Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 8,198
- 9,911
Unavaa GAUNI la saizi gani nikununulie?Nashauri uongozi wa Crown FM uchukue uamuzi mgumu hasa dhidi ya Hans ambaye anajionyesha wazi yuko kwenye payroll, na muda wote anajaribu kuonyesha anafanya retirement kwa wanaomlipa.
Mwisho anaharibu kipindi kwa kujaza utoto katika kila kitu.
Au laa, apangiwe segment ya jioni ya michezo na mtu mwingine katika kundi hilo