Kuna japo kuandika kwangu sio mzuri.
Mnaokumbuka kijana watunisia aliyekuwa msomi na kuanza kutafuta kujiajili kipindi cha utawala uliokuwa unafanya watakayo, Mohamed Bouazizi baada ya kufanyiwa manyanyaso alijipiga kiberiti na kufanya vijana wote kuondoa serekali kwa maandamano kupinga kandamizi ya utawala.
Nasema bila yeye serekali ya utawala mbovu isingeondoka.
View attachment 1909587
Bado tunaona kwetu kwa kijana hamza !
Je, kuna vijana wangapi ambao wamechoka haya mambo serekali wanayo fanya kwa kutumia kukandamiza bila kutafuta kusaidia wananchi wake!
View attachment 1909590
Serikali iliyopo madarakani ushauri kwangu mimi!
Ifikapo 2025 mnaweza kuficha sura zenu kwa mifano tosha kuwa mjue mmechokwa!
Mnanikumbusha kuna kipindi nchi ya india serekali ilikuwa inafanya maisha ya sinema hii.
View attachment 1909595
Uiona tumefika level hizi za watu kujiamini japo nyengine zinafichwa kwa mambo ya kusingizia visa vengine.
Hitimisho: Ukiona nchi ya mwenzako ilishanyolewa kwa haya basi zako weka maji.