Hamza ni kama kijana Mohamed Bouazizi wa Tunisia

Hamza ni kama kijana Mohamed Bouazizi wa Tunisia

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Kuna japo kuandika kwangu sio mzuri.

Mnaokumbuka kijana watunisia aliyekuwa msomi na kuanza kutafuta kujiajili kipindi cha utawala uliokuwa unafanya watakayo, Mohamed Bouazizi baada ya kufanyiwa manyanyaso alijipiga kiberiti na kufanya vijana wote kuondoa serekali kwa maandamano kupinga kandamizi ya utawala.

Nasema bila yeye serekali ya utawala mbovu isingeondoka.

IMG_0095.jpg

Bado tunaona kwetu kwa kijana hamza !

Je, kuna vijana wangapi ambao wamechoka haya mambo serekali wanayo fanya kwa kutumia kukandamiza bila kutafuta kusaidia wananchi wake!

IMG_0067.jpg

Serikali iliyopo madarakani ushauri kwangu mimi!

Ifikapo 2025 mnaweza kuficha sura zenu kwa mifano tosha kuwa mjue mmechokwa!

Mnanikumbusha kuna kipindi nchi ya india serekali ilikuwa inafanya maisha ya sinema hii.

IMG_0070.jpg

Uiona tumefika level hizi za watu kujiamini japo nyengine zinafichwa kwa mambo ya kusingizia visa vengine.

Hitimisho: Ukiona nchi ya mwenzako ilishanyolewa kwa haya basi zako weka maji.
 
Kuna japo kuandika kwangu sio mzuri.

mnaokumbuka kijana watunisia aliyekuwa msomi na kuanza kutafuta kujiajili kipindi cha utawala uliokuwa unafanya watakayo, Mohamed Bouazizi baada ya kufanyiwa manyanyaso alijipiga kiberiti na kufanya vijana wote kuondoa serekali kwa maandamano kupinga kandamizi ya utawala.

nasema bila yeye serekali ya utawala mbovu isingeondoka.

View attachment 1909587

bado tunaona kwetu kwa kijana hamza !

je kuna vijana wangapi ambao wamechoka haya mambo serekali wanayo fanya kwa kutumia kukandamiza bila kutafuta kusaidia wananchi wake!

View attachment 1909590

serekali iliyopo madarakani ushauri kwangu mimi!

ifikapo 2025 mnaweza kuficha sura zenu kwa mifano tosha kuwa mjue mmechokwa !

mnanikumbusha kuna kipindi nchi ya india serekali ilikuwa inafanya maisha ya sinema hiiView attachment 1909595

ukiona tumefika level hizi za watu kujiamini japo nyengine zinafichwa kwa mambo ya kusingizia visa vengine.

hitimisho:ukiona nchi ya mwenzako ilishanyolewa kwa haya basi zako weka maji.
Siasa zisha waharibu watu.
 
Niya kweli ayo lakini sio kwamba unavyo andika ivyo ni uko salama sana kwa sababu upo JF
 
Kuna japo kuandika kwangu sio mzuri.

mnaokumbuka kijana watunisia aliyekuwa msomi na kuanza kutafuta kujiajili kipindi cha utawala uliokuwa unafanya watakayo, Mohamed Bouazizi baada ya kufanyiwa manyanyaso alijipiga kiberiti na kufanya vijana wote kuondoa serekali kwa maandamano kupinga kandamizi ya utawala.

nasema bila yeye serekali ya utawala mbovu isingeondoka.

View attachment 1909587

bado tunaona kwetu kwa kijana hamza !

je kuna vijana wangapi ambao wamechoka haya mambo serekali wanayo fanya kwa kutumia kukandamiza bila kutafuta kusaidia wananchi wake!

View attachment 1909590

serekali iliyopo madarakani ushauri kwangu mimi!

ifikapo 2025 mnaweza kuficha sura zenu kwa mifano tosha kuwa mjue mmechokwa !

mnanikumbusha kuna kipindi nchi ya india serekali ilikuwa inafanya maisha ya sinema hiiView attachment 1909595

ukiona tumefika level hizi za watu kujiamini japo nyengine zinafichwa kwa mambo ya kusingizia visa vengine.

hitimisho:ukiona nchi ya mwenzako ilishanyolewa kwa haya basi zako weka maji.
Gaidi mwenzio
 
Mkuu wewe unaweza kujimwagia petroli na kujiwasha kiberiti?

Amani ikitoweka hairudi na watu wasio na hatia ndio wataumia na mabovu yatageuka skrepa.
But luckily hicho kitu hakitatokea Tanzania.

Ni simple sana ukiwa umekaa kwenye sofa ukitype huku ukisubiri chakula cha usiku na familia yako ikiwa salama bila kusikia milio ya risasi na mabomu yakilipuka 24h kila siku.

Kuna njia sahihi na za kueleweka kudai haki na sio huu upuuzi.

Only vichwa maji ndio watafanya aina ile ya upuuzi.
 
Back
Top Bottom