Hando aungana na Ndugai kupinga Serikali inavyokopa kopa ovyo

Huwa hampendi kukumbushwa ule utoto wenu wa 2015 eti Nyerere aliitabiria CHADEMA kuingia ikulu.
mm na siasa wap na wap yaan ww unamatack mtu bafala ya kushambulia mawazo yake unamuona yeye ni useles wakati ww ndo useless zaid
 
mm na siasa wap na wap yaan ww unamatack mtu bafala ya kushambulia mawazo yake unamuona yeye ni useles wakati ww ndo useless zaid
Duuuh! Unasema wewe na siasa ni Mbingu na ardhi lakini hapo hapo upo jukwaa la siasa. Hii ndio Tanzania.

Hata sijamu-attack mleta mada ila nilitaka aelezee ukweli wa kauli ya Hando kwa kuiquote kauli ya Ndugai mpaka mwisho.

Na ndio maana nikatolea mfano wa kauli nyingine iliyokuwa inatumika ndivyo sivyo na wakajipa matumaini hewa ya ushindi
 
Huyo Bando Ni mburula wa Uchumi,mwambieni kinachoongoza mikopo Ni mahitaji ya miradi bila kuharibu economic ceiling Kama inavyoonekana hapa chini 👇

 
Huyu mama anapenda kukopa aliesema nchi inajengwa KWa hawamu MOJA ni nani? Kukopa Sana sio sifa
Anakopa kwa ajili ya kununulia manukato ya mwili wake au kwa ajili ya kumalizia miradi aliyoachiwa na JPM?.

Kaamua kuwa muwazi kwamba serikali yake inakopa tofauti na JPM aliyekuwa akiwatukana wafadhili jukwaani halafu akishuka anamuagiza Dotto James akae na wafadhili hao hao kwa ajili ya kukopa.
 
Tunakopa sana na tunajenga sana hivyo watu waache kupotosha jamii.
 
Panatakiwa pesa bwawani,pesa sgr,pesa mwendokasi mbagala na gongolamboto,pesa madarasa kizazi kijacho kisome,pesa kinyerezi,pesa barabara..matrilioni,yanatoka wapi!?..tozo tu mmelia,au tusijenge miundombinu,tubaki vilevile ili tuonekane hatukopi!?

Ni kweli kabisa mikopo ni mibaya lakini mi nadhani wanaosema mikopo ni mibaya waje na altenative way kwamba serikali ifanye nin kupata mapato nje na mikopo kufinance miradi na kuendesha nchi
 
Your browser is not able to display this video.
 
Kukopa ni jambo zuri.tatizo hiyo mikopo inaishia mifukoni mwa wachache.Hasa viongozi wa ccm na serikali yake.
 
Shida mpunga unapigwa na wachache.sio kwamba Hando hajui umuhimu wa mikopo.hata yeye mwenyewe atakuwa na loan benki.
 
Hivi unajua au anajua pesa za mikopo watu wanazipiga 10% ya kufa mtu , zinakopwa na kujazwa kwenye pipa lililotoboka,
 
Wtz walio wengi wenye mapenzi na nchi yao hawapendi kukopa mikopo ya kuumiza nchi kama mikopo ya awamu ya sita.Ni mpuuzi pekee anayeshangilia hiyo mikopo ya kipuuzi.
 
Hivi unajua au anajua pesa za mikopo watu wanazipiga 10% ya kufa mtu , zinakopwa na kujazwa kwenye pipa lililotoboka,
Upigaji haukwepeki hata siku moja, hizo pesa zinafanya kazi iliyokusudiwa?, hilo ni swali la muhimu.

Ile kesi ya Kitilya na Mtoto wa Sumari ni masuala haya haya ya ten percent za mikopo na huo ni mkopo mmoja tu.
 
Je ni kweli Deni la taifa hufanya vitu kupanda na gharama za maisha kuwa juu. Nahii inatokana na serikali kuongeza makato na kodi mbali mbali ili kuweza ku meet obligation kwenye kulipa madeni?
Ktk mazngira ya kawaida ambayo ndugai hakukosea ni kweli,kwa sababu ni lazma ulipe tu,na malipo ndio kodi inayoongezwa
 
mmm Nafikiri wangeanzia kwenye matumiz ya serikali, hasa. Kwenye V8
Ni kweli kabisa mikopo ni mibaya lakini mi nadhani wanaosema mikopo ni mibaya waje na altenative way kwamba serikali ifanye nin kupata mapato nje na mikopo kufinance miradi na kuendesha nch
 
Hando kanifurahisha sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…