Hanipakulii chakula anataka niende jikoni mwenyewe lakini shemeji yake anamjali

Mimi nitaona tu powa kwani kunakitu atahitaji nanimatumizi ikifika huomuda unamwambia mwambie dogo akukeshie basi.
 
Huyo ni kati ya wale wanawake ambao wanajifanya wana haki sawa ndani ya nyumba , yaani siku anatamani akwambie na wewe upike au ufue, hayo anayo fanya kwa shemej yake nikujikosha tu aonekane ana upendo kwa ndugu zako.
 
Usile nyumbani wiki, halafu ukija kauzu, atanyooka tu
 
Mkuu kumbe unapenda KUPAKULIWA....
 
Hapa nimekaa nikiwaza mbuyu na ukubwa wote ule kumbe haukuanza vile kuna nyakati wanasema ulikuwa na udogo wa mchicha pia nawaza ule msemo mvua utanguliwa na mawingu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…