libeva JF-Expert Member Joined Mar 25, 2015 Posts 4,465 Reaction score 3,615 Apr 29, 2015 #61 mito said: Mkuu hebu nielimishe zaidi hapo kwa red, Yanga wao wananufaika vipi na azam TV? manake si mechi zao wanaonyesha? Click to expand... Yanga walikataa mapema pesa ya Azam simba njaa zao wakadaka mkwanja huo
mito said: Mkuu hebu nielimishe zaidi hapo kwa red, Yanga wao wananufaika vipi na azam TV? manake si mechi zao wanaonyesha? Click to expand... Yanga walikataa mapema pesa ya Azam simba njaa zao wakadaka mkwanja huo
IL Capitano JF-Expert Member Joined Jun 30, 2014 Posts 216 Reaction score 123 Apr 29, 2015 #62 Daaa..kwakweli tuvute subira..yawezakua ndo mazima tena bahati mbaya tuna wanasheria magumashi...na faini umeiona toka kamati ya ligi..hata mkipewa hela bado zitatumika kulipa madeni..tambwe,loga,at al...hapo sijagusia mahoteli..friendz of Simba
Daaa..kwakweli tuvute subira..yawezakua ndo mazima tena bahati mbaya tuna wanasheria magumashi...na faini umeiona toka kamati ya ligi..hata mkipewa hela bado zitatumika kulipa madeni..tambwe,loga,at al...hapo sijagusia mahoteli..friendz of Simba
sembo JF-Expert Member Joined May 25, 2011 Posts 4,350 Reaction score 3,451 Apr 29, 2015 #63 Sibonike said: Mkuu,hizo zikitua ni balaa badala ya neema. Kazi itakuwa kulipa madeni halali na fake humohumo. Wapigaji hawatacheza mbali. Usije shangaa watu wanatoana macho Click to expand... Mkuu hiyo ndo hali halisi.. Na hao ndo viongozi tuliowaweka madarakani, hivyo hatuna budi kucheza pambio wanalotuimbisha.
Sibonike said: Mkuu,hizo zikitua ni balaa badala ya neema. Kazi itakuwa kulipa madeni halali na fake humohumo. Wapigaji hawatacheza mbali. Usije shangaa watu wanatoana macho Click to expand... Mkuu hiyo ndo hali halisi.. Na hao ndo viongozi tuliowaweka madarakani, hivyo hatuna budi kucheza pambio wanalotuimbisha.