Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Ana maono MEMA shida wanaoshauriwa maana mara nyingi mwenye shibe huwa hamjui mwenye njaa !Wakuu
Mbele ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uwekezaji), Prof. Kitila Mkumbo, Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Hanspaul Group, Satbir Singh Hanspaul amependekeza mwananchi anayepokea mshahara wa laki tano kushuka chini asikatwe kodi.
View attachment 3195925
Hanspaul Group - Wanajihusisha na vitu mbalimbali ila huyu hapa ni Bosi wa workshop kubwa ya ku assemble magari pamoja na kujenga bodi za magari ikiwemo kurefusha magari kama yale yanayotumika kwa utaliiAbarikiwe huyo tajiri. Je, Anamiliki viwanda vya aina gani?
Huyu mtu ambaye hana ubini wa mtu mweusi hajazaliwa kwenye shida na changamoto za kiuchumi lakini ana huruma na wananchi kuliko viongozi ambao tunashare nao ubini na mazingira ya ukuajiWakuu
Mbele ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uwekezaji), Prof. Kitila Mkumbo, Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Hanspaul Group, Satbir Singh Hanspaul amependekeza mwananchi anayepokea mshahara wa laki tano kushuka chini asikatwe kodi.
Kumbe kuna mshahara wa laki?Wakuu
Mbele ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uwekezaji), Prof. Kitila Mkumbo, Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Hanspaul Group, Satbir Singh Hanspaul amependekeza mwananchi anayepokea mshahara wa laki tano kushuka chini asikatwe kodi.
View attachment 3195925
Watakosa kodi za ma vi 8Jamaa ametoa wazo zuri sana, lakini mi tatizo ni mfumo wa hii nchi umekaa kwa kumnyonya masikini zaidi ya alienacho.
Hivi unajua kwa sasa ni mshahara kiasi ambao haikatwi kodi?Ana maono MEMA shida wanaoshauriwa maana mara nyingi mwenye shibe huwa hamjui mwenye njaa !
Huyo Tajiri anafaa kuwa Rais wa Tanzania. Kama mfanyabiashara Donald Trump kapewa urais USA hata Huyu tajiri anafaa.Hanspaul Group - Wanajihusisha na vitu mbalimbali ila huyu hapa ni Bosi wa workshop kubwa ya ku assemble magari pamoja na kujenga bodi za magari ikiwemo kurefusha magari kama yale yanayotumika kwa utalii
Na sie bodaboda tusilipe kodiWakuu
Mbele ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uwekezaji), Prof. Kitila Mkumbo, Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Hanspaul Group, Satbir Singh Hanspaul amependekeza mwananchi anayepokea mshahara wa laki tano kushuka chini asikatwe kodi.
View attachment 3195925
Naona apewe UraisHuyu jamaa apewe uwaziri wa fedha ASAP