Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbali na harakati za uhaini, Zacharia Hans Pope ni mfanyabiashara maarufu aliyeajiri makumi kama sio mamia ya watanzania ktk makampuni yake aliyowekeza ktk logistics nk . Zacharia Hans Pop amekuwa Rais wa wawekezaji wa logistics Taifa kwa muda kadhaa sasa hivyo ni mdau muhimu sana ktk uchumi wa Nchi hii. Kama hayo hayatoshi huwezi kuzungumzia maendeleo ya soka la TZ bila kuuhusisha mchango wa Hans Pope ndani ya klabu ya Simba na soka kwa ujumla wake sasa sijui unataka sifa gani ili mtu awe VIP?Hana historia yoyote ya maana kwa taifa hili. Labda kama siku hizi tumeanza kutukuza watu wanaopindua na kuondoa madarakani viongozi waliochaguliwa na wananchi kidemokrasia.
Ipo humuhumu mkuu, itafute utapa Na link nyingine kuunganisha dots, ila nyingi Ni za kiingereza kwa hiyo Kama wewe Ni WA koromije basi omba mtu akusomeeTupeni historia kamili ya zacharia Hans pope, kidogo inavutia kuijua
Kitendo cha yeye kushiriki katka jaribio la kumpindua rais aliyechaguliwa kidemokrasia kinamfanya kuwa mtu wa kawaida katika taifa hili mpaka atakapoingia kaburini. Ndio maana hivyo vyeo atavipata huko huko private sector. Hawezi kugombea ubunge wala urais wa nchi hii kwa sababu moja kubwa kwamba ana historia chafu ambayo haiwezi kufutika kwa kuifadhili Simba au kuwa na malori mengi.Mbali na harakati za uhaini, Zacharia Hans Pope ni mfanyabiashara maarufu aliyeajiri makumi kama sio mamia ya watanzania ktk makampuni yake aliyowekeza ktk logistics nk . Zacharia Hans Pop amekuwa Rais wa wawekezaji wa logistics Taifa kwa muda kadhaa sasa hivyo ni mdau muhimu sana ktk uchumi wa Nchi hii. Kama hayo hayatoshi huwezi kuzungumzia maendeleo ya soka la TZ bila kuuhusisha mchango wa Hans Pope ndani ya klabu ya Simba na soka kwa ujumla wake sasa sijui unataka sifa gani ili mtu awe VIP?
Huyo black mamba unayemsema wewe sio baba yake mzazi na Cpt Zacharia Hans Pope bali black mamba (a.k.a) alikuwa Major General Walden ( marehemu) mmoja kati ya technical commenders aliyeongoza kwa ufanisi mkubwa vikosi vya JWTZ vilivyojulikana kama Amphibians troops ktk vita vya Kagera. Sasa baba yake Cpt Zacharia aliitwa Hans Pope (marehemu) huyu mpaka anauawa alikuwa RPC.Ila baba yake kwenye vita ya Uganda alisifika sana kwenye medani na aliitwa 'Black Mamba' ingawa yeye ni mweupe- nadhani alijipaka tope au masizi. Kwa hiyo ujeuri wake ni wa urithi. Kutoka hela mpaka kuwa tajiri siyo mchezo.
Nakumbuka makeke yake mitaa ya magomeni na angekuwa na busara hii leo asingeitunishia serikali misuli maana historia yake siyo safiJamaa anajiamini sana, ila ana historia kubwa katika nchi hii tangu enzi za nyerere, Wachache tunamfahamu.
Mbona story yako haileti maana haiwezekani gari lipite likiwa empty halafu liwelimezidisha uzito, hizo ni porojo...!!Aliwahi kumlipisha mkulu akiwa waziri wa usafirishaji
ilikuwa pale kibaha mizani kila magari yake yakipita yanaambiwa yamezidi mzigo mkubwa ikaenda hivyo miaka kibao siku moja wakacheza bonge la issue wakafunga vzr malori kama nane hivi na documents zikionyesha kuwa wamebeba mzigo yalipofika mizani wakaambiwa kama kawaida kuwa mzigo umezidi
Basi wakabiwa waache magari hapo atakuja mwenyewe kesho wakaacha document na funguo za magari yote
Oooooooh kesho kaenda pale mizani akasomewa mashitaka akalipa wakati wanamkabidhi akasema ngoja ahakikishe mzigo lallalallalaallalalalalala yeye akijua kabisa kuwa hakuna kitu alifungua na wao wakiwepo gari hazina kitu kesi yake ilikuwa si mchezo serikali ikalipa pakubwa sana
Jamaa aliyepata ukulu kwa shida anakisasi sio kidogo
Alifanya hivyo sababu alikwa Raisi wa umoja wa wawekezaji wa logistics Taifa.Aliwahi kumlipisha mkulu akiwa waziri wa usafirishaji
ilikuwa pale kibaha mizani kila magari yake yakipita yanaambiwa yamezidi mzigo mkubwa ikaenda hivyo miaka kibao siku moja wakacheza bonge la issue wakafunga vzr malori kama nane hivi na documents zikionyesha kuwa wamebeba mzigo yalipofika mizani wakaambiwa kama kawaida kuwa mzigo umezidi
Basi wakabiwa waache magari hapo atakuja mwenyewe kesho wakaacha document na funguo za magari yote
Oooooooh kesho kaenda pale mizani akasomewa mashitaka akalipa wakati wanamkabidhi akasema ngoja ahakikishe mzigo lallalallalaallalalalalala yeye akijua kabisa kuwa hakuna kitu alifungua na wao wakiwepo gari hazina kitu kesi yake ilikuwa si mchezo serikali ikalipa pakubwa sana
Jamaa aliyepata ukulu kwa shida anakisasi sio kidogo
Kaka hata kama angekuwa generally kwa aina ya serikali tulio nayo inabidi kujishushaHumjui Captain zakaria Hanspope wewe nyamaza tu
Nakuunga mkono mkuuAtasulubiwa sana...
Ndio maana tunamshauri kuwa apunguze jeuri hasa kwa hii serikali ili watu wasifukue makaburi na hapo ndio atakapo jutaHana historia yoyote ya maana kwa taifa hili. Labda kama siku hizi tumeanza kutukuza watu wanaopindua na kuondoa madarakani viongozi waliochaguliwa na wananchi kidemokrasia.
Alisema `sijibizani na mbwa bali naongea na mwenye mbwa....` huko kwingine na wewe tafiti nani alikuwa mbwa na nani mwenye mbwa.Siyakumbuki vizuri. Ila kulikuwa na majibizano na waziri yasiyo na staha kipindi hicho Pope akiwa na cheo kwenye umoja wa wenye malori
Kwa wahehekweli hiyo ni 5* Hotel. Duhhh
Hapo kama ndiyo hali ipo hivyo namshauri awe mpole maana atasahaulika ktk dunia ya wafanya biasharaAliwahi kumlipisha mkulu akiwa waziri wa usafirishaji
ilikuwa pale kibaha mizani kila magari yake yakipita yanaambiwa yamezidi mzigo mkubwa ikaenda hivyo miaka kibao siku moja wakacheza bonge la issue wakafunga vzr malori kama nane hivi na documents zikionyesha kuwa wamebeba mzigo yalipofika mizani wakaambiwa kama kawaida kuwa mzigo umezidi
Basi wakabiwa waache magari hapo atakuja mwenyewe kesho wakaacha document na funguo za magari yote
Oooooooh kesho kaenda pale mizani akasomewa mashitaka akalipa wakati wanamkabidhi akasema ngoja ahakikishe mzigo lallalallalaallalalalalala yeye akijua kabisa kuwa hakuna kitu alifungua na wao wakiwepo gari hazina kitu kesi yake ilikuwa si mchezo serikali ikalipa pakubwa sana
Jamaa aliyepata ukulu kwa shida anakisasi sio kidogo
Asante sana mkuuMasahihisho mkuu, Baba yake Hans Poppe alikuwa Polisi na alikuwa RPC Kagera mwanzoni mwa choko choko za nduli Idi Amin Dada. Wakati wa choko choko hizo alienda kukagua mpaka na Brig. Gen. Guido Kusiga na ndipo wakavamiwa na askari wa Uganda. Gen Kusiga alifanikiwa kuwatoroka watekaji hao lakini Mzee Poppe akauawa na maiti yake ikaonyeshwa hadharani Uganda na Idi Amin kama ushahidi kuwa Nyerere alikuwa ameleta "wachina" kumsaidia. Gen. John Butler Walden ndiye "Black Mamba" alikuwa kamanda wa mojawapo ya "axis" tatu za JWTZ zilizopewa majukumu ya kuiokomboa Kagera na baadaye kuiteka Uganda na kumwondoa Nduli Amin. Axis nyingine ziliongozwa na Gen. Mwita Marwa na Gen. Silas Mayunga huku "wachoraji wa vita" ni Gen. Richard Burton Mwalipanga Lupembe, Gen. Abdul Takadir Kitete na Gen. Gideon Fundi Sayore. Hans Poppe wana asili ya Ujerumani Wakati Gen. Walden ana asili ya Uingereza. Nawasilisha
Ok, lakini kumbuka reliability aliyonayo sasa baada ya msamaha wa Rais ambaye kikatiba ni holder of prerogative MERCYKitendo cha yeye kushiriki katka jaribio la kumpindua rais aliyechaguliwa kidemokrasia kinamfanya kuwa mtu wa kawaida katika taifa hili mpaka atakapoingia kaburini. Ndio maana hivyo vyeo atavipata huko huko private sector. Hawezi kugombea ubunge wala urais wa nchi hii kwa sababu moja kubwa kwamba ana historia chafu ambayo haiwezi kufutika kwa kuifadhili Simba au kuwa na malori mengi.
Nakumbuka walitaka kupindua nchi Mwl.Nyerere ana huruma sana waliwekwa ndani tu na baada e wakatoka.Jamaa anajiamini sana, ila ana historia kubwa katika nchi hii tangu enzi za nyerere, Wachache tunamfahamu.