Haniulizi kwa lolote

Haniulizi kwa lolote

Huyo ashakuwa mtu mzima, anajielewa na anaelewa anataka nini hapo ulipo wewe kama unampenda muoe, ndo maisha ambayo amezoea
 
Bro habari yako!!!

Nashindwa kuanzia pa kukushauri mkuu maana inaelekea umeshindwa kumsoma kabsa mpenzi wako...
Hebu tuanze na hapa!!!

1. Kwa nini aliachana na mtu aliyezaa naye?
2. Je unayajua mahusiano yake ya nyuma?

Kwa maelezo yako nimeelewa yafuatayo...
1. Baada ya kuzaa na kuachana na aliyezaa naye huyo mwanamke aliamua kuishi as single mother na kuendelea na maisha yake untill alipokutana na wewe.
2. Aliteseka sana na mapenzi huko nyuma mpaka akaamua kuwa na moyo sugu mpaka alipokutana na wewe.

3. Ashakutana na viroja vyote vya mapenzi na akaamua kuwa na moyo mgumu mpaka alipokutana na wewe.

Baada ya hapo ndio akakutana na wewe!!! Unajua vigezo alivyotumia kukuchagua?

1. Umemzidi umri wa kutosha so akajua anakutana na mtu yuko matured na hatamsumbua.

2. Huna njaa upo vizuri kiuchumi so hutamsumbua.
3. Alikuona ni mwanaume uliyekamilika i.e real gentleman so unaweza mfuta machungu ya zamani...

Alichokuja kukipata...

1. Hukuweza kumsahaulisha ya zamani na ukajikuta unamtegemea yeye ndio akuliwaze.
2. Umejaa vituko na kukosa uvumilivu.
3. Visirani
4. Ulegelege.

Nini cha kufanya...

1. Put your effort ufungue moyo wake, mfanye azame kwenye dimbwi la mapenzi atalainika tu hakuna mkate mgumu mbele ya chai....
2. Make her feel like a woman treat her like a queen. Ataelewa tu na atakumiss siku moja...
3. Mpende na umpende zaidi ila usiwe dhaifu kwake...

Mwisho wa mwisho just marry her muda umeenda msipotezeane muda...m
 
Yani mbaba wa miaka yake kadhaa eti ananuna ili aulizwe like seriously? Unajua kuna umri unafika unaact kuendana na umri sasa anataka abembelezwe aulizwe ulizwe yani aiseee mambo mengine sio kabisa.Bidada kamuona kwa huo umri wake hastaili kufanyiwa drama za secondary ila baba wa watu ndio anataka kuanza kuonewa wivu na kununiwa[emoji1]
Nyie..!! mmmh ndiyo maana nawapendea hicho!! Wenzetu washafika anga za juu huko, siye tupo kwenye kochi twanuna!!😛😛😛
 
stop being insecure little boy,una date mwanamke kweli..be gentleman but angalau tafuta weak point yake ukikosa ni ngumu kumcontrol na mwanamke ambye huwezi mcomtrol ni ngumu kudumu nae
 
unaweza kusema hivyo kwa upande 1, utakuwa right. But huyu mdada anakid na jamaa anakid. Kiuhalisia kuna vuta n kuvute hapa. So inawezekana situation imemfanya awe hivyo kutokana na background yao.

Pia, may be mshkaj hana jipya kwa huyo mdada..awepo asiwepo hapungukiwi kitu. Akimpata better than this man lazima atakuwa mwanamke tu kama wengi tulivyowazoea. Love is feelings..manzi hana feeling kwa jamaa yupo tu kutokana na situations. Na pia age ya wote imeenda...[emoji6][emoji6][emoji6]
Mmmh kama ulikua unachungulia mawaazo yngkichwani kwangu vile
 
Hiyo ndio namna sahihi ya kuishi sio hizo drama za kutaka uonewe wivu au akupe attention.
Hiyo ndio aina ya wanawake wanaohitajika.
Oa haraka sana.
 
Yani kabla sijasoma hii comment yako nimewaza kama ulichoandika.Nimempenda bure ila huyo mwanaume ndo anapata tabu.
Mwanamke anajitambua sana huyu, huyu mwanaume ndio tatizo. Na kwa bahati nzuri mwanamke ashamjua so anakwenda nae atakavyo.
 
Confidence ni muhimu sana kwa wanawake hasa katika dunia hii yenye manyanyaso makubwa.
 
Ha ha ha sasa ikifika hapo mkuu panakua pabaya...manake hakuna haja ya kuwa na mume tena..
Jamaa eti anaomba apewe nafasi ya kuwa alone anapewa anaanza kuuliza tena!! Haki huyu mwanamke konyooo, anajua anachotaka so hasumbuliwi kichwa na mapenzi ya kiform two.
 
Yaani wewe ukikutana na wenye akili watatu unakamilisha kale kautafiti kwa watanzania....
 
Anajua sana kucontrol pyschology yako... yani hapo wewe ndiyo mwanamke yeye mwanaume... ashakutawala huna kauli juu yake... hapa anatumia mbinu za kiume kukutawala wewe na kashafanikiwa kwa asilimia zote... jiandae...
 
kipindi niko mdogo ilikua ukikosea mbele ya mgen kuna jicho flan mzaz anakupiga unajua kabisa hapani msala..
sasa ndio kinachokutokea umeanza kupoteza confidence na hyo itapelekea very soon utampoteza.
 
Back
Top Bottom