Handeni: Dereva wa Bodaboda agonga bundi na kufariki

Ikishaandikwa utakufa hata kwa kuteleza kutoka kitandani kwako.

Mimi toka binamu yangu tuagane usiku wa saa 23:00 akiwa mzima na kuamka asubuhi amekauka kifo cha mtu huwa sikishangai hata kiwe cha style gani,kama haikutokea sababu yoyote unategemea mtu atakufaje?

Mungu amrehemu.
 
View attachment 2992758Afisa mifugo wilayani Handeni mkoani Tanga (Jina lake bado halijafahamika) amefariki dunia baada ya kumgonga ndege aina ya Bundi na pikipiki aliyokuwa akiendesha yenye namba za usajili STM 0232 . Ajali hiyo imetokea asubuhi ya leo Ijumaa, Mei 17 2024 eneo la Sindeni, Handeni jirani na kona ya PRS 2.

Mashuhuda walioshuhudia ajali hiyo wamesema baada ya dereva huyo kumgonga bundi pikipiki yake ilipoteza mwelekeo na kuanguka na dereva huyo kupasuka kichwa. Na bundi huyo baada ya kugongwa alikufa papo hapo.

Mkuu wa wilaya ya Handeni, Albert Msando amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa haamini kama ajali hiyo imetokana na imani za kishirikina.
========
KARIBUNI HANDENI MJIPATIE MASHAMBA YA BEI CHEE!

#CloudsDigital
Haya "washirikina" kuna jambo lenu huku....
 
Ikishaandikwa utakufa hata kwa kuteleza kutoka kitandani kwako.

Mimi toka binamu yangu tuagane usiku wa saa 23:00 akiwa mzima na kuamka asubuhi amekauka kifo cha mtu huwa sikishangai hata kiwe cha style gani,kama haikutokea sababu yoyote unategemea mtu atakufaje?

Mungu amrehemu.
Pole sana Mkuu.
 
Uchawi ni ujinga tu na kukosa akili, ndio yale ya Mobutu kupeleka waganga wa kienyeji wachawi kuroga kushinda match ya football badala yake wakapigwa magoli ya kutosha na wazungu.

Uchawi ni ujinga tu, uchawi ni imani.
Wewe ni dini gani?
 
View attachment 2992758Afisa mifugo wilayani Handeni mkoani Tanga (Jina lake bado halijafahamika) amefariki dunia baada ya kumgonga ndege aina ya Bundi na pikipiki aliyokuwa akiendesha yenye namba za usajili STM 0232 . Ajali hiyo imetokea asubuhi ya leo Ijumaa, Mei 17 2024 eneo la Sindeni, Handeni jirani na kona ya PRS 2.

Mashuhuda walioshuhudia ajali hiyo wamesema baada ya dereva huyo kumgonga bundi pikipiki yake ilipoteza mwelekeo na kuanguka na dereva huyo kupasuka kichwa. Na bundi huyo baada ya kugongwa alikufa papo hapo.

Mkuu wa wilaya ya Handeni, Albert Msando amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa haamini kama ajali hiyo imetokana na imani za kishirikina.
========
KARIBUNI HANDENI MJIPATIE MASHAMBA YA BEI CHEE!

#CloudsDigital
Mbona huyo bundi anakuwa kama anacheka vile?
 
Back
Top Bottom