Mwana Mpotevu
Platinum Member
- Sep 7, 2011
- 3,295
- 2,501
Huyu Hans Poppe si ndio yule Mhaini ambaye alitaka kumuua Nyerere na kuipindua serikali akahukumiwa kifungo cha maisha kasha akaja kuachiwa na Rais Mwinyi???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nasema hivi Magufuli akaze kamba kabiasaa haka ka ugomvi huenda kakatutoa watanzania. Mizigo yote siku zote inatakiwa isafiri kwa reli tu kupita barabarani iwe last resort huku kwetu ni kinyume reli imekua last resort matokeo yake gharama ya maisha inapanda na mbaya zaidi barabara zetu hazidumu kwa sababu ya kuelemewa. Kingine ajali zinakua nyingi ukizingati ni vijibarabara na wote tuna banana humo. Ni wakati mwafaka kwa Mwakyembe naye kuamka na kuimarisha reli zote ili zibebe mizigi hiyo. Kwa hili Magufuli namuunga mkono kwa sana!
​Magufuli anachoweza
sana ni kujikomba kwa JK kwa kumtaja kila baada ya dakika moja katika
hotuba zake!
Hebu tuangalie hoja kwanza, mambo ya Simba yatatutoa nje ya mada. Afterall, Simba imemshinda vipi wakati usajili ameusimamia na timu inaongoza ligi?Hans Poppe analake jambo,Simba imemshinda,anataka kutuaminisha kuwa Magufuli si mtu makini.
In a nutshell magufuli anaonekana na watanzania kama mtu hodari na mchapakazi , kiuhalisia mimi naona kinyume chake.
Binafsi si msafiishaji wala sina uhusiano wowote na sekta hiyo , lakini ninasafiri sana kwa barabara nchi karibu zote za Sadc ,Suala la mizani na sheria zake zinazidi Kuwa tight hapa kwetu pengine kuliko nchi nyingine za sadc, na pengine ndo tunaongoza kwa rate ya uharibifu wa barabara kuliko wenzetu kwa sababu ya ubabe wa mtu mmoja tu, MAGUFULI !!!
Uharibifu wa barabara. Kwa kiasi kikubwa unatokana na sheria mbovu zilizowekwa na kusimamiwa na viongozi husika,kulalamkikia wasafirishaji ni sawa na kuficha ukweli wa tatizo, si kweli kuwa tunabeba mizigo mizito sana. Bali tuna utaratibu mbaya wa kubeba mizigo ndo maana barabara zetu hazidumu.
Kuna mawili huwa nafikiri dhidi ya wizara hii na watendaji wake, either wananufaika na rushwa kutoka kwa wasafirishaji hivyo wanaopt njia ambazo hazitatui tatizo bali kuiongezea.mzigo serikali na mtu wa kawaida au hawajui na hawako serious kuboresha pengne kuondoa kabisa sheria kandamizi zinazopelekea watu kutocomply.
Mfano Botswana idadi ya juu ya axle ni 9 urefu mwanzo hadi mwisho ni mita 22, hapa kwetu ni axle 7 na urefu hautakiwi kuzidi mita 17!!! put it simple unapokuwa na axle nyingi ndio unavyozidi kutetea barabara na the opposite is also true,
Ningekuwa mimi ndo magufuli nijuuliza swali moja kwa nini south africa wanabeba mizigo mizito yet road network zao zina lifespan kubwa kuliko zetu na pia hawana idadi kubwa ya mizani kama sisi . Na bado wakifika Tunduma wanaona ni afadhali kuoffload mizigo na kupakia kwenye malori yetu??
Hivi kuna hasara gani Tanroad ikiruhusu axle 9 na urefu ukawa 22 metre! !! Kwa nini Trailers za Inter link ambazo zinatuika karibu africa nzima hapa kwetu ni marufuku? remember Austalia wanabeba mpaka tani 80 kwa kuongeza idadi ya axle na kuto limit urefu! Na bado barabara zao zinadumu.
Hans Poppe analake jambo,Simba imemshinda,anataka kutuaminisha kuwa Magufuli si mtu makini.

Mhazini wa TATOA ambacho ni chama cha wenye malori Tanzania amemwita Magufuli ni mtu asiyejua na ambaye anachuki kubwa kwa transporters na angeweza angewaondoa wote nchini kwa tuhuma za kufikirika kuwa wanaharibu barabara.
Amekwenda mbali zaidi kwa kusema anafikiria kuwa Magufuli anafanya makusudi ili apate mgao wake wa rushwa. Hii ni kwa sababu amewaagiza wafanyakazi wa mizani ya Iringa wawatoze faini wenye malori na kuuliza jwa nini faini zinapungua. Hans Poppe anasema faini zinapungua kwa sababu transporters wamekuwa compliant so hawatakiwi kutozwa faini ovyo.
Amesema Magufuli ndio waziri wa ovyo kuliko wote kwa kuendesha uongozi wa vitisho na amri za ovyo na kwamba mainjia wote wanamwogopa sana na wanasema hivyo. Anasema ingawa Magufuli si injinia lakini elimu yake inatosha kutoa mwongozo mzuri ila anafanya makusudi.
Amesema amri ya Magufuli kuondoa tolerance ya 5% katika uzito wa mizigo ni kinyume cha sheria kwani hiyo ni sheria au taratibu iliyowekwa tokea zamani wakati Magufuli bado anasoma.
Kwa hitimisho wameamua kusimamisha malori yote kutofanyakazi kuanzia kesho. Hii imetoka katika mahojiano na ITV 5 minutes ago. Ipo kazi!
Hans Poppe ndio nani nchi hii hadi watu tujali anachosema. Wenye malori ndio wateja wakubwa wa rushwa ya mizani. Tangu lini wenye malori wanaweza kua compliant na axle load. Wanatajirika kwa kuzidisha mzigo na kuharibu barabara zinazojengwa na umma. Uwezo wa malori ya kisasa kubeba mzigo ni mkubwa sana kuliko uwezo wa barabara tunazoweza kujenga. Matajiri wa malori wenye tamaa hutaka kujaza mzigo sawa na uwezo wa malori yao jambo ambalo huishia kufupisha maisha ya barabara kwani hazijajengwa kuhimili uzito kama huo. Wanaompakazia magufuli sio watu wenye nia njema.Mhazini wa TATOA ambacho ni chama cha wenye malori Tanzania amemwita Magufuli ni mtu asiyejua na ambaye anachuki kubwa kwa transporters na angeweza angewaondoa wote nchini kwa tuhuma za kufikirika kuwa wanaharibu barabara.
Amekwenda mbali zaidi kwa kusema anafikiria kuwa Magufuli anafanya makusudi ili apate mgao wake wa rushwa. Hii ni kwa sababu amewaagiza wafanyakazi wa mizani ya Iringa wawatoze faini wenye malori na kuuliza jwa nini faini zinapungua. Hans Poppe anasema faini zinapungua kwa sababu transporters wamekuwa compliant so hawatakiwi kutozwa faini ovyo.
Amesema Magufuli ndio waziri wa ovyo kuliko wote kwa kuendesha uongozi wa vitisho na amri za ovyo na kwamba mainjia wote wanamwogopa sana na wanasema hivyo. Anasema ingawa Magufuli si injinia lakini elimu yake inatosha kutoa mwongozo mzuri ila anafanya makusudi.
Amesema amri ya Magufuli kuondoa tolerance ya 5% katika uzito wa mizigo ni kinyume cha sheria kwani hiyo ni sheria au taratibu iliyowekwa tokea zamani wakati Magufuli bado anasoma.
Kwa hitimisho wameamua kusimamisha malori yote kutofanyakazi kuanzia kesho. Hii imetoka katika mahojiano na ITV 5 minutes ago. Ipo kazi!
Tusikubali hii blackmail ya matajiri wa malori. Wameua reli kwa kuinyang'anya hata mizigo isiyostahili kusafirishwa na malori ila reli tu. Leo hii mizigo mizito (bulky) kama cement, nondo, mabati na mafuta ya petroli inaponda barabara za lami na kuziharibu vibaya kwa kutoa rushwa kwenye mizani. Halafu wanatutisha eti waharibu tu barabara za umma ili wazidi kutajirika kwa gharama ya umma.Lets see what happens wakigoma. Bandari itasimama na meli hazitashusha mzigo. So kutakuwa na msongamano wa meli bandari ya Dar na kuifanya isikubalike zaidi. Wateja watahamia Mombasa kwa wingi. This will cost Tanzania big time.