Hanspaul: Mshahara wa Laki 5 usikatwe Kodi

Hanspaul: Mshahara wa Laki 5 usikatwe Kodi

Pia wenye mshahara wenye sifa ya kukatwa kodi, baada ya makato (yasiyo ya mikopo) takehome yao isiwe chini ya mshahara wa asiyekatwa kodi ili twende sawa, si ndiyo wajumbe?!
hivi PAYE NI NGAP ASILIMIA?
 
Sio kwamba jamaa anajitetea yeye? Mfano alikuwa akikulipa 500,000 wewe unachukua 400,000 halafu 100,000 inakuwa kodi. Wakisema chini ya 500,000 haina kodi anaanza kuwalipa watu wake 400,000 tu.
Wewe unapata 400,000 yako ile ile na yeye anaokoa 100,000 akiwa na wafanyakazi 100 hio ni 10m kwa mwezi savings.
In anyhow, Mtoza Kodi will find a way of compensating this at the expense of others or even the same beneficiaris via secondary alternatives !!!
 
nimewaza kama wewe ulivyowaza!
Kwamba, Uliingia mkataba wa kulipwa laki 500,000/= ambayo kodi yake haifiki hata hiyo 100,000/.. aje akubadilishe mkata ushuke hadi laki 4!?

Moja ya mada hapo ilikua ni namna gani serikali itaongeza purchasing power kwa wananchi, ndio jamaa akatoa wazo watu wa mshahara huo wasitozwe kodi ili hela ziongezeke kwao.
 
In anyhow, Mtoza Kodi will find a way of compensating this at the expense of others or even the same beneficiaris via secondary alternatives !!!
Kupitia bidhaa, na huduma zingine... Kwa maana watu watakua na hela na kununua kwa wingi mahitaji.
 
Hawa matapeli na mazezeta wa ccm ,hawawezi kubali hii .
Pumbavu sana hawa
 
As long as mbinyo Kwa walalahoi wenye kupata kipato duni unaendelea kuwahakikishia mabilioni ya pesa za kulipana mishahara minono ,posho nono,magari ya anasa ,mafuta na anasa nyingine basi .
 
Huyo mhindi ameongea ukweli ,na kwa mataahira wote mnaodhani uchumi unakuzwa kwa kuweka kodi na tozo kandamizi za kipuuzi kwa watu masikini hamna akili .
Hamna nchi iliyowahi kufanikiwa kukuza uchumi kwa style hii ,never
 
Wakuu

Mbele ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uwekezaji), Prof. Kitila Mkumbo, Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Hanspaul Group, Satbir Singh Hanspaul amependekeza mwananchi anayepokea mshahara wa laki tano kushuka chini asikatwe kodi.

Hanspaul ameyasema hayo siku ya Jumatano, Januari 08, 2025 katika Mkutano wa Wafanyabiashara na Wamiliki wa kampuni wa Kuhakiki Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 uliofanyika katika Serena Hotel, Dar es Salaam.
View attachment 3195925
Akili kubwa kama hii hawawezi kumwelewa
 
Ongea yake tu physically anaonekana ana huruma, Mungu ampe maisha marefu hata tu kwa hayo mawazo
 
Nchi zinafanikiwa kukuza uchumi kwa kuongeza spending power na purchasing power ya mwananchi ,mwananchi anapokuwa na kipato disposable ataspend pesa kwa wingi na hapo ndio economic growth yenye impact Kwa kila mmoja inapatikana ,maana wafanyakazi wataspend pesa mitaani ,hizo pesa zinakwenda kwenye biashara za watu,wachuuzi nk na hao watu wanaspend hizo pesa kwenye biashara zao kwa kulipa wafanyakazi , kuongeza uzalishaji na hapo hapo pesa ya kodi itapatikana mara dufu zaidi maana mzunguko wa pesa umekuwa mkubwa na wa kasi zaidi nk ,ni Feedback loop ambayo iko obvious Sana .
Huko kwa wenzetu mfano Marekani , federal reserve bank wanafanya tafiti na kutoa takwimu za spending power ndani ya kila jimbo na kwa federation nzima ya Marekani kila mwezi ,na wako serious sana hii kitu kwani spending Ndio nguvu ya uchumi wao ilipo ni hivyo hivyo kwa nchi nyingine zilizoendelea .
 
Kila siku huwa tunaongelea hili suala humu , wala si mara ya kwanza , sijasoma uchumi Ila common sense Tu inatosha kukupa picha ya hili suala .
Serikali imeajiri utitiri wa vilaza wanaojiita watu wa kodi ,sheria na wachumi na hawa mbulukenge wengine wanaojiita think-tanks WA nchi na kuwalipa mishahara mikubwa ,hawa vilaza kwanini inakuwa ngumu kwao kuliona hili wakati Sisi laymen tunaliona na kuliiimba humu miaka mingi sana sasa hivi ?
Ni upumbavu na akili dumavu kukaa na kufikiri kwamba kuna mtu toka nje atakuja alete economic growth katika nchi wakati wananchi wako hohehae taabani kiuchumi na hawawezi kufanya spending ya kuchochea internal economic growth , ni akili za kijinga kabisa ,mwananchi ndio primary source ya economic growth na si vinginevyo.

Kuhusu suala la kodi ,kupambana na wakwepa kodi na fraudsters ni kudevelop mfumo wa malipo kwa mtandao ,cash system ni mfumo wa kiduwanzi unaochochea watu kukwepa kodi , nchi nyingi zimeondoka na na mifumo ya cash ili kudhibiti tatizo la ukwepaji kodi ,kuna makampuni ,watu na wafabiashara wanapata mapato na faida lakini hayawi declared katika system ,hii ni dark economy .
Tunahitaji kuwa systematic vipato viwe katika mifumo rasmi inayoonekana na ili iwe rahisi pesa za kodi kukusanywa na pia kuondoa tatizo na kufanya ya rushwa hasa wafanyakazi wa TRA na taasisi nyingine kufanya hujuma za rushwa kama kubambikizia kesi na kushirikiana kwa rushwa na wakwepa kodi kama ilivyo sasa .
 
Watu kama hawa Africa hawahitajiki.
Na angekuwa Serikalini..angeliwa kichwa.
 
Mtanzania ni kama punda, bila bakora haendi.

Unaweza ukampa msamaha wa kodi, hela akaiona nyingi akaanza kulewa na mademu.
😁😁
Mkuu, sasa akilewa si ameongeza mzunguko na pato la Taifa kupitia kileo, purchasing power haijabagua bia, ni kwa bidhaa zote zilizo halali..
 
Back
Top Bottom