenye watu wa aina mbalimbali, dini nyingi, makabila mengi unawezaje kuandika historia kwa mlengo wa dini halafu useme ndio historia ya kweli ya uhuru wa Tanganyika!?

Hakuna anayekataa kwamba hao wazee wa kiislam walishiriki harakati za ukombozi wa Taifa letu japo kweli nikili (na nimeshakufahisha hilo) kwa mara ya kwa niliwafahamu nikiwa chuo kikuu kutoka kwa Dr. Mkanachi! Lakini badala ya wewe kufanya marekebisho, umefanya yale yale tena huenda wewe umefanya kosa kubwa sana kwa kuandika "story" zako kwa mtazamo wa dini zaidi.

Kuna wapigania uhuru wengi sana walikuwepo, wenye itikadi tofauti tofauti za kidini, kuna waliokuwa na dini na wasio na dini. Kwanini uegemee dini flani!?

Je, akija mwingine akaegemea wasio na dini au dini tofauti na uliyoegemea wewe!? Nini kitatokea kwa hao wafuasi wenu!? Watoto wa dini hizo tofauti washike ipi na waache ipi!?

Ndio maana nasisitiza kusema na uendelee kulifahamu kwamba, mashabiki wako wataendelea kubaki wa itikadi yako kitu ambacho hatakuwa umeisaidia Jamii!! Hilo ni kosa kubwa sana ambalo hutakiwi kuendelea kulihubiri kwa nguvu zote kama unavyofanya.
 
Mkuu Nguruvi3 waswahili wanasema ukiwa mwongo basi usiwe msahaulifu.Ustaadhi Mohamed Said ni aina ya watu wenye vipaji vya utunzi na simulizi za hadith narudia tena hadith si kwa bahati mbaya la hasha vitabu vyake au majarida yake tayari yana conclusion anayoitaka yeye lau kama conclusion ikiwa tofauti basi ataiweka kando au ataidharau.

Ustaadhi Mohamed Said uandishi wake umejikita zaidi katika kuidhoufisha uhusiano baina ya Uislam na Ukristo.Anapenda sana kuonyesha picha kwamba waliopigania uhuru wa nchi yetu ni waIslam pekee yake.Nafasi za viongozi wa Kikristo enzi za utawala wa mkoloni anazififisha hadi unashangaa.Mfano Rais wa kwanza wa AA Cecil Matola laiti huyu mwanamama angekuwa si mgalatia sifa zake zingekuwa si haba katika majarida ya Ustaadhi Mohamed,utashangaa zaidi Rais hatajwi kwingi lakini Katibu kwakuwa alikuwa Ustaadhi mwenzake anamiminiwa sifa kibao.

Afanaaleyk! Kumbe Cecil Matola ni mwanamama?

Kuna post juu huku niliuliza kuhusu harakati za kisiasa za wanawake wasio wa Kiislam, mbona hukumtaja?

Mimi nijuavyo huyo ni Mwanamme, hili lako inabidi utufahamishe kiumakini tuelewe kinaga ubaga umeamua kumtusi huyu bwana au una utani nae au huna yakini na uandikayo?

Makubwa!
 
Na hilo ndo kosa lako lilipo, nashukuru sana umekubali.

Kwa hiyo inabidi usiite historia ya ukweli ya Tanganyika kwasababu na wewe umefanya kosa lile lile ambalo unasema watu wa Kivukoni walifanya.

Labda utakuwa sahihi kama unaandika historia ya dini katika Tanganyika wakati wa ukoloni.

Historia ya nchi yenye watu wa aina mbalimbali, dini nyingi, makabila mengi unawezaje kuandika historia kwa mlengo wa dini halafu useme ndio historia ya kweli ya uhuru wa Tanganyika!?

Hakuna anayekataa kwamba hao wazee wa kiislam walishiriki harakati za ukombozi wa Taifa letu japo kweli nikili (na nimeshakufahisha hilo) kwa mara ya kwa niliwafahamu nikiwa chuo kikuu kutoka kwa Dr. Mkanachi! Lakini badala ya wewe kufanya marekebisho, umefanya yale yale tena huenda wewe umefanya kosa kubwa sana kwa kuandika "story" zako kwa mtazamo wa dini zaidi.

Kuna wapigania uhuru wengi sana walikuwepo, wenye itikadi tofauti tofauti za kidini, kuna waliokuwa na dini na wasio na dini. Kwanini uegemee dini flani!?

Je, akija mwingine akaegemea wasio na dini au dini tofauti na uliyoegemea wewe!? Nini kitatokea kwa hao wafuasi wenu!? Watoto wa dini hizo tofauti washike ipi na waache ipi!?

Ndio maana nasisitiza kusema na uendelee kulifahamu kwamba, mashabiki wako wataendelea kubaki wa itikadi yako kitu ambacho hatakuwa umeisaidia Jamii!! Hilo ni kosa kubwa sana ambalo hutakiwi kuendelea kulihubiri kwa nguvu zote kama unavyofanya.

Nikili = nikiri
 
Nikili = nikiri

Nafurahi sana Maalim FaizaFoxy kama akuitavyo Mzee Mohammed Said kuona namna unavyonisaidia kuedit hayo makosa ya kiuandishi ili mzee wangu na nyie wapambe wake muelewe vizuri kabisa ujumbe wangu kwenu.
 
Mimi huwa nakusoma kule kwenye duru za kisiasa kwa kweli hadi nakuonea huruma umekuwa kama mtu ulierukwa na akili hivii...

It has been three years now since you promised to come with your book...

What happened?...

Tulikuambia wewe ni wa humu humu tuh..

Na Utabakia kuwa wa hum hum tuh...
Mkuu heshima kwako

Kila mtu anatambua hoja ujibiwa kwa hoja lakini nashangaa wwe unashindwa kujibu hoja za Nguruvi3 na kuanza kubwabwaja pumba zako tambua Nguruvi3 kaja kuweka thread sawa kutokana na urongo wa mzee wetu ms basi jaribu kumpa heshima yake mkuu Nguruvi3 pia usitoke nje ya mada vimaneno vyako vya sokoni hapa sio sehemu yake
 
Na hilo ndo kosa lako lilipo, nashukuru sana umekubali.

Kwa hiyo inabidi usiite historia ya ukweli ya Tanganyika kwasababu na wewe umefanya kosa lile lile ambalo unasema watu wa Kivukoni walifanya.

Labda utakuwa sahihi kama unaandika historia ya dini katika Tanganyika wakati wa ukoloni.

Historia ya nchi yenye watu wa aina mbalimbali, dini nyingi, makabila mengi unawezaje kuandika historia kwa mlengo wa dini halafu useme ndio historia ya kweli ya uhuru wa Tanganyika!?

Hakuna anayekataa kwamba hao wazee wa kiislam walishiriki harakati za ukombozi wa Taifa letu japo kweli nikili (na nimeshakufahisha hilo) kwa mara ya kwa niliwafahamu nikiwa chuo kikuu kutoka kwa Dr. Mkanachi! Lakini badala ya wewe kufanya marekebisho, umefanya yale yale tena huenda wewe umefanya kosa kubwa sana kwa kuandika "story" zako kwa mtazamo wa dini zaidi.

Kuna wapigania uhuru wengi sana walikuwepo, wenye itikadi tofauti tofauti za kidini, kuna waliokuwa na dini na wasio na dini. Kwanini uegemee dini flani!?

Je, akija mwingine akaegemea wasio na dini au dini tofauti na uliyoegemea wewe!? Nini kitatokea kwa hao wafuasi wenu!? Watoto wa dini hizo tofauti washike ipi na waache ipi!?

Ndio maana nasisitiza kusema na uendelee kulifahamu kwamba, mashabiki wako wataendelea kubaki wa itikadi yako kitu ambacho hatakuwa umeisaidia Jamii!! Hilo ni kosa kubwa sana ambalo hutakiwi kuendelea kulihubiri kwa nguvu zote kama unavyofanya.
Tofautisha kati ya kushiriki na kuanzisha.. Sema walianzisha harakati za ukombozi wa taifa hili
 
Harakati za ukombozi hazikuanzishwa na hao wazee wa Dar es Salaam, harakati za kudai uhuru zilianza tangu mkoloni anaingia Tanganyika!

Hapo ndo watu kama nyie mnao mshabikia mzee Mohammed mnaposhindwa kutumia utashi wenu!

Mapambano baina ya machifu na watemi wa kiafrika si ya kubeza! Kina Mkwawa, Abushiri, Bwana Heri, Chief Mirambo na wengine wengi wote hao ni wanaharakati wa kudai uhuru wa kujitawala!

Hakuna mwanahistoria yeyeto hapa Tanganyika anayebeza vita vya maji maji! Huko ndiko harakati zilikoanzia! Hivyo hao wazee wa Dar es Salam anaowazungumza Mzee watu si kwamba ndio waanzilishi wa kudai uhuru! Hapana, hilo hata Mohammed nadhani atakukatilia.
 
Mkuu heshima kwako
Kila mtu anatambua hoja ujibiwa kwa hoja lakini nashangaa wwe unashindwa kujibu hoja za Nguruvi3 na kuanza kubwabwaja pumba zako tambua Nguruvi3 kaja kuweka thread sawa kutokana na urongo wa mzee wetu ms basi jaribu kumpa heshima yake mkuu Nguruvi3 pia usitoke nje ya mada vimaneno vyako vya sokoni hapa sio sehemu yake
Nilipoweka bandiko hili hapa chini nilifahamu nini kinafuata.

Hata kabla ya kubaini, Mohamed Said kanidokezea kidogo kwa kusema ataleta watu kutoka katika blog yake. Nikamwambi hewala na waje

Tatizo la watu wa blog kuwa wakali limeanzia hapa kama alivyoonyesha mkuu Mwandwanga.
#Mohamed Said kwa heshima na taadhima mzee wangu naomba unisaidie mimi Mjukuu wako na mwanafunzi wako mtiifu wa Historia iliyofichwa pale KIVUKONI kuyajibu haya maandishi ya #Nguruvi3

Kwa wasomaji mliokuta Mohamed Said anaokolewa na matusi ya akina Faiza, haya ndiyo yaliyopo mbele yetu.

Mkiona mzee anahangaika, anasema hovyo, anatukuna baadhi ya sababu ni hizi hapa chini

1. Tunasubiri Mohamed Said atuletee nakala ya draft(rasimu) au katiba ya kuandika au kukopi iliyokuwepo, andikwa au tumiwa na Abdul Sykes kabla ya katiba iliyoandikwa/kopiwa na Nyerere.

2. Tunasubiri Mohamed Said atueleze kabla ya kutangazwa kwa TANU mwaka 1954, jina la TANU lilitumika katika mkutano au mkusanyiko gani ambao Adul Sykes au mwingine nje ya Nyerere

3. Halafu kuna sauti hii ya Mohamed Said katika dakika 51-53 akimueleza mtangazaji wa radio kuwa kabla ya mwaka 1952 hakuna aliyemsikia au kumjua Nyerere.

Sikiliza hapa https://soundcloud.com/mwinyimadi/sheikh-hassan-bin-amir-nur-fm[ Kisha usome maneno haya ya Juma Mwapachu aliyempa Mohamed Said atueletee kama zawadi. Lengo lilikuwa kuonyesha sisi 'vichekesho' hatujui na wala hatuna mawasiliano na watu wakubwa kama akina Mwapachu.

Hata hivyo, katika maandishi hayo tunapata habari nyingine ikihusiana na introduction iliyofanywa na Hamza Mwapachu kwa Nyerere katika kile alichosema TAA Leadership Kumbuka TAA leadership wakati huo ilikuwa chini ya Abdul Sykes, hivyo Hamza Mwapachu alimjulisha Nyerere kwa Abdul Sykes kama sehemu ya TAA leadership.

Soma hapa maneno ya Juma Mwapachu ''I still recall the visit vividly I was a standard three pupil then and together with my brother Bakari had to sleep in the sitting room leaving our bedroom to the two guests.
Abdul Sykes was then President of TAA and the TAA leadership plus Dar-based political activists who were predominantly Moslems wanted Abdul Sykes to retain the Presidency.

Abdul was eager to secure Hamza's position on the matter given the fact that it was Hamza who introduced Nyerere to the TAA leadership in Dar back in 1949 before Nyerere left for Edinburgh University''

Kwa faida ya wasomaji, tunaweka maneno ya Juma Mwapachu katika tafsiri isiyo rasmi

Tunaomba radhi ikiwa kuna mapungufu yatakayojitokeza. Juma Mwapachu anasema hivi ''Bado nakumbuka kwa uyakinifu. Nilikuwa mwanafunzi wa darasa la tatu na pamoja na kaka yangu Bakari tulilala sebuleni kuacha chumba kwa wageni wawili.

Abdulwahidi alikuwa Rais wa TAA na uongozi wa TAA pamoja na wanaharakati wa siasa wengi wao wakiwa waislam walitaka Abdul Sykes abaki kuwa Rais Abdulwahid alikuwa tayari kumuafiki Hamza katika suala hilo katika ukweli kuwa ni Hamza ndiye aliyemtambulisha Nyerere kwa uongozi wa TAA Dar es salaam mwaka 1949 kabla Nyerere hajaondoka kwenda chuo kikuu Edimburgh''

Ndipo tunakuja kutafuta ufafanuzi kwa Mohamed Said katika hoja ya 4 na 5

4. Mohamed Said , je bado unaamini kuwa kabla ya 1952 hakuna yoyote aliyewahi kumsikia Nyerere katika TAA HQ chini ya Abdulwahid Sykes?

5. Je, maneno ya Juma Mwapachu ni uzushi au ni ukweli?

6. Ikidhihirika J.Mwapachu maneno yake ni sahihi,utaliomba radhi jamvi kwa upotoshaji?

Je, utawaomba radhi wasikilizaji uliowapotosha katika redio na lini utafanya hivyo?
Kama maneno yako ni nkweli, je utakuwa tayari kukanusha maneno ya Juma Mwapachu hapa jamvini na kutuomba radhi kwa kutuletea habari zisizo na ukweli?
Na mwisho, Mohamed ajibu hoja hizi, hatuwezi kuburuzwa tu tukubali hata upotoshaji eti kwavile tunataka kujua mengine.

Haina maana kujua mengine ikiwa yapo tusiyoyajua kama haya tunayomuuliza
Mohamed Said, tafadhali sana usihamishe mjadala na kukwepa hoja.

Tunataka kusahihisha historia ya kivukoni kwa ukamilifu wake.Hatutaki kuwaacha vijana wamechanganyikiwa kwa hoja kinzani.

Tutaendelea baada ya majibu, vinginevyo ukiri makosa kama tunavyokubali ya kivukoni.

Ahsante
Na wamefika, mwenyewe kapumua sasa!
Hili bandiko mimi huliita bao 6
 
Harakati za ukombozi hazikuanzishwa na hao wazee wa Dar es Salaam, harakati za kudai uhuru zilianza tangu mkoloni anaingia Tanganyika!

Hapo ndo watu kama nyie mnao mshabikia mzee Mohammed mnaposhindwa kutumia utashi wenu!

Mapambano baina ya machifu na watemi wa kiafrika si ya kubeza! Kina Mkwawa, Abushiri, Bwana Heri, Chief Mirambo na wengine wengi wote hao ni wanaharakati wa kudai uhuru wa kujitawala!

Hakuna mwanahistoria yeyeto hapa Tanganyika anayebeza vita vya maji maji! Huko ndiko harakati zilikoanzia! Hivyo hao wazee wa Dar es Salam anaowazungumza Mzee watu si kwamba ndio waanzilishi wa kudai uhuru! Hapana, hilo hata Mohammed nadhani atakukatilia.
Huu mnakasha ili uende vizuri ni vyema ungeweka ushahidi ya hayo maneno yako samahani lakini kama takuwa nimekukwaza.
 
Kwani hao uliowataja walikuwa na dini gani..!? au unavyoambiwa kuwa wazee wa kiislaam walianzisha TAA na mwalimu akaacha kazi ya ualimu akajiunga na siasa, kwa upeo wako unaelewaje..!? au unakwepa usiku ambao lazima ukupate!
 
Harakati za ukombozi hazikuanzishwa na hao wazee wa Dar es Salaam, harakati za kudai uhuru zilianza tangu mkoloni anaingia Tanganyika!

Hapo ndo watu kama nyie mnao mshabikia mzee Mohammed mnaposhindwa kutumia utashi wenu!

Mapambano baina ya machifu na watemi wa kiafrika si ya kubeza! Kina Mkwawa, Abushiri, Bwana Heri, Chief Mirambo na wengine wengi wote hao ni wanaharakati wa kudai uhuru wa kujitawala!

Hakuna mwanahistoria yeyeto hapa Tanganyika anayebeza vita vya maji maji! Huko ndiko harakati zilikoanzia! Hivyo hao wazee wa Dar es Salam anaowazungumza Mzee watu si kwamba ndio waanzilishi wa kudai uhuru! Hapana, hilo hata Mohammed nadhani atakukatilia.
Uncle...
Nashukuru umeileta Maji Maji hapa.

Sasa msome Mohamed Said anavyoandika kuhusu Maji Maji katika
kitabu cha Abdul Sykes:
''...many scholars before and after have either by omission or
commission ignored the Islamic factor in the political development
of colonial Tanganyika; beginning with Maji Maji War in 1905
during the German period, the labour movement in the late 1930s
and the struggle in 1950s during British colonialism...''

Mohamed Said anaendelea katika kitabu hicho:
''...when the Maji Maji War began in 1905 to try to oust Germans from
Tanganyika, the predominantly Christian areas in the south refused
to join the movement and actually fought alongside German forces
against the patriots.

This was because the uprising had begun in Muslim dominated areas
and had within it Muslim characteristics. Missionaries, being collaborators,
were taken as legitimate targets by Maji Maji fighters. As a result, African
Christians saw Maji Maji War as an uprising against Christianity. Maji Maji
movement was defeated and Germans committed atrocities against the
people and their leaders. This left a big scar in the minds of Muslims in
the south and the people in general, and hence the apolitical behaviour
of Christians in the south.''

Tunaweza kuanza mjadala wetu kutokea hapa.
 
Huu mnakasha ili uende vizuri ni vyema ungeweka ushahidi ya hayo maneno yako samahani lakini kama takuwa nimekukwaza.
Carlos...
Nimeshazungumzanae.
Tusubiri arejee.
Nilipoweka bandiko hili hapa chini nilifahamu nini kinafuata.

Hata kabla ya kubaini, Mohamed Said kanidokezea kidogo kwa kusema ataleta watu kutoka katika blog yake. Nikamwambi hewala na waje

Tatizo la watu wa blog kuwa wakali limeanzia hapa kama alivyoonyesha mkuu Mwandwanga. Na wamefika, mwenyewe kapumua sasa!

Nguruvi3,
Una hii kasoro ya kutengeneza kauli ukasema nimesema.
Naona vibaya sisi kusutana.

Mimi nilichokuambia ni kuwa ninakuweka katika blog yangu
ili watu wengine wakusome.

Sikusema kuwa nitaleta watu.
Mimi peke yangu nakumudu sihitaji usaidizi wa mtu yeyote.

Lakini ikiwa mtu kakusoma katika blog yangu na yeye akaja
kwenye mjadala na kujadili kiungwana mimi sioni kama upo
ubaya.

La ikiwa wewe hupendezewi unaweza ukaeleza hapa na hao
watokao kwangu wataacha In Shaallah.
 
Nilipoweka bandiko hili hapa chini nilifahamu nini kinafuata.

Hata kabla ya kubaini, Mohamed Said kanidokezea kidogo kwa kusema ataleta watu kutoka katika blog yake. Nikamwambi hewala na waje

Tatizo la watu wa blog kuwa wakali limeanzia hapa kama alivyoonyesha mkuu Mwandwanga. Na wamefika, mwenyewe kapumua sasa!
Hili bandiko mimi huliita bao 6
Nguruvi3, mbona tena unaanza kujihami mapema hamna watu wowote wanaotoka kwenye blog ya Mzee Mohamed, hawa ni members wa JF tena wa muda mrefu wana haki ya kuja kwenye huu mnakasha. Sijui kama kuna tatizo lolote watu kufuatilia na kujifunza kutoka kwenu wajuvi wa historia ya Tanganyika.
 
Na hilo ndo kosa lako lilipo, nashukuru sana umekubali.

Kwa hiyo inabidi usiite historia ya ukweli ya Tanganyika kwasababu na wewe umefanya kosa lile lile ambalo unasema watu wa Kivukoni walifanya.

Labda utakuwa sahihi kama unaandika historia ya dini katika Tanganyika wakati wa ukoloni.

Historia ya nchi yenye watu wa aina mbalimbali, dini nyingi, makabila mengi unawezaje kuandika historia kwa mlengo wa dini halafu useme ndio historia ya kweli ya uhuru wa Tanganyika!?

Hakuna anayekataa kwamba hao wazee wa kiislam walishiriki harakati za ukombozi wa Taifa letu japo kweli nikili (na nimeshakufahisha hilo) kwa mara ya kwa niliwafahamu nikiwa chuo kikuu kutoka kwa Dr. Mkanachi! Lakini badala ya wewe kufanya marekebisho, umefanya yale yale tena huenda wewe umefanya kosa kubwa sana kwa kuandika "story" zako kwa mtazamo wa dini zaidi.

Kuna wapigania uhuru wengi sana walikuwepo, wenye itikadi tofauti tofauti za kidini, kuna waliokuwa na dini na wasio na dini. Kwanini uegemee dini flani!?

Je, akija mwingine akaegemea wasio na dini au dini tofauti na uliyoegemea wewe!? Nini kitatokea kwa hao wafuasi wenu!? Watoto wa dini hizo tofauti washike ipi na waache ipi!?

Ndio maana nasisitiza kusema na uendelee kulifahamu kwamba, mashabiki wako wataendelea kubaki wa itikadi yako kitu ambacho hatakuwa umeisaidia Jamii!! Hilo ni kosa kubwa sana ambalo hutakiwi kuendelea kulihubiri kwa nguvu zote kama unavyofanya.
Uncle...
Inawezekana ukaona kosa kuandika historia ya Waislam wa Tanganyika.
Ndiyo ubinadamu ulivyo, ''one man's meat is another man's poison.''

Mimi kwangu si kosa na ndiyo maana nikakujibu kuwa soma anuani ya
kitabu changu.

Inawezekana wewe hujui lakini kuna vitabu vingi tu vilivyoandika historia
na mengi ya Waislam wa Tanganyika.

Katika vitabu maarufu ni hiki cha Augustus Nimitz: Islam and Politics in
East Africa.

Kipo pia kitabu cha P van Bergen: Religion and Development in Tanzania.
Kipo kitabu kinachoeleza habari za Kanisa Katoliki cha John Sivalon: Kanisa
Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985.

Hapana ubaya kuandika historia kama niliyoandika mimi kwani ni jambo la
kawaida katika usomi.

Asikutishe mtu.
Hayo mengine sitoyagusa kwa kuwa unaandika kitu usichokijua.

Muulize Dr. Mkanachi kuhusu historia hii.
Wakati alipokuwa anaandika tasnifu yake alikuja kujadiliana na mimi.

Mengine itapendeza yatoke kinywani kwake.
 
Back
Top Bottom