Hannibal Barca: Jenerali bora wa wakati wote kutoka Africa

Mhmhmh
 
ukiichukuwa biblia, na Quran, ukaziweka kando, Utaiona Africa mpya ya ajabu
 
Black people ignore that their ancestors, who adjusted to the material conditions of the Nile valley, are the oldest guides of humankind on the way to civilization." Cheikh Anta Diop
 
Mengi wanayaficha...

Tungetoa kila kitu ili tuone uso wa mtu mashuhuri na adhimu Afrika na hasa Huyo Hannibal.
kwenye ile sarafu ya Cartharge ni mtu mweusi bila ya shaka mbele ya tembo . Tunajuaje kwamba huyu ni Chenu Bechola Barca aitwaye Hannibaal? 1- Uchunguzi wa Carthage (sasa Tunisia) umeonyesha tu mifupa myeusi kama hapa. Kuanzia hili, inasisitizwa kwa hakika kwamba Hannibaal alikuwa mweusi kama watu wake. 2- Sarafu za Carthagini ziliwakilisha miungu tu au watu wenye nyadhifa sana katika uongozi wa Serikali. 3- Fedha hii inawezekana kuwa ya mwaka wa 217 BC na ilipatikana karibu na Ziwa Trasimeno nchini Italia, mwaka na mahali pa ushindi mkubwa wa Hannibaal dhidi ya Dola ya Kirumi. 4- Tembo nyuma ni tembo kutoka India, anayetambulika kwa masikio yake madogo. Surus, tembo mpendwa wa Hannibaal, ambaye alimchukua wakati wa ushindi wake- Mtu aliye mbele anavaa taji ya utukufu, ishara ya ushindi, sifa ya wafalme na kurithi kutoka kwa uungu wa Kigiriki Apollo. Hannibaal alikuwa ameshinda tu na alikuwa na upendo kwa tabia ya Apollo. Kuna sarafu nyingine za Carthagini zinaonyesha mtu mweusi na tembo. Lakini sarafu hii ina sifa maalum na imepatikana mahali pa ajabu. Hivyo ni sarafu ya kushinda ya ushindi katika Ziwa Trasimeno. Tunaweza kusema kwamba sarafu hii inaonyesha Chenu Bechola Barca (Hannibaal). Na kama tunavyoona, alikuwa Mwafirika wa ajabu. Ni vigumu kuchuja pua kama walivyofanya kwa masanamu ya mafarao wa Misri ya kale
huwezi kuficha pua bapa na midomo minene ya mtu mweusi.mweusi
Ankh Udja Seneb
uishimilele
mzimu wa Muhenga wetu mpendwa Hannibal
 
Asee binti fatma we ni akili kubwa sana na hazina humu JF tukipata wanawake 10 kama wwe hili bara lazima likombolewe kutoka fikra za kikoloni na kitumwa.... Popote ulipo hongera sana kamanda nazidi kujifunza mengi kupitia michango yako humu JF
 
Phoenicians – who were the Carthaginians’ ancestors – situate in the antique texts of Ras Shamra their origins in Africa, at the very frontiers of Egypt [1]. Their religion that was the same as the Carthaginians’ was copied from the Gods of the Egyptian pantheon [2]. Phoenicians were then Blacks who lived in the Near East. It was those Phoenicians who civilized Europe by introducing writing in Greece around 2786 of the African era, it is to say 1450 before the Christian era [3] and founded Carthage in 3414
 
Hawa wanubi wana historia kubwa na dunia hii..kuna mahali tulikengeuka na kuwaachia wazungu watuandikie ya kwetu
Wanubi bado wapo kule kusini mwa misri na kaskazini mwa sudan. Pale misri wamepoteza makazi yao kutokana na kujengwa bwawa la aswan. Sasa hivi ni jamii ndogo sana ni kama iliotengwa na waarabu wa Misri.kuna mmoja nilimuona Arusha aliposema yeye ni mmisri kila mtu alimbishia maana ye ni mweusi kama msomali.
 
Hao ndio wenyeji asilia...waanzilishi wa ustaarabu, ni huzuni sana, mwarabu ni mgeni kule...walipojenga bwawa la Aswan, ushahidi mwingi mno, wa ustaarabu wa kale uliteketezwa....hivi wajua Sudan ni kongwe kuliko misri na Ethiopia? Hali ya mtu mweusi inasikitisha sana
 
Alafu unamkuta muhubiri anadanganya na kitabu chake cha biblia, na shekhe na Quran, eti Farao alikuwa mtu mbaya....uwongo mtupu,natakanichomoe jambia ni mfyekelee kwa mbali
 
Black people ignore that their ancestors, who adjusted to the material conditions of the Nile valley, are the oldest guides of humankind on the way to civilization." Cheikh Anta Diop
Bibilia ndio kitabu pekee kinachomtambua mwafrika na hasa mtanzania kuwa mtu bora.
Mungu hana upendeleo.
 
Ni uongo, Rumi, iko hadi leo, Vatican pale, tena much more powerful than you think, Lucifer ni myahudi, si nyoka wa kawaida(wadjet), bali nyoka aliyelaaniwa

"The cobra in Ancient Egypt. The cobra was a major royal symbol in ancient Egypt. The uraeus was the female cobrawhich had the function of protecting the Pharaoh against his enemies. The cobra oversaw both life and death."

labda ukristo ukiisha duniani ndio mwisho wa Rumi. Biblia yako haikuyaona hayo,Wala madola ya kwanza makuu kuliko yote ya Africa.....zaidi ya kumlaani mtu mweusi....cha ajabu miongoni mwa watu weusi nyoka ni kiumbe mtakatifu mno, staarabu zote Za weusi zimemuheshimu nyoka
Unazani bahati mbaya, kampeni ya siri ya myahudi, Mwafirica amelaaniwa na wayahudi na vitabu vyao, na sisi kwa kuviamini vitabu hivi.....dini za asili mpaka leo anaheshimiwa nyoka...china, india, kaskazini ulaya na kusini America. Mpaka Australia.
 
Du noma
 
Take note of this zitto, this carries the wait of all the thread.....
 
dola la rome liko hadi leo, biblia haikuyaona haya??????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…