Mayunga ni Mti MkavuMayunga ndie alikuwa anaitwa black mamba ? Hebu jaribu kukumbuka tena
Manji ndo alimwambia mkuu wa sasa hiyo kauli ambayo ndo inamtafunaAlisema `sijibizani na mbwa bali naongea na mwenye mbwa....` huko kwingine na wewe tafiti nani alikuwa mbwa na nani mwenye mbwa.
Sio kweli hadithi tuuu.kwani mizaniAliwahi kumlipisha mkulu akiwa waziri wa usafirishaji
ilikuwa pale kibaha mizani kila magari yake yakipita yanaambiwa yamezidi mzigo mkubwa ikaenda hivyo miaka kibao siku moja wakacheza bonge la issue wakafunga vzr malori kama nane hivi na documents zikionyesha kuwa wamebeba mzigo yalipofika mizani wakaambiwa kama kawaida kuwa mzigo umezidi
Basi wakabiwa waache magari hapo atakuja mwenyewe kesho wakaacha document na funguo za magari yote
Oooooooh kesho kaenda pale mizani akasomewa mashitaka akalipa wakati wanamkabidhi akasema ngoja ahakikishe mzigo lallalallalaallalalalalala yeye akijua kabisa kuwa hakuna kitu alifungua na wao wakiwepo gari hazina kitu kesi yake ilikuwa si mchezo serikali ikalipa pakubwa sana
Jamaa aliyepata ukulu kwa shida anakisasi sio kidogo
Ya kupindua ...Jamaa anajiamini sana, ila ana historia kubwa katika nchi hii tangu enzi za nyerere, Wachache tunamfahamu.
Ujenzi umesimama, anasikilizia kwanza.....Hilo gorofa refu ndo Hanspope hotel iringa town
sio wanasema aliekuwa mwanajeshi ni baba yake?Jamaa anajiamini sana, ila ana historia kubwa katika nchi hii tangu enzi za nyerere, Wachache tunamfahamu.
....mhehe wa "kuboma"Huyo ni Mjerumani na tunajua ni watu makini na wachapa kazi lkn alipe tu kodi kwani awamu hii hamna jinsi.
..nani kakuambia...mafundi wapo ktk finishingUjenzi umesimama, anasikilizia kwanza.....
Hebu tujuze hiyo historia mkuu
Sio kweli unalisha watu matango pori kama hauna hakika na jambo ama taarifa u better askIla baba yake kwenye vita ya Uganda alisifika sana kwenye medani na aliitwa 'Black Mamba' ingawa yeye ni mweupe- nadhani alijipaka tope au masizi. Kwa hiyo ujeuri wake ni wa urithi. Kutoka hela mpaka kuwa tajiri siyo mchezo.
baba yake aliyekuwa Kamanda wa police (RPC) mkoa wa kagera aliuawa na majeshi ya nduli idd amini kule mtukula na akadhaniwa ni mchina kwa kuwa ni chotara na nduli akatangaza tz inasaidiwa na majeshi ya China kumbe jamaa ni mnyalu mwenye asili ya kizunguHumjui Captain zakaria Hanspope wewe nyamaza tu
Mkuu vipi limeshaisha? Naona kimya..nani kakuambia...mafundi wapo ktk finishing
Hanspope mbona sijamuona siku ya kukabidhiwa kombe na raisi
mkuu unamkumbuka huyo waziri?Huyu Hans Pope nakumbuka aliwahi kujibizana na waziri mmoja kwenye serikali iliyopita kama sikosei, sijui ni waziri gani kuhusu mizani na magari yake kuzidi alimjibu vibaya sana aisee yaani mpaka niliona aibu mimi mwenyewe!!!
anabakia kuwa mwanaume wa shoka.Kitendo cha yeye kushiriki katka jaribio la kumpindua rais aliyechaguliwa kidemokrasia kinamfanya kuwa mtu wa kawaida katika taifa hili mpaka atakapoingia kaburini. Ndio maana hivyo vyeo atavipata huko huko private sector. Hawezi kugombea ubunge wala urais wa nchi hii kwa sababu moja kubwa kwamba ana historia chafu ambayo haiwezi kufutika kwa kuifadhili Simba au kuwa na malori mengi.
akumbuke wakati unaona kabisa hajui,yaani unarekebisha kosa kwa kukosea.Mayunga ndie alikuwa anaitwa black mamba ? Hebu jaribu kukumbuka tena
Duh Bas ndo maana jamaa ana kisasi nayeAliwahi kumlipisha mkulu akiwa waziri wa usafirishaji
ilikuwa pale kibaha mizani kila magari yake yakipita yanaambiwa yamezidi mzigo mkubwa ikaenda hivyo miaka kibao siku moja wakacheza bonge la issue wakafunga vzr malori kama nane hivi na documents zikionyesha kuwa wamebeba mzigo yalipofika mizani wakaambiwa kama kawaida kuwa mzigo umezidi
Basi wakabiwa waache magari hapo atakuja mwenyewe kesho wakaacha document na funguo za magari yote
Oooooooh kesho kaenda pale mizani akasomewa mashitaka akalipa wakati wanamkabidhi akasema ngoja ahakikishe mzigo lallalallalaallalalalalala yeye akijua kabisa kuwa hakuna kitu alifungua na wao wakiwepo gari hazina kitu kesi yake ilikuwa si mchezo serikali ikalipa pakubwa sana
Jamaa aliyepata ukulu kwa shida anakisasi sio kidogo
hata kama ukiwa sio ccm ila ukiwa yanga tu akili zako lazma ziwe hazina akiliNakumbuka enzi ya mgogoro wa mizani na malori ya mizigo, mtukufu akiwa waziri mwenye dhamana na mizani ya barabarani, ndugu Hans Pope alimtolea lugha ya dharau sana mtukufu. Hapa naangalia ITV taarifa, lory zake za mafuta zaidi ya kumi zimebanwa na TRA TUNDUMA wakidaiwa arrears of kodi. Cha kushangaza karibu gari zote ni za HANSI POPE. Mimi si ccm hata kidogo. Naichukia ccm na viongozi wake. Ila pamoja na hayo dharau ya HANS POPE ilizidi kipimo. Simba toeni ushauri kwa jamaa yenu.