Hans Pope, jeuri na kisiki

Hans Pope, jeuri na kisiki

Aliwahi kumlipisha mkulu akiwa waziri wa usafirishaji

ilikuwa pale kibaha mizani kila magari yake yakipita yanaambiwa yamezidi mzigo mkubwa ikaenda hivyo miaka kibao siku moja wakacheza bonge la issue wakafunga vzr malori kama nane hivi na documents zikionyesha kuwa wamebeba mzigo yalipofika mizani wakaambiwa kama kawaida kuwa mzigo umezidi

Basi wakabiwa waache magari hapo atakuja mwenyewe kesho wakaacha document na funguo za magari yote

Oooooooh kesho kaenda pale mizani akasomewa mashitaka akalipa wakati wanamkabidhi akasema ngoja ahakikishe mzigo lallalallalaallalalalalala yeye akijua kabisa kuwa hakuna kitu alifungua na wao wakiwepo gari hazina kitu kesi yake ilikuwa si mchezo serikali ikalipa pakubwa sana
Jamaa aliyepata ukulu kwa shida anakisasi sio kidogo
Sio kweli hadithi tuuu.kwani mizani
Siinasoma vema.pia sikunakukagua mizigo mnapokabiziana au unatufanya wote watoto
 
Hilo gorofa refu ndo Hanspope hotel iringa town
a6815fbf87b85f78e35945a7dd1f4c26.jpg
Ujenzi umesimama, anasikilizia kwanza.....
 
Kamanda mstaafu huyo Anajuwa silu nyingi Za Nchi hii kama shekhe ponda
 
Ila baba yake kwenye vita ya Uganda alisifika sana kwenye medani na aliitwa 'Black Mamba' ingawa yeye ni mweupe- nadhani alijipaka tope au masizi. Kwa hiyo ujeuri wake ni wa urithi. Kutoka hela mpaka kuwa tajiri siyo mchezo.
Sio kweli unalisha watu matango pori kama hauna hakika na jambo ama taarifa u better ask
 
Humjui Captain zakaria Hanspope wewe nyamaza tu
baba yake aliyekuwa Kamanda wa police (RPC) mkoa wa kagera aliuawa na majeshi ya nduli idd amini kule mtukula na akadhaniwa ni mchina kwa kuwa ni chotara na nduli akatangaza tz inasaidiwa na majeshi ya China kumbe jamaa ni mnyalu mwenye asili ya kizungu
 
Huyu Hans Pope nakumbuka aliwahi kujibizana na waziri mmoja kwenye serikali iliyopita kama sikosei, sijui ni waziri gani kuhusu mizani na magari yake kuzidi alimjibu vibaya sana aisee yaani mpaka niliona aibu mimi mwenyewe!!!
mkuu unamkumbuka huyo waziri?
 
Kitendo cha yeye kushiriki katka jaribio la kumpindua rais aliyechaguliwa kidemokrasia kinamfanya kuwa mtu wa kawaida katika taifa hili mpaka atakapoingia kaburini. Ndio maana hivyo vyeo atavipata huko huko private sector. Hawezi kugombea ubunge wala urais wa nchi hii kwa sababu moja kubwa kwamba ana historia chafu ambayo haiwezi kufutika kwa kuifadhili Simba au kuwa na malori mengi.
anabakia kuwa mwanaume wa shoka.
 
Aliwahi kumlipisha mkulu akiwa waziri wa usafirishaji

ilikuwa pale kibaha mizani kila magari yake yakipita yanaambiwa yamezidi mzigo mkubwa ikaenda hivyo miaka kibao siku moja wakacheza bonge la issue wakafunga vzr malori kama nane hivi na documents zikionyesha kuwa wamebeba mzigo yalipofika mizani wakaambiwa kama kawaida kuwa mzigo umezidi

Basi wakabiwa waache magari hapo atakuja mwenyewe kesho wakaacha document na funguo za magari yote

Oooooooh kesho kaenda pale mizani akasomewa mashitaka akalipa wakati wanamkabidhi akasema ngoja ahakikishe mzigo lallalallalaallalalalalala yeye akijua kabisa kuwa hakuna kitu alifungua na wao wakiwepo gari hazina kitu kesi yake ilikuwa si mchezo serikali ikalipa pakubwa sana
Jamaa aliyepata ukulu kwa shida anakisasi sio kidogo
Duh Bas ndo maana jamaa ana kisasi naye
 
Nakumbuka enzi ya mgogoro wa mizani na malori ya mizigo, mtukufu akiwa waziri mwenye dhamana na mizani ya barabarani, ndugu Hans Pope alimtolea lugha ya dharau sana mtukufu. Hapa naangalia ITV taarifa, lory zake za mafuta zaidi ya kumi zimebanwa na TRA TUNDUMA wakidaiwa arrears of kodi. Cha kushangaza karibu gari zote ni za HANSI POPE. Mimi si ccm hata kidogo. Naichukia ccm na viongozi wake. Ila pamoja na hayo dharau ya HANS POPE ilizidi kipimo. Simba toeni ushauri kwa jamaa yenu.
hata kama ukiwa sio ccm ila ukiwa yanga tu akili zako lazma ziwe hazina akili
 
Back
Top Bottom