duh! angalia avatar banaUmefafanua vizuri sana kaka. Watu wengi wanafikiri kuwa kwa kuwa wafanyabiashara wakubwa wanauza bidhaa in bulk bas wao tu ndo wanamchango mkubwa kwenye kodi, hii siyo kweli. Bidhaa hizo lazima ziende kwa walaji ambao ni wananch wa kawaida, ambapo kila bidhaa ina kiwango cha kodi ndani yake.
Hivi huyu ana mahusiano na HANSPOPE wa uhaini ?
Maroli yanaharibu barabara na ndio chanzo cha foleni mjini..hatuyataki wagome tuu
Ndugu shida Tuliyonayo kwa sasa Ni kuwa Hata Gharama za Ujenzi katika nchi yetu zipo juu kuliko nchi zinazotuzunguka!! Fikiria kwa TZ Mchina anatenda ujenzi wa barabara kwa gharama ya dola 800,000 kwa kilometer kwa Tanzania na akiwa Nchi nyingine Gharama inakuwa $ 500,000 hadi 600,000. Tena Contractor's from EU Community!! NA WACHINA WAPO $ 400,000 HADI 500,000 Tujiulize Tanzania tuna mkosi Gani? pIA Tunapata very poor quality Road!!Super, nakubaliana nawe kwamba Wachina wa zamani sio wa sasa hivi, ndio maana hata Serikali yao ikipata taharifa kwamba kuna rushwa imetembea kwenye major projects zao, basi wahusika wanahukumiwa fasta na kupigwa risasi ya kisogoni bila simile. Nchi za Kiafrica zinazo shirikiana na Wachina kwa karibu kasi yao ya maendeleo ni kubwa sana, ndiyo maana Kenya inafanya kila liwekenalo kuwa nao sambamba, Uganda nayo imewapa Wachina major projects, DRC nk - ndio maana wakina M7, Kenyatta na PK wamewapa Wachina project ya ku-modernise Reli ya kutoka Mombasa mpaka Kigali - ninavyo wajua wachina reli hii inaweza kukamilika ndani ya miaka mitatu/minne kama watafanya kazi usiku na mchana, wafanyakazi wa kichina hawahitaji kukaa kwenye a five star Hotel au kutuletea a tall order zisizo na mshiko! Taifa letu kama liko serious ku-modernise i.e kutandika reli yetu in standard gauge basi Wachina ndio wanaweza kutandika reli hii kwa kasi, kwanza kiwanda cha kutengeneza sleepers kipo Mbeya, ballast zinapatikana huko Mbeya na Dodoma/Morogoro kama sikosei - kitu ambacho Wachina wata-import kutoka kwao ni reli na machine za kumwaga ballast na kutandika reli basi, sasa Mungu akupe nini? Tukifanya makosa na kutegemea nchi za magharibi ambazo wakati mwingine hazieleweki vizuri/vigeugeu tutakwama.
Hii akili ya bavicha haina maana hata chembe.Enheeeeee,,,,,anasema barabara zinazojengwa na serikali ya ccm chini ya utawala wa Dr Jakay Mrisho Kikwete zinajengwa kwa fedha nyingi sana,tena za walipa KODI
Kama ungekuwa na uthibitisho wa kutosha ningeweza kukuelewa lakini habari ya kizandiki tu ni maneno matupu yasiyo na mantiki.
Hii akili ya bavicha haina maana hata chembe.
Kama ungekuwa na uthibitisho wa kutosha ningeweza kukuelewa lakini habari ya kizandiki tu ni maneno matupu yasiyo na mantiki.
Ndugu wanajamvi kufuatia kauli za hivi majuzi toka kwa mh.Magufuri,zimezua jambo kuna nchi kama Rwanda barabara zao zinauwezo wa kupitisha tani 80 je hizo barabara mbona bado ni imara?kwanini hizi za hapa kwetu kila siku mh.Magufuri amekua akiongeza masharti ya matumizi ya barabara hizo?kwahyo kilichopo ni kuwa barabara za magufuri ziko chini ya kiwango hivyo anahofia kuumbuka zinapoharibika mapema ndani ya mda wa kawaida.
Hivyo kitendo cha magufuri kuzidisha sheria kila kukicha za magari ya mizigo barabarani zinachangia mfumko wa bei hapa nchini, kwani kama barabara zingejengwa imala magari ya mizgo yangepakia mzigo mkubwa badala ya sasa kwa gharama ileile kwa umbari huska,lakini kwa leo gari linauwezo wa kubeba tani 60 kutoka Dar hadi Mara bila shida ila kwa ubovu wa barabara za magufuri unalazimika kubeba tani 40 kwa gharama ileile,je hapo ni kwa manufaa ya nani?pia sheria hizi za Magufuri zinachangia rushwa sana kwenye mizani nahisi atakuwa ananufaika na rushwa kwa namna moja ama nyingine bila shaka .
Mhazini wa TATOA ambacho ni chama cha wenye malori Tanzania amemwita Magufuli ni mtu asiyejua na ambaye anachuki kubwa kwa transporters na angeweza angewaondoa wote nchini kwa tuhuma za kufikirika kuwa wanaharibu barabara.
Amekwenda mbali zaidi kwa kusema anafikiria kuwa Magufuli anafanya makusudi ili apate mgao wake wa rushwa. Hii ni kwa sababu amewaagiza wafanyakazi wa mizani ya Iringa wawatoze faini wenye malori na kuuliza jwa nini faini zinapungua. Hans Poppe anasema faini zinapungua kwa sababu transporters wamekuwa compliant so hawatakiwi kutozwa faini ovyo.
Amesema Magufuli ndio waziri wa ovyo kuliko wote kwa kuendesha uongozi wa vitisho na amri za ovyo na kwamba mainjia wote wanamwogopa sana na wanasema hivyo. Anasema ingawa Magufuli si injinia lakini elimu yake inatosha kutoa mwongozo mzuri ila anafanya makusudi.
Amesema amri ya Magufuli kuondoa tolerance ya 5% katika uzito wa mizigo ni kinyume cha sheria kwani hiyo ni sheria au taratibu iliyowekwa tokea zamani wakati Magufuli bado anasoma.
Kwa hitimisho wameamua kusimamisha malori yote kutofanyakazi kuanzia kesho. Hii imetoka katika mahojiano na ITV 5 minutes ago. Ipo kazi!