Hanipakulii chakula anataka niende jikoni mwenyewe lakini shemeji yake anamjali

ze jj

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2012
Posts
497
Reaction score
592
Mke wangu kaanza tabia nikitoka kazini ananiambia nikajipakulie jikoni. Muda huo anamjali sana mdogo wangu wa kiume kiasi hata wakati mwingine anasema chakula kimeisha nikienda kumpa hi mdogo wangu nakuta msosi wa kutosha.
 
Mkuu tafuta kazi ufanye wacha kubweteka nyumbani,,usikubali mwanamke awe ndy mwenye kuhudumia family..

Utatumwa Hata kuosha vyombo na kumfulia chupi zake,,
usipokuwa makini.
 
MKE WANGU kaanza tabia nkitoka kazini ananiambia nkajipakulie jikoni. Muda huo anamjali Sana mdogo wangu wa kiume kiasi hata wakati mwingine anasema chakula kimeisha nkienda kumpa hi mdogo wangu nakuta msosi wa kutosha
ze keke, hakika umeolewa, Tena wewe ni raia daraja la tatu ndani ya nyumba yako mwenyewe.
🏳️‍🌈
 
Jana kazini kuna dada alitupa mkasa wake. Alipigiwa simu na old schoolmate, alimuomba amuekekeze kwake. Alipofika mkasa wake hana kazi, hana pakulala ameachika kwa mume. Aliamua kumstiri.

Mume wake ametoka kazini alimueleza kuwa tuna mgeni na wala sijui ataondoka lini. Mgeni alipata kazi ya kuuza duka, mume wake alimwambia muache akapangishe chumba aanze maisha yake. Yule dada alimuonea huruma maisha kwenye chumba cha kupanga wakati yeye ana nyumba kubwa tu.

Mpaka siku alipowakuta kitandani mume wake na rafiki yake. Ni yeye ndiye aliondoka nyumbani kwa hasira.
 
Anatupa fursa halafu tushindwe kuitumia? Mimi jamaa yangu alimuambia mukewe kuwa hataki House girl ni kuongeza tu cost, muwife ikashupaza shingo, akaleta muhousegirl mzuri sana.

Alikuja kumuondosha baada ya kuwafumania kitandani kwake
 
Dogo yuko hapo kwa sababu zipi ?
1)Anasoma
2)Anasubir kazi au anafanya kazi
3)Hana kazi
Usije kuta unaenda job unamuacha dogo na mkeo wanakamuana tu , kama ana job mlipie kodi ya mwanzo aanze maisha bora kumuhudumia akiwa mbali.
 
Dogo yuko hapo kwa sababu zipi ?
1)Anasoma
2)Anasubir kazi au anafanya kazi
3)Hana kazi
Usije kuta unaenda job unamuacha dogo na mkeo wanakamuana tu , kama ana job mlipie kodi ya mwanzo aanze maisha bora kumuhudumia akiwa mbali.
Dogo ni utingo, kaka ni dereva. Dereva akichelewa utingo anaokoa muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…