Handeni: Dereva wa Bodaboda agonga bundi na kufariki

Ikishaandikwa utakufa hata kwa kuteleza kutoka kitandani kwako.

Mimi toka binamu yangu tuagane usiku wa saa 23:00 akiwa mzima na kuamka asubuhi amekauka kifo cha mtu huwa sikishangai hata kiwe cha style gani,kama haikutokea sababu yoyote unategemea mtu atakufaje?

Mungu amrehemu.
 
Kuna jamaa yangu alizaa na Binti wa Tanga rkn akagoma kuoa , yaani anayopitia saiv 🙌🙌
Uchawi ni ujinga tu na kukosa akili, ndio yale ya Mobutu kupeleka waganga wa kienyeji wachawi kuroga kushinda match ya football badala yake wakapigwa magoli ya kutosha na wazungu.

Uchawi ni ujinga tu, uchawi ni imani.
 
Haya "washirikina" kuna jambo lenu huku....
 
Pole sana Mkuu.
 
Uchawi ni ujinga tu na kukosa akili, ndio yale ya Mobutu kupeleka waganga wa kienyeji wachawi kuroga kushinda match ya football badala yake wakapigwa magoli ya kutosha na wazungu.

Uchawi ni ujinga tu, uchawi ni imani.
Wewe ni dini gani?
 
Mbona huyo bundi anakuwa kama anacheka vile?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…