Kudo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 1,821
- 6,119
Ok sawa mitale na midimu nilikuwa nachanganya majina hapa kati ya mtoto wa Hamalcar Barca alieitwa Hasdrubal na Mkwe (son in law) wa Hamilcar alieitwa HASDRUBAL THE FAIR ambae alikuwa ni military leader,politician na pia alikuwa gavana wa Iberia.![]()
angalia kielelezo cha ramani aliyoitoa mkuu zitto junior
dola hiyo inaambaa hadi Sehemu ya Hispania.
Wakati wanajitanua hadi huko, warumi hawakujua kwa nini lakin Ulikuwa ni mkakati wa Muda mrefu ili washambulie italy na roman republic kutokea huko.
Huyo alikuwa mtoto sio mke wake kwa mujibu wa chanzo cha taarifa. na aliongoza majeshi ya Carthage kutokea sehemu ya spain (part of carthage empire). ni miongoni mwa watoto watatu wa kiume wa Barca Sr.
nadhani hakuna mkanganyiko.
ngoja wajuvi na wataalam waje waweke sawa na kuongeza madini zaidi.
Alikufa miaka saba baada ya kifo cha Hamilcar Barca na aliuwawa na mtumwa wake aliekuwa anatokea kwenye jamii za The Celtic king of Tago kama kisasi kwa kuuwa baba yake na ndugu wa huyo mtumwa......
Ok sawa but mimi napitia kitabu hiki cha MANUSCRIPTS OF THE GREEK BIBLE na nilikuwa sijaona utofauti wa majina yao sasa tuko sawa
zitto junior