hivi PAYE NI NGAP ASILIMIA?Pia wenye mshahara wenye sifa ya kukatwa kodi, baada ya makato (yasiyo ya mikopo) takehome yao isiwe chini ya mshahara wa asiyekatwa kodi ili twende sawa, si ndiyo wajumbe?!
Kurefusha magari utalii garage ....kiwanda Minjingu cha Mbolea...Abarikiwe huyo tajiri. Je, Anamiliki viwanda vya aina gani?
In anyhow, Mtoza Kodi will find a way of compensating this at the expense of others or even the same beneficiaris via secondary alternatives !!!Sio kwamba jamaa anajitetea yeye? Mfano alikuwa akikulipa 500,000 wewe unachukua 400,000 halafu 100,000 inakuwa kodi. Wakisema chini ya 500,000 haina kodi anaanza kuwalipa watu wake 400,000 tu.
Wewe unapata 400,000 yako ile ile na yeye anaokoa 100,000 akiwa na wafanyakazi 100 hio ni 10m kwa mwezi savings.
10.6% kama sikosei.hivi PAYE NI NGAP ASILIMIA?
Kwamba, Uliingia mkataba wa kulipwa laki 500,000/= ambayo kodi yake haifiki hata hiyo 100,000/.. aje akubadilishe mkata ushuke hadi laki 4!?nimewaza kama wewe ulivyowaza!
Kupitia bidhaa, na huduma zingine... Kwa maana watu watakua na hela na kununua kwa wingi mahitaji.In anyhow, Mtoza Kodi will find a way of compensating this at the expense of others or even the same beneficiaris via secondary alternatives !!!
Akili kubwa kama hii hawawezi kumwelewaWakuu
Mbele ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uwekezaji), Prof. Kitila Mkumbo, Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Hanspaul Group, Satbir Singh Hanspaul amependekeza mwananchi anayepokea mshahara wa laki tano kushuka chini asikatwe kodi.
Hanspaul ameyasema hayo siku ya Jumatano, Januari 08, 2025 katika Mkutano wa Wafanyabiashara na Wamiliki wa kampuni wa Kuhakiki Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 uliofanyika katika Serena Hotel, Dar es Salaam.
View attachment 3195925
Huyu jamaa ana kampuni inayojihusisha na ujenzi, viwanda vya packaging, kiwanda cha kukata na kuunga magari (landcruizer za watalii)Abarikiwe huyo tajiri. Je, Anamiliki viwanda vya aina gani?
Ni moja ya matajiri wakubwa na walipa kodi wakubwa Tanzania huyo..Huyu dogo ashakuwa mkurugenzy Mtendaji?
😁😁Mtanzania ni kama punda, bila bakora haendi.
Unaweza ukampa msamaha wa kodi, hela akaiona nyingi akaanza kulewa na mademu.
Yuko vizuri mnoHuyu jamaa ana kampuni inayojihusisha na ujenzi, viwanda vya packaging, kiwanda cha kukata na kuunga magari (landcruizer za watalii)
Hiyo kila mtu inategemea na idara maana majukumu yanatofautianaNapia mishahara mikubwa tupewe wote haina haja ya double standard kwakwel