Marine creature
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 2,259
- 2,971
Hata cc wa kaskazin hatunaga tabia ya kutembeleana ovyo ovyo,hii nmeiona huku usukuman tuNimeelewa ni kwanini wazungu wanaishi baba, mama na watoto tu.
Dogo anakula mali ya kaka hapo....usife moyo, unaishi na mume mwenzio....wenyewe wanadai dunia ya leo ni kusaidiana.MKE WANGU kaanza tabia nikitoka kazini ananiambia nikajipakulie jikoni. Muda huo anamjali sana mdogo wangu wa kiume kiasi hata wakati mwingine anasema chakula kimeisha nikienda kumpa hi mdogo wangu nakuta msosi wa kutosha.
Naona Umesoma juu juu. Kasema Yeye Akitoka Kazini anambiwa KajipakulieMkuu tafuta kazi ufanye wacha kubweteka nyumbani,,usikubali mwanamke awe ndy mwenye kuhudumia family..
Utatumwa Hata kuosha vyombo na kumfulia chupi zake,,
usipokuwa makini.
Kama umegundua malalamiko ya mleta mada ni sekta ya chakula tu.Mambo ya ndoa ukiyachukulia usiriazi na kuyachunguza Sana yanakushinda na hauwezi kufika mbali na mwenza wako.hivyo nikushauli kuwa usiwe mtu rigid kwenye ndoa,Wakati mwingine wake zetu huwa wanachoka,kutoka kazini sio kigezo Cha wewe kupakuliwa chakula,Kuna muda Mimi huwa natoka kwenye mihangaiko yangu nikifika home mke wangu kazi zake Ni za taratibu Sana huwa naona Kama ananichelewesha,so huwa naingia jikoni napika na kujiandalia chakula mezani,sio shida
Hata maji ya kuoga napo Ni hivyo hivyo,maana huwa naoga na mke wangu,so naweza nipeleke maji bafuni na baadae waifu anakuja tunaoga,maisha ndo huwa hivyo,usianze kumtafuta mkeo dosari kwa Jambo dogo Kama Hilo
Ngumu kumezaDogo anapeleka moto wa uhakika mara nne zaidi yakoo. JIONGEZE Mkuu ila usimtimue dogo mkeo
ATANUNA.
Acha utumwa na kunyenyekea watu kiboyaUsipunguze upendo, endelea kumpenda na mkiwa chumbani fanya naye mazungumzo kwa kile unachokiona kwake.
Hizo ni dalili za kudharauliwa na mwanamke,Mbona mi sjaona mahali jamaa kaandka anahudumiwa na mkewe yeye hana kazi? Jf kwa ujuaji khaa kwan mke kumpanda mume kichwan ni kisa hana kaz kwaiyo wote wanaoleta malalamiko humu khs wake zao bs hawana kazi
Huu ndo ukweli mchungu, huyo Dem anapelekewa Moto na mdogo mtu, ila huyo Dem ni mshamba kushindwa kubalansi shobo coz mpini kashikilia mwamba muda wowote anawatimua woteDogo anapeleka moto wa uhakika mara nne zaidi yakoo. JIONGEZE Mkuu ila usimtimue dogo mkeo
ATANUNA.
Issue ni kuwa dogo ana seviwa msosi kwenye plate na yeye anaambiwa akajipakulie jikoni. Hili kwako liko sawa?Mambo ya ndoa ukiyachukulia usiriazi na kuyachunguza Sana yanakushinda na hauwezi kufika mbali na mwenza wako.hivyo nikushauli kuwa usiwe mtu rigid kwenye ndoa,Wakati mwingine wake zetu huwa wanachoka,kutoka kazini sio kigezo Cha wewe kupakuliwa chakula,Kuna muda Mimi huwa natoka kwenye mihangaiko yangu nikifika home mke wangu kazi zake Ni za taratibu Sana huwa naona Kama ananichelewesha,so huwa naingia jikoni napika na kujiandalia chakula mezani,sio shida
Hata maji ya kuoga napo Ni hivyo hivyo,maana huwa naoga na mke wangu,so naweza nipeleke maji bafuni na baadae waifu anakuja tunaoga,maisha ndo huwa hivyo,usianze kumtafuta mkeo dosari kwa Jambo dogo Kama Hilo
Charity begins at home!Dogo anakula mali ya kaka hapo....usife moyo, unaishi na mume mwenzio....wenyewe wanadai dunia ya leo ni kusaidiana.
Anza wewe kufa ubongo ndio kazi itaendea https://www.facebook.com/Tupate chanjo
Na kazi iendelee
Hakuna ni ile kamzoea au kachukia jambo basi amuulizeDogo anammega mkeo,usikute unapiga game za kitoto na dogo anatoa show ya kibabe lazima utaonekana boya tu.
Ushaliwa na dogoMKE WANGU kaanza tabia nikitoka kazini ananiambia nikajipakulie jikoni. Muda huo anamjali sana mdogo wangu wa kiume kiasi hata wakati mwingine anasema chakula kimeisha nikienda kumpa hi mdogo wangu nakuta msosi wa kutosha.