Nyonzo bin mvule
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 2,428
- 6,929
Disuli pande zipi mkuumimi sio mwanasiasa.embu siku moja njoo south africa ufanye ujinga uliomfanyia hamza.kikikupata utafurahi.
usipende kuzurumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Disuli pande zipi mkuumimi sio mwanasiasa.embu siku moja njoo south africa ufanye ujinga uliomfanyia hamza.kikikupata utafurahi.
usipende kuzurumu
Mkuu wewe unaweza kujimwagia petroli na kujiwasha kiberiti?
Amani ikitoweka hairudi na watu wasio na hatia ndio wataumia na mabovu yatageuka skrepa.
But luckily hicho kitu hakitatokea Tanzania.
Ni simple sana ukiwa umekaa kwenye sofa ukitype huku ukisubiri chakula cha usiku na familia yako ikiwa salama bila kusikia milio ya risasi na mabomu yakilipuka 24h kila siku.
Kuna njia sahihi na za kueleweka kudai haki na sio huu upuuzi.
Only vichwa maji ndio watafanya aina ile ya upuuzi.
Hapana kuna baadhi ya source zina sema Hamza ni Gaidi aliyejiunga na AlshababuShujaa hamza
Hapana kuna baadhi ya source zina sema Hamza ni Gaidi aliyejiunga na Alshababu
Hamza sio Shujaa hata kidogo.
Kuna njia za amani na sahihi za kupigania haki na sio fujo au kuhatarisha amani.maisha yaja kupiga kwa mke wako
Kweli kabisa Mkuu.Kuna japo kuandika kwangu sio mzuri.
mnaokumbuka kijana watunisia aliyekuwa msomi na kuanza kutafuta kujiajili kipindi cha utawala uliokuwa unafanya watakayo, Mohamed Bouazizi baada ya kufanyiwa manyanyaso alijipiga kiberiti na kufanya vijana wote kuondoa serekali kwa maandamano kupinga kandamizi ya utawala.
nasema bila yeye serekali ya utawala mbovu isingeondoka.
View attachment 1909587
bado tunaona kwetu kwa kijana hamza !
je kuna vijana wangapi ambao wamechoka haya mambo serekali wanayo fanya kwa kutumia kukandamiza bila kutafuta kusaidia wananchi wake!
View attachment 1909590
serekali iliyopo madarakani ushauri kwangu mimi!
ifikapo 2025 mnaweza kuficha sura zenu kwa mifano tosha kuwa mjue mmechokwa !
mnanikumbusha kuna kipindi nchi ya india serekali ilikuwa inafanya maisha ya sinema hiiView attachment 1909595
ukiona tumefika level hizi za watu kujiamini japo nyengine zinafichwa kwa mambo ya kusingizia visa vengine.
hitimisho:ukiona nchi ya mwenzako ilishanyolewa kwa haya basi zako weka maji.
Aisee Hamza ni shujaa.Tuache utani polisi wanakera balaa,mimi mwenyewe nini hasira nao sana tu.Hivi hizi akili km za haji manala we mleta uzi umezitoa wap?
Huyu Sasa ndo Shujaa MwendazakeHamza shujaa wangu sana tu
Labda kama na nyie ni wasomali......ila kama ni wabongo....maandamano yataishia kwenye keyboard tu
Mbowe ana tuhumiwa kwa kuwa rubuni kwa fedha na kuwatumia wanajeshi walio ondolewa ktk Jeshi ktk vitendo vya Kigaidi dhidi ya Serikali.![]()
EXCLUSIVE: Killer near French embassy in Tanzania was brother to Al-Shabaab fighter killed in central Somalia
MOGADISHU (HOL) - The man behind the killing of three police officers and a security gurad near the French embassy in Dar es Salaam Wednesday is the brother of a former Al-Shabaab operative who was killed a while back in central Somalia, HOL can authoritatively reveal.www.hiiraan.com
Someni [emoji115] huyo Hamza ni Gaidi Orijino sio wa kusingizia kama Shujaa Mwamba Mbowe.
Mbowe ana tuhumiwa kwa kuwa rubuni kwa fedha na kuwatumia wanajeshi walio ondolewa ktk Jeshi ktk vitendo vya Kigaidi dhidi ya Serikali.
Kitendo cha kuwa tumia waliopo au walio kuwepo ndani ya Chama au ktk Jeshi au ktk Serikali haiwezi kuhalalisha vitendo vya Kigaidi hata kidogo.
kama Mbowe aliweza kuwa rubuni hao wanajeshi walio fukuzwa kazi vipi hao wavuta bangi wengine ?!
vipi hao wafuasi wasio jitambua?!
huyu jamaa amewaharibu sana wafuasi wa Chadema kwa kuwajaza nia ovu dhidi ya serikali.
Vijana tujihadhari kutumiwa vibaya.
Mbowe inadaiwa aliwatumia hawa wanajeshi ktk kutekeleza vitendo vya kigaidi dhidi ya Serikali, vijana hao ni:
1. HALFANI BWIRE HASSANI
2. ADAM HASSANI KASEKWA
3. MOHAMEDI ABDILLAHI LINGWENYA.
tuchukue tahadhari Serikali ipo macho.
Siasa.mimi sio mwanasiasa.embu siku moja njoo south africa ufanye ujinga uliomfanyia hamza.kikikupata utafurahi.
usipende kuzurumu