Hanipakulii chakula anataka niende jikoni mwenyewe lakini shemeji yake anamjali

Hanipakulii chakula anataka niende jikoni mwenyewe lakini shemeji yake anamjali

MKE WANGU kaanza tabia nikitoka kazini ananiambia nikajipakulie jikoni. Muda huo anamjali sana mdogo wangu wa kiume kiasi hata wakati mwingine anasema chakula kimeisha nikienda kumpa hi mdogo wangu nakuta msosi wa kutosha.
Dogo anakula mali ya kaka hapo....usife moyo, unaishi na mume mwenzio....wenyewe wanadai dunia ya leo ni kusaidiana.
 
Mkuu tafuta kazi ufanye wacha kubweteka nyumbani,,usikubali mwanamke awe ndy mwenye kuhudumia family..

Utatumwa Hata kuosha vyombo na kumfulia chupi zake,,
usipokuwa makini.
Naona Umesoma juu juu. Kasema Yeye Akitoka Kazini anambiwa Kajipakulie
 
Mambo ya ndoa ukiyachukulia usiriazi na kuyachunguza Sana yanakushinda na hauwezi kufika mbali na mwenza wako.hivyo nikushauli kuwa usiwe mtu rigid kwenye ndoa,Wakati mwingine wake zetu huwa wanachoka,kutoka kazini sio kigezo Cha wewe kupakuliwa chakula,Kuna muda Mimi huwa natoka kwenye mihangaiko yangu nikifika home mke wangu kazi zake Ni za taratibu Sana huwa naona Kama ananichelewesha,so huwa naingia jikoni napika na kujiandalia chakula mezani,sio shida

Hata maji ya kuoga napo Ni hivyo hivyo,maana huwa naoga na mke wangu,so naweza nipeleke maji bafuni na baadae waifu anakuja tunaoga,maisha ndo huwa hivyo,usianze kumtafuta mkeo dosari kwa Jambo dogo Kama Hilo
Kama umegundua malalamiko ya mleta mada ni sekta ya chakula tu.
 
Tafuta magunia mawili ya mkaa mtendee haki mkeo nadhani umenielewa au chukua senyenge uingizie kwenye mbususu yake na dogo msamahe tuu cku akioa naww lipiza kisasi
 
Mbona mi sjaona mahali jamaa kaandka anahudumiwa na mkewe yeye hana kazi? Jf kwa ujuaji khaa kwan mke kumpanda mume kichwan ni kisa hana kaz kwaiyo wote wanaoleta malalamiko humu khs wake zao bs hawana kazi
Hizo ni dalili za kudharauliwa na mwanamke,
Mara nyingi zinaletwa na kukosa shughuli maalum./kazi.
Pengine anaficha ukwl na wahuni wameshaligunduwa hilo.

Sasa kama anafanyakazi na anafanywa hivyo akiwa hana kazi si atafungiwa alale chooni?
 
Dogo anapeleka moto wa uhakika mara nne zaidi yakoo. JIONGEZE Mkuu ila usimtimue dogo mkeo
ATANUNA.
Huu ndo ukweli mchungu, huyo Dem anapelekewa Moto na mdogo mtu, ila huyo Dem ni mshamba kushindwa kubalansi shobo coz mpini kashikilia mwamba muda wowote anawatimua wote
 
Mambo ya ndoa ukiyachukulia usiriazi na kuyachunguza Sana yanakushinda na hauwezi kufika mbali na mwenza wako.hivyo nikushauli kuwa usiwe mtu rigid kwenye ndoa,Wakati mwingine wake zetu huwa wanachoka,kutoka kazini sio kigezo Cha wewe kupakuliwa chakula,Kuna muda Mimi huwa natoka kwenye mihangaiko yangu nikifika home mke wangu kazi zake Ni za taratibu Sana huwa naona Kama ananichelewesha,so huwa naingia jikoni napika na kujiandalia chakula mezani,sio shida

Hata maji ya kuoga napo Ni hivyo hivyo,maana huwa naoga na mke wangu,so naweza nipeleke maji bafuni na baadae waifu anakuja tunaoga,maisha ndo huwa hivyo,usianze kumtafuta mkeo dosari kwa Jambo dogo Kama Hilo
Issue ni kuwa dogo ana seviwa msosi kwenye plate na yeye anaambiwa akajipakulie jikoni. Hili kwako liko sawa?
 
Dogo anammega mkeo,usikute unapiga game za kitoto na dogo anatoa show ya kibabe lazima utaonekana boya tu.
 
Wakati mwingine unakuta ni mkeo ndo anamseduce mdogo wako, ni ngumu kwa mdogo wako kuruka mtego especially kama anakaa kwako
 
MKE WANGU kaanza tabia nikitoka kazini ananiambia nikajipakulie jikoni. Muda huo anamjali sana mdogo wangu wa kiume kiasi hata wakati mwingine anasema chakula kimeisha nikienda kumpa hi mdogo wangu nakuta msosi wa kutosha.
Ushaliwa na dogo
 
Back
Top Bottom