Hanspaul: Mshahara wa Laki 5 usikatwe Kodi

Hanspaul: Mshahara wa Laki 5 usikatwe Kodi

Tatizo hao wanaolipwa laki tano na chini ninwengi sana kiasi wasipokatwa kodi serikaki itapunguza mapato sana.

Hivyo, hiyo kodi ama itafutwe kwa wanaoliowa zaidi, ama serikaki ipunguze matumizi.

Hapa panatakiwa uchakataji wa namba kuangalia quantitative analysis.
Vipi kuhusu mapato ya VAT yatakayoongezeka kwa spending power ya hao watu kuongezeka?
 
Tatizo kila atakaeulizwa tusipokata hizo funds zitakuwa replaced na mapato gani mapya hakutakua na majibu
Kuongezeka kwa VAT na corporate tax kwa sababu watu watafanya manunuzi zaidi na biashara zitakuwa zaidi.
 
Vipi kuhusu mapato ya VAT yatakayoongezeka kwa spending power ya hao watu kuongezeka?
Yote hayo yanahitaji quantitative analysis, number crunching, models, beta testing on a small scale before a countrywide rollout.

Swali la kwanza ni kwamba, Watanzania asilimia ngapi wanalipwa 500,000 na chini?

Hao ni asilimia ngapi ya wafanyakazi wote?

Mapato ya serikali asilimia ngapi yanatokana na kodi zao?

Unaweza kuwa na nia nzuri ya kuwapunguzia mzigo hao kwa kuwaondolea kodi, ukajikuta unawaondoa walipa kodi 80%.

Ukaufanya mfumo usiwe sustainable.
 
Yote hayo yanahitaji quantitative analysis, number crunching, models, beta testing on a small scale before a countrywide rollout.

Swali la kwanza ni kwamba, Watanzania asilimia ngapi wanaliopwa 500,000 na chini?

Kwenye kanuni za uchumi wowote duniani consumer spending ndio component muhimu zaidi yenye impact kubwa zaidi katika GDP.

Nachelela kusema haya mahesabu yako ni muono wa sera timid. Kama tunataka kuwa ambitious, analysis ya kwanza na muhimu inayotakiwa ni Je, spending power ya raia ikiongezeka kwa %...,GDP ya nchi itaongezeka kwa asilimia ngapi au ukubwa gani. Huko katika kuongezeka kwa GDP utapata VAT na corporate tax.
 
Yote hayo yanahitaji quantitative analysis, number crunching, models, beta testing on a small scale before a countrywide rollout.

Swali la kwanza ni kwamba, Watanzania asilimia ngapi wanaliopwa 500,000 na chini?

Hao ni asilimia ngapi ya wafanyakazi wote?

Mapato ya serikali asilimia ngapi yanatokana na kodi zao?

Unaweza kuwa na nia nzuri ya kuwapunguzia mzigo hao kwa kuwaondolea kodi, ukajikuta unawaondoa walipa kodi 80%.

Ukaufanya mfumo usiwe sustainable.
Kabisa lazima deep analysis ifanyike ila kiuhalisia 80% ya employee wanalipwa hiyo 500k.
 
Kwenye kanuni za uchumi wowote duniani consumer spending ndio component muhimu zaidi yenye impact kubwa zaidi katika GDP.
Hata hiyo consumer spending inabidi ufanye projections zilizokuwa based kwenye quantitative analysis na realistic models.

Unaweza kuondoa kodi ukifikiri utawaongezea discretionary spending income watu na wata spend na ku generate economic activity, lakini kumbe watu wako ni conservatives sana, ile extra income wana save, hawatumii.

This is why you need quantitative analysis and realistic modeling
 
Kabisa lazima deep analysis ifanyike ila kiuhalisia 80% ya employee wanalipwa hiyo 500k.
Unaona sasa, hiki ndicho nilikuwa nahofia.

Kama uko sahihi, hapo maana yake serikali isamehe kodi kwa 80% ya employees.

How sustainable is that?
 
Huyu singa singa kaongea jambo la msingi sana....Time value of money
Wakuu

Mbele ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uwekezaji), Prof. Kitila Mkumbo, Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Hanspaul Group, Satbir Singh Hanspaul amependekeza mwananchi anayepokea mshahara wa laki tano kushuka chini asikatwe kodi.

Hanspaul ameyasema hayo siku ya Jumatano, Januari 08, 2025 katika Mkutano wa Wafanyabiashara na Wamiliki wa kampuni wa Kuhakiki Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 uliofanyika katika Serena Hotel, Dar es Salaam.
View attachment 3195925
 
Hata hiyo consumer spending inabidi ufanye projections zilizokuwa based kwenye quantitative analysis na realistic models.

Unaweza kuondoa kodi ukifikiri utawaongezea discretionary spending income watu na wata spend na ku generate economic activity, lakini kumbe watu wako ni conservatives sana, ile extra income wana save, hawatumii.

This is why you need quantitative analysis and realistic modeling
Wala hauhitaji analysis ya kina sana kujua Watanzania wengi hawajafikia level ya kufanya saving kuwa kipaumbele. Watu ambao majority bado wanaishi kwenye makazi duni, usafiri wa shida, maji ya shida, wanapenda kujenga zaidi nyumba zao wenyewe kuliko kupanga n.k wata save ya nini ikiwa kipato chao kitaongezeka hata kidogo tu!
 
Unaona sasa, hiki ndicho nilikuwa nahofia.

Kama uko sahihi, hapo maana yake serikali isamehe kodi kwa 80% ya employees.

How sustainable is that?
Isamehe kodi ya mapato, hao watu wanalipa kodi nyingine nyingi kama za VAT kwenye bidhaa, huduma za simu, benki n.k

Hapa bado hatujaongolea makato ya NSSF/PSSSF
 
Tatizo hao wanaolipwa laki tano na chini ninwengi sana kiasi wasipokatwa kodi serikaki itapunguza mapato sana.

Hivyo, hiyo kodi ama itafutwe kwa wanaoliowa zaidi, ama serikaki ipunguze matumizi.

Hapa panatakiwa uchakataji wa namba kuangalia quantitative analysi
 
Wala hauhutaji analysis ya kina sana kujua Watanzania wengi hawajafikia level ya kufanya saving kuwa kipaumbele. Watu ambao majority bado wanaishi kwenye makazi duni, usafiri wa shida, maji ya shida, wanapenda kujenga zaidi nyumba zao wenyewe kuliko kupanga n.k wata save ya nini ikiwa kipato chao kitaongezeka hata kidogo tu!
Unahitaji analysis kujua asilimia ngapi ya wafanyakazi Tanzania wanalipwa sh 500,000 au chini.

Kujua hao wanachangia kiasi gani cha kodi inayokusanywa.

Hata kama ni kweli kuondoa kodi kutaongeza spending na kukuza uchumi, unahitaji analysis ili kuwa na metrics za kujua umeanzia wapi kuondoa kodi, na kuondoa kodi kunapandisha uchumi kwa kiasi gani.

Unahitaji analysis, kwa vyovyote unahitaji analysis. Whether hii idea itafanya kazi au haitafanya kazi, unahitaji analysis ili kuweza kupima nini kimeenda vizuri au vibaya wapi na lini kwa sababu gani.

Hata kama idea itafanya kazi vizuri, unahitaji analysis kujua kama ingeweza kufanya vizuri zaidi. Mfano inawezekana kuondoa kodi kwa watu wanaoliowa Tsh 500,000 kukaleta uchumi mzuri, ukafurahi, lakini bila quantitative analysis utajuaje kuwa ungesamehe kuanzia Tsh 600,000 isingekupa matokeo mazuri zaidi?

Unahitaji quantitative analys, empirical data tracking.

Si nadharia za kiitikadi na kanuni za kukariri za political science.

Hizo tulishazijaribu kwenye Ujamaa zikatuangusha.
 
Isamehe kodi ya mapato, hao watu wanalipa kodi nyingine nyingi kama za VAT kwenye bidhaa, huduma za simu, benki n.k
Unahitaji quantitative analysis kufanya break down ya cost / benefit analysis na point of diminishing returns ya taxation katika Arthur Laffer's Curve.

Uangalie Arthur Laffer's Curve na kujua Region of Increasing Revenue, Region of Decreasing Revenue, na Revenue Maximizing Point.

Halafu una base kuondoa kodi hapo pamoja na similar models za additional spending itakavyo stimulate the economy.

Yani hata kama idea ni nzuri, na itakuza uchumi, unahitaji quantitative analysis kujua uweke wapi mpaka wa kusamehe kodi. Jiyo namba ya 500,000 ni arbitrary tu, haijapatikana kwa analysis. Unahitaji kupata namba ambayo inatokana na empirical data kwa quantitative analysis.
 
Unahitaji quantitative analys, empirical data tracking.

Si nadharia za kiitikadi na kanuni za kukariri za political science.

Hizo tulishazijaribu kwenye Ujamaa zikatuangusha.
Haya sio mambo ya majaribio au nadharia tu kama ujamaa ulioshindwa duniani kote. Tayari kuna mifano chungu nzima ya kuonyesha jinsi gani tax cuts na minimum regulations vina faida nyingi zaidi kiuchumi kwa nchi kuliko kinyume chake.
 
Haya sio mambo ya majarubio au nadharia tu kama ujamaa ulioshindwa duniani kote. Tayari kuna mifano chungu nzima ya kuonyesha jinsi gani tax cuts na minimum regulations vina faida nyingi zaidi kiuchumi kwa nchi kuliko kinyume chake.
Kama hujafanya quantitative analysis na empirical data by definition hayo ni mambo ya nadharia tu.

Mifano ya sehemu nyingine wakati mwingine haina maana kuwa itajirudia hivyo hivyo Tanzania.
 
Back
Top Bottom