BrownRange
JF-Expert Member
- Dec 25, 2020
- 927
- 1,191
Hakuna hicho kituAseme tu 'kaskazini magharibi' 😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna hicho kituAseme tu 'kaskazini magharibi' 😂😂
Mkuu basi kuwa hodari kutiririka takwimu na njia zipi zitattua shida zetu na msosi matumbo yetu ya changamke.Hiyo ni mikoa ya kanda ya ziwa,
Mikoa ya kaskazini ni arusha, manyara, kilimanjaro na tanga
Kanda ya kati kuna singida dodoma nazani na tabora
Kanda ya mashariki kuna pwani dsm na morogoro
Kanda ya kusini kuna lindi mtwara na ruvuma
Kanda yanyanda za juu kusini kuna iringa njombe mbeya na songwe
Kanda ya magharibi au ziwa tanganyika ni kigoma na rukwa na katavi
KAnda ya ziwa ni shinyanga simiyu mara geita mwanza na kagera
Nazani nimeeleza... hiyo kanda ya kati ipo wapi katika hizo kanda nne? (Je hizo ni kanda (zones) au pande?)Umesoma jiografia mkuu? Kusini, Kaskazini, Mashabiki na Magharibi, haya hiyo Kanda ya ziwa iko wapi kwenye hizo nne?
Lala weweeeNazani nimeeleza... hiyo kanda ya kati ipo wapi katika hizo kanda nne? (Je hizo ni kanda (zones) au pande?)
Nchi yetu tume igawa kwa kanda... nqzo ndizo hizo...
Hiyo ni clue jeshi la police limepewa liifanyie kaziWe umejuaje kama zilipelekwa usiku mkoa wa kaskazini mwa nchi.
Ni sahihi mkuu ngoja polisi ifanye kazi ronja muhimu .Hiyo ni clue jeshi la police limepewa liifanyie kazi
Mzee kwahiyo Mwanza haipo Kaskazini?View attachment 2441291
View attachment 2441292
Hao juu chadema na kanda zao....
Hizi chini ni ofisi mbalimbali zikitambua kanda zilizopo... na wakiwa na ofisi ktk kanda hizo....
View attachment 2441293
View attachment 2441294
View attachment 2441295
View attachment 2441296
Mgeni wa Jiji
nguvu
Rutagwerera Sr
BrownRange
Stress Challenger
Pia kuna tofauti kati ya Kanda na pande kuu za dunia...
Katika mpira tuna kanda zetu...
Ukienda CAF wana kanda zao kwa majina kuna CECAFA Concaf nk
Ukienda ktk utawala pia
Ukienda ktk mashirikiano ya kimataifa hivyo hivyo
Sasa shida nazani ni uelewa wa raia ktk kuelewa mambo kwa mapana yake...
Mkuu mimi nimesema Mwanza ipo Kaskazini anatokea mtu anakataa Mwanza haipo Kaskazini, hiyo Kanda ya ziwa haipo Kaskazini?Nazani nimeeleza... hiyo kanda ya kati ipo wapi katika hizo kanda nne? (Je hizo ni kanda (zones) au pande?)
Nchi yetu tume igawa kwa kanda... nqzo ndizo hizo...
Tazama ramani tena.Mwanza haipo kaskazini
Mimi nimeamua kumuacha tu aisee 😅Mzee kwahiyo Mwanza haipo Kaskazini?
Ipo kusini mashariki ina pakana na msumbiji na bahari ya hindiMzee kwahiyo Mwanza haipo Kaskazini?
Rushwa na wizi, kwa Tz yetu, ni janga kama ilivyo umasikini na ujinga. Tunahitaji uokovu na kujitambua kwa hali ya juu ili tujikomboe.Habari za mapumziko,
Inasemekana walioiba Silaha kwenye ofisi za TAKUKURU huko Handeni ni maafisa TAKUKURU wenyewe.
Chanzo chetu kutoka Handeni kinasema maafisa hao wakishirikiana na watu wa ishu/Majambazi walisuka njama za kuziiba silaha hizo huku wakiahidiwa kupewa donge nono.
Inasemekana siku ya tukio washukiwa walikuwa wote kwenye baa moja maarufu wilayani hapo wakikamilisha mpango huo.
Mnyetishaji wetu anasema hakukuwa na uvunjifu wowote na kutupwa kwa funguo ni geresha iliyopangwa na maafisa hao ili kuonesha kwamba walikuwa ni majambazi.
silaha hizo zilisafirishwa usiku na kupelekwa mkoa mmoja huko kaskazini mwa nchi ambako kuna ujambazi mwingi.
Tunazishauri mamlaka zinazohusika ziwabane MAAFISA TAKUKURU Ili wakaoneshe silaha zilipo kwani wao ndiyo wahusika kwenye mpango huu.
Nawasilisha
Mikoa ya kaskazini inajulikana hamna haja ya kutazamaTazama ramani tena.
Tunaka kusahihisha makosa ya kukaririshwa.Tazama upya ramani.Mikoa ya kaskazini inajulikana hamna haja ya kutazama