100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
Niwe mpagani, mkristo ama muislamu uchawi ni imani, ukiamini itakuwa na usipoamini haitokuwa.Wewe ni dini gani?
Mkuu tudokeze kidogo basi ili tuunganishe dot na tukio hili.Kuna jamaa yangu alizaa na Binti wa Tanga rkn akagoma kuoa , yaani anayopitia saiv 🙌🙌
Kaka ukifika Tanga tembea na GADI😁😁Mkuu tudokeze kidogo basi ili tuunganishe dot na tukio hili.
Mh! Bila kufanya kisa chochote, inabidi tu kujihami?Kaka ukifika Tanga tembea na GADI😁😁
Mkuu,Hapo ni pikipiki ilimshinda alipotaka kumkwepa huyo bundi na kuanguka chini.
Wabongo walivyo watasema ni uchawi.
Nini maana ya mpagani?Niwe mpagani, mkristo ama muislamu uchawi ni imani, ukiamini itakuwa na usipoamini haitokuwa.
Si waroge timu yetu iende iende kombe la dunia, wakoloni walipokuja kuwafanya watumwa mlishindwa kuwaroga?
Wazungu wametuthibtishia uchawi ni upumbavu.
Mkuu usiamini katika uchawi, spiritual powers kwa uelewa wangu mdogo hata hawa wachungaji wa makanisa ya kilokole kabla hajakuombea anakuuliza una imani na unaamini? pale ni imani ndiyo inafanya kazi, nguvu za giza ni imani pia.Mkuu,
Uchawi upo 😊
uki chimba deep utagundua hata humu ndani Kuna nyuzi za shuhuda nyingi za uchawi na ushirikina mkuu
Mtu ambaye dini yake si ukristo, uislamu wala uyahudi n.k , vip nikikuambia dini yangu ni upendo.Nini maana ya mpagani?
Ni sawasawa kabisa Kuna vijiji huko utashangaa from know where unapigwa makombora mpaka unachanganyikiwaMkuu usiamini katika uchawi, spiritual powers kwa uelewa wangu mdogo hata hawa wachungaji wa makanisa ya kilokole kabla hajakuombea anakuuliza una imani na unaamini? pale ni imani ndiyo inafanya kazi, nguvu za giza ni imani pia.
Mchawi hanifanyi lolote.
Bado hujakutana na wachawi Mkuu, mwanadamu anao uwezo wa kupambana na ushirikina tu na sio uchawi.Mkuu usiamini katika uchawi, spiritual powers kwa uelewa wangu mdogo hata hawa wachungaji wa makanisa ya kilokole kabla hajakuombea anakuuliza una imani na unaamini? pale ni imani ndiyo inafanya kazi, nguvu za giza ni imani pia.
Mchawi hanifanyi lolote.
Nimeuliza swali, kama uchawi una nguvu hio ilikuaje babu zetu wakashindwa kuwaroga wazungu kwenye ukoloni wakakimbia tukaendelea kujitawala?Bado hujakutana na wachawi Mkuu, mwanadamu anao uwezo wa kupambana na ushirikina tu na sio uchawi.
Hahahaha wewe ni mkristo ambae unafananishwa na mbegu iliyopandwa nyikaniMtu ambaye dini yake si ukristo, uislamu wala uyahudi n.k , vip nikikuambia dini yangu ni upendo.