saidoo25
JF-Expert Member
- Jul 4, 2022
- 624
- 1,456
MTANGAZAJI maarufu na Mchambuzi maarufu wa Siasa za Tanzania, Gerald Hando ameweka wazi msimamo wake kutokubaliana na utaratibu wa Serikali inavyokopa poka hovyo na kusisitiza kuwa uamuzi wa Job Ndugai kuzungumzia mikopo haukuwa mbaya na hakupaswa kujiuzulu.
"Hakuna kibaya alichokisema Ndugai mimi binafsi sipendi Serikali inavyokopa kopa hovyo wewe unapenda? hapana, Serikali inakopa sana si tunaona kila siku na wenyewe hata Rais kafafanua lakini bado nasema hivi tunakopa sana bado inaonekana hatujajikwamua, kukopa sana sio ujanja maana tutalipa tu" amesema Hando.
Hando amesisitiza kuwa mikopo nchi inayoingia lazima tutailipa na walipaji ni sisi watanzania wote yaani mimi na wewe.
"na huu ugumu wa maisha tunaopitia ni kwa sababu ya haya madeni si tunalipa?, mimi nalipa wewe unalipa kila mtu analipandio tunalalamika hali ngumu kwa sababu we have to paykwa hiyo Spika hakukosea sana kiukweli labda sijui nini kilimsibu Mzee Ndugai" amesema Hando akizungumza kwenye Kipindi cha Joto la Asubuhi leo Disemba 28, 2022.