Tetesi: Handeni, walioiba silaha Ofisi za TAKUKURU ni TAKUKURU wenyewe

Mkuu basi kuwa hodari kutiririka takwimu na njia zipi zitattua shida zetu na msosi matumbo yetu ya changamke.
 
Umesoma jiografia mkuu? Kusini, Kaskazini, Mashabiki na Magharibi, haya hiyo Kanda ya ziwa iko wapi kwenye hizo nne?
Nazani nimeeleza... hiyo kanda ya kati ipo wapi katika hizo kanda nne? (Je hizo ni kanda (zones) au pande?)

Nchi yetu tume igawa kwa kanda... nqzo ndizo hizo...
 
Nazani nimeeleza... hiyo kanda ya kati ipo wapi katika hizo kanda nne? (Je hizo ni kanda (zones) au pande?)

Nchi yetu tume igawa kwa kanda... nqzo ndizo hizo...
Lala weweee
 



Hao juu chadema na kanda zao....

Hizi chini ni ofisi mbalimbali zikitambua kanda zilizopo... na wakiwa na ofisi ktk kanda hizo....








Mgeni wa Jiji
nguvu
Rutagwerera Sr
BrownRange
Stress Challenger

Pia kuna tofauti kati ya Kanda na pande kuu za dunia...

Katika mpira tuna kanda zetu...

Ukienda CAF wana kanda zao kwa majina kuna CECAFA Concaf nk

Ukienda ktk utawala pia

Ukienda ktk mashirikiano ya kimataifa hivyo hivyo

Sasa shida nazani ni uelewa wa raia ktk kuelewa mambo kwa mapana yake...
 
Eti inasemekana.
Ni wivu tu zidi ya watumishi
 
Mzee kwahiyo Mwanza haipo Kaskazini?
 
Nazani nimeeleza... hiyo kanda ya kati ipo wapi katika hizo kanda nne? (Je hizo ni kanda (zones) au pande?)

Nchi yetu tume igawa kwa kanda... nqzo ndizo hizo...
Mkuu mimi nimesema Mwanza ipo Kaskazini anatokea mtu anakataa Mwanza haipo Kaskazini, hiyo Kanda ya ziwa haipo Kaskazini?
 
Pale Handeni ofisi ya Takukuru naifahamu ilipo kwa mazingira yale ni ngumu kusema mtu atoke mtaani huko akaibe kitu pale wanechukua kirahisi harafu wakaamua kutangaza kuwa wameibiwa nani akaibe siraha hapo nadhani taarifa haikuja sawa wangenyoosha Lugha kuwa wajiibia siraha na kutangaza wameibiwa...ila Bongo hawachelewi kumbambikia mtu kesi na kusema yeye ndio kaiba ili wao waendelee kula bata ..
 
Rushwa na wizi, kwa Tz yetu, ni janga kama ilivyo umasikini na ujinga. Tunahitaji uokovu na kujitambua kwa hali ya juu ili tujikomboe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…