Hans anafaa kuondolewa katika kipindi cha michezo CrownFM, anajenga chuki isiyo na ulazima

Unavaa GAUNI la saizi gani nikununulie?
 
Jemedari Acha tabia za kinafiki kama Israel, kunya anye kuku akinya bata kaharisha
 
Tuomekusia Jemedari Saidi ukimsagia kunguni Hans kwasabu umeshindwa VIBAYA kwenye sakata hili la derby
 
Nadhani team nzima ya uchambuzi inatakiwa ibadili muenendo wako, ni kama hawavutii wasikilizaji, tofauti na wasafi fm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…