Hamza ni kama kijana Mohamed Bouazizi wa Tunisia

kwani dogo Hamza walimzulumu nn mkuu!?
 
Ukiandamana unaitwa gaidi
 
Nadhani mleta mada ungetuanzishia ungejipiga kiberiti sisi tutakuunga mkono
 
Kuna njia za amani na sahihi za kupigania haki na sio fujo au kuhatarisha amani.

Hii sio South Africa!.

Mwelekezaji alietuliza akili huonyesha mfano wa njia hiyo kwa mfano? na haki akaipata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…