Hanipakulii chakula anataka niende jikoni mwenyewe lakini shemeji yake anamjali

MKE WANGU kaanza tabia nkitoka kazini ananiambia nkajipakulie jikoni. Muda huo anamjali Sana mdogo wangu wa kiume kiasi hata wakati mwingine anasema chakula kimeisha nkienda kumpa hi mdogo wangu nakuta msosi wa kutosha
Kuchapiwa ni Siri ya ndani
 
MKE WANGU kaanza tabia nkitoka kazini ananiambia nkajipakulie jikoni. Muda huo anamjali Sana mdogo wangu wa kiume kiasi hata wakati mwingine anasema chakula kimeisha nkienda kumpa hi mdogo wangu nakuta msosi wa kutosha
Mpeleke kwanza akapate chanjo atanyooka tu
 
MKE WANGU kaanza tabia nkitoka kazini ananiambia nkajipakulie jikoni. Muda huo anamjali Sana mdogo wangu wa kiume kiasi hata wakati mwingine anasema chakula kimeisha nkienda kumpa hi mdogo wangu nakuta msosi wa kutosha
Kama mkeo ana mdogo wa kike,nawe mnunulie chupi huyo shemeji yako,wife akili zitakaa Sawa tu,
 
Mkuu tafuta kazi ufanye wacha kubweteka nyumbani,,usikubali mwanamke awe ndy mwenye kuhudumia family..

Utatumwa Hata kuosha vyombo na kumfulia chupi zake,,
usipokuwa makini.
Mbona mi sjaona mahali jamaa kaandka anahudumiwa na mkewe yeye hana kazi? Jf kwa ujuaji khaa kwan mke kumpanda mume kichwan ni kisa hana kaz kwaiyo wote wanaoleta malalamiko humu khs wake zao bs hawana kazi
 
Mambo ya ndoa ukiyachukulia usiriazi na kuyachunguza Sana yanakushinda na hauwezi kufika mbali na mwenza wako.hivyo nikushauli kuwa usiwe mtu rigid kwenye ndoa,Wakati mwingine wake zetu huwa wanachoka,kutoka kazini sio kigezo Cha wewe kupakuliwa chakula,Kuna muda Mimi huwa natoka kwenye mihangaiko yangu nikifika home mke wangu kazi zake Ni za taratibu Sana huwa naona Kama ananichelewesha,so huwa naingia jikoni napika na kujiandalia chakula mezani,sio shida

Hata maji ya kuoga napo Ni hivyo hivyo,maana huwa naoga na mke wangu,so naweza nipeleke maji bafuni na baadae waifu anakuja tunaoga,maisha ndo huwa hivyo,usianze kumtafuta mkeo dosari kwa Jambo dogo Kama Hilo
 
MKE WANGU kaanza tabia nkitoka kazini ananiambia nkajipakulie jikoni. Muda huo anamjali Sana mdogo wangu wa kiume kiasi hata wakati mwingine anasema chakula kimeisha nkienda kumpa hi mdogo wangu nakuta msosi wa kutosha
Huyo mke inabidi uchukue hatua. Iweje akwambie chukula kimeisha wakati wewe ni baba wa familia. Chukua hatua
 
MKE WANGU kaanza tabia nkitoka kazini ananiambia nkajipakulie jikoni. Muda huo anamjali Sana mdogo wangu wa kiume kiasi hata wakati mwingine anasema chakula kimeisha nkienda kumpa hi mdogo wangu nakuta msosi wa kutosha
Jaribu kujichunguza mapungufu yako
 
MKE WANGU kaanza tabia nkitoka kazini ananiambia nkajipakulie jikoni. Muda huo anamjali Sana mdogo wangu wa kiume kiasi hata wakati mwingine anasema chakula kimeisha nkienda kumpa hi mdogo wangu nakuta msosi wa kutosha
Kula na ushibe kabla ya kurudi nyumbani.Shida siku hizi mwanaume anazani mkewe ni mama yake.Ng'ata vitu kitaa ukirudi unaongezea tu. Usishindane na mwanamke utakufa mapema.Hebu tuma Lile buku bro.
 
Back
Top Bottom