Ana mihemko huyo mkuuSio chuki kaongea ukweli unafiki sio kitu kizuri
Exactly 💯Ana mihemko huyo mkuu
Ukiona hivo ujue kagusa maslahi ya ninyi ma chawaNashauri uongozi wa Crown FM uchukue uamuzi mgumu hasa dhidi ya Hans ambaye anajionyesha wazi yuko kwenye payroll, na muda wote anajaribu kuonyesha anafanya retirement kwa wanaomlipa.
Mwisho anaharibu kipindi kwa kujaza utoto katika kila kitu.
Kwani kimetokea nini huko redioniSio chuki kaongea ukweli unafiki sio kitu kizuri
Dogo kasema ukweli huyoKwani kimetokea nini huko redioni
Mtoto yule Hans Raphael Sio Mchambuzi ila mshabiki Maandazi wa Utopoloni yule, Akuna Kijana Mjinga kama Yule, Na kitu Anachochambua Wala Ajuhi Nini Anachambua, Hana point yule MWIKO NYUMANashauri uongozi wa Crown FM uchukue uamuzi mgumu hasa dhidi ya Hans ambaye anajionyesha wazi yuko kwenye payroll, na muda wote anajaribu kuonyesha anafanya retirement kwa wanaomlipa.
Mwisho anaharibu kipindi kwa kujaza utoto katika kila kitu.
Hans anakomaa nakina Geof na binti kazumari hao makolo kwa kuwa anasema ukweli unaona afai crown acha roho mbaya kwaiyo akitoka hans atakaa nani kwenu Baba yako Mama yako au Dada ako wa bongo roho mbaya tuNashauri uongozi wa Crown FM uchukue uamuzi mgumu hasa dhidi ya Hans ambaye anajionyesha wazi yuko kwenye payroll, na muda wote anajaribu kuonyesha anafanya retirement kwa wanaomlipa.
Mwisho anaharibu kipindi kwa kujaza utoto katika kila kitu.
Crown haina mchambuzi hata mmoja zaidi ya mashabiki. Wale wawili ndo wa ovyo kuliko Huyo Hans. Mchambuzi unatamka hadharani unaichukia timu Fulani hapo unachambua au unapepeta mdomo.Mtoto yule Hans Raphael Sio Mchambuzi ila mshabiki Maandazi wa Utopoloni yule, Akuna Kijana Mjinga kama Yule, Na kitu Anachochambua Wala Ajuhi Nini Anachambua, Hana point yule MWIKO NYUMA
Eti wewe ni Juma Lokole!Nashauri uongozi wa Crown FM uchukue uamuzi mgumu hasa dhidi ya Hans ambaye anajionyesha wazi yuko kwenye payroll, na muda wote anajaribu kuonyesha anafanya retirement kwa wanaomlipa.
Mwisho anaharibu kipindi kwa kujaza utoto katika kila kitu.
Chawa wa MamaMimi ni chiembe, sio chawa
Yule ukimuangalia tu unajua ni kitoto cha 2000, huwa sielewi anaongea nini.Mtoto yule Hans Raphael Sio Mchambuzi ila mshabiki Maandazi wa Utopoloni yule, Akuna Kijana Mjinga kama Yule, Na kitu Anachochambua Wala Ajuhi Nini Anachambua, Hana point yule MWIKO NYUMA