Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 12,599
- 26,263
Sio kwamba jamaa anajitetea yeye? Mfano alikuwa akikulipa 500,000 wewe unachukua 400,000 halafu 100,000 inakuwa kodi. Wakisema chini ya 500,000 haina kodi anaanza kuwalipa watu wake 400,000 tu.
Wewe unapata 400,000 yako ile ile na yeye anaokoa 100,000 akiwa na wafanyakazi 100 hio ni 10m kwa mwezi savings.
Unawabana kwa sheria na kanuni. Spending power ikiongezeka hela itazunguka haraka na employers hawatokuwa wagumu kutoa mishahara mizuri.