swahiba Senior
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 2,478
- 3,628
Tupatie kiundani mkuu Kipindi anapanga Hayo mapinduzi alikuwa na wadhifa gani Jeshini mwaka gani?? na Akina nani walikuwa pa1 nae na alifungwa gerezan mwaka gani na Alisamehewa na kutoka Gerezani mwaka gani?? Na Je! Kesi ya uhaini INA msamaha???Ok, lakini kumbuka reliability aliyonayo sasa baada ya msamaha wa Rais ambaye kikatiba ni holder of prerogative MERCY
Hujawahi kuwa na gari la mzigo ukaambiwa limezidi unahaki kubishaMbona story yako haileti maana haiwezekani gari lipite likiwa empty halafu liwelimezidisha uzito, hizo ni porojo...!!
Kwa nini Baba ako alipokuwa Maweni Na Zacharia Apelekwe Maweni je! Kulikuwa na connection yoyote au ilitokea kwa Bahati mbaya?? Na kwa nini Baba ako muda mfupi baada ya kuhamishiwa Butimba ZAKA nae akahamishiwa Butimba??ilikuwa ni kupangwa au ilitokea kwa Bahati mbaya?? Na kwa nini BABA ako amsaidie sana ZAKA gerezani je! Alikuwa na maslahi gani na ZAKA??Au alikuwa na maslahi gani ktk kesi ya uhaini ya ZAKA??? Ukitujibu haya maswali utakuwa umetusaidia sanaHuyu Jamaa ninachomfaham n Kiongozi simba.. Zaidi mshua kamlinda sana maweni... Mshua kahamia Butimba nayeye wakamuhamisha BUTIMBA.. Huwa ni story za mshua kila akimsikia nikiwa nae Karibu..
Nimepewa stori zake alipo kua shimoni, zinasisimua.Yap mkuu huyo Jamaa kwa Mara ya kwanza Alikuwa Gereza Maweni ambapo ndipo mshua alianzia kazi 1986, 1989 mshua akahamia Gereza kuu Butimba na huyo Jamaa muda mchache nae wakamuhamishia Gereza Butimba-Mwanza...
Hebu tujuze hiyo historia mkuuJamaa anajiamini sana, ila ana historia kubwa katika nchi hii tangu enzi za nyerere, Wachache tunamfahamu.
Hujanielewa mkuu Sio kwamba kamsaidia namaanisha kamlinda kama ambavyo askari jela wanalinda wahalifu tu.. Pia ilitokea tu kwa bahati kumbuka maweni ni Pa kawaida I mean hata ulinzi wa pale si mkali sana.. Asa wakamuhamisha pale kulingana na uzito wa kosa lake na Sababu za kiusalama zaidi MKUU...Kwa nini Baba ako alipokuwa Maweni Na Zacharia Apelekwe Maweni je! Kulikuwa na connection yoyote au ilitokea kwa Bahati mbaya?? Na kwa nini Baba ako muda mfupi baada ya kuhamishiwa Butimba ZAKA nae akahamishiwa Butimba??ilikuwa ni kupangwa au ilitokea kwa Bahati mbaya?? Na kwa nini BABA ako amsaidie sana ZAKA gerezani je! Alikuwa na maslahi gani na ZAKA??Au alikuwa na maslahi gani ktk kesi ya uhaini ya ZAKA??? Ukitujibu haya maswali utakuwa umetusaidia sana
Mzee Mwinyi aliamua kuwasamehe tu hata kama sheria hairuhusu msamaha kwa Mhaini. Alimsamehe hata Doris Liundi aliyetiwa hatiani kwa kesi ya mauaji. Huyo ndio Mzee Ruksa bwana yeye ni huruma na si sheria iliyomwongoza.Tupatie kiundani mkuu Kipindi anapanga Hayo mapinduzi alikuwa na wadhifa gani Jeshini mwaka gani?? na Akina nani walikuwa pa1 nae na alifungwa gerezan mwaka gani na Alisamehewa na kutoka Gerezani mwaka gani?? Na Je! Kesi ya uhaini INA msamaha???
Ila baba yake kwenye vita ya Uganda alisifika sana kwenye medani na aliitwa 'Black Mamba' ingawa yeye ni mweupe- nadhani alijipaka tope au masizi. Kwa hiyo ujeuri wake ni wa urithi. Kutoka hela mpaka kuwa tajiri siyo mchezo.
Historia ipi hiyo zaidi ya uhaini uliompeleka jela na kutoka kwa msamaha wa Rais Mwinyi?Jamaa anajiamini sana, ila ana historia kubwa katika nchi hii tangu enzi za nyerere, Wachache tunamfahamu.
Hana historia yoyote ya maana kwa taifa hili. Labda kama siku hizi tumeanza kutukuza watu wanaopindua na kuondoa madarakani viongozi waliochaguliwa na wananchi kidemokrasia.
Yes, we forgive but we don't FORGET!Ok, lakini kumbuka reliability aliyonayo sasa baada ya msamaha wa Rais ambaye kikatiba ni holder of prerogative MERCY
Hans Pope ni chotara ndugu zake wengi wako Ujerumani mambo safi baada ya kutoka jela walimpa mtaji wa kutosha akafungua biasharaZacharia Hans Pope,,,kapataje utajiri wa kutisha namna hii sabab jamaa ana mihela balaaa,malori kama daladala so unajiuliza kutoka mwanajeshi,then jela halafu bonge ya tajiri ha ha ha kweli hii ndio tanzania...
Yote kwa yote namkumbuka zaid kwa kauli yake kuhusu yanga baada ya kuwapumulia na kuwalowesha yanga bao 5 aliwaambia tumewapa SUPU YA MAWE NA PILIPILI YA MIIBA
Mayunga ndie alikuwa anaitwa black mamba ? Hebu jaribu kukumbuka tenaStory za vijiweni;Black Mamba ni Mayunga sio baba yake Hans!!Baba yake Hans alikua Polis na ni mmoja wa watu wa mwanzo kuuawa na mashambuliz ya Amin Kagera
Na Mwita Marwa alijulikana kwa jina la "KAMBALE" wakati wa vita ya KageraNimekwisha kusahihishwa hata hivyo Black Mamba alikuwa Gen Walden na Mayunga alikuwa kamanda Mti Mkavu.