Hannibal Barca: Jenerali bora wa wakati wote kutoka Africa

Hannibal Barca: Jenerali bora wa wakati wote kutoka Africa

Dola ya Rumi haipo bana...vatican haina nguvu yoyote now zaidi ya umaarufu kutokana na imani. Italy nayo imechoka tu now na uchumi wao upo taabani.
you must be kidding....do you know how much wealth they have accumulated throughout history???, kupitia mtandao wa makanisa duniani kote...dhahabu na vito vingine vya thamani wame thamanisha kwenye mabenki????
 
*Sababu nyingine ni Mgawanyiko. Kikosi kilichoongozwa na kaka yake Hasdrubal Barca kilibaki Hispania. kulinda hiyo ngome yao huku Barca yuko huko italia anapambana na kikosi chake kidogo chenye mbinu za uhakika. Warumi walijua kumdhohofisha ni kwenda kushambulia na kupashohofisha maana wasingeweza kudhubutu kushambulia kutokea tunisia kwa sababu ufukweni hao carthage wangeshindwa. Hayo yalikuwa maono ya Cornelius na Scipio (mtoto wake alitimiza hayo maono), na hiyo ndiyo ilikuwa njia pekee ya kumtoa humo italia.

''To be certain to take what you attack is to attack a place the enemy does not protect'' - Sun Tzu.
 
Back
Top Bottom