Hao kwenye picha wakijifungia kwenye hicho chumba kukujadili kukumaliza umekwisha

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
8,082
Reaction score
17,838
Hiki kikundi kidogo kwenye picha kimejumuisha Waziri mkuu, waziri wa ulinzi, IDF, Mossad, Shin bet na IAF wakijifungia kwenye hicho chumba kukujadili kukumaliza umekwisha.

image-26.jpg
 
Imam Hussein FOREVER kupitia yeye tumepewa Tawfiq Allah ampe qauli thabeet kipenzi chetu cha dhati Imaam.

View attachment 3058213
Na mwananke mmoja tu
 
Naomba nijulishwe zaidi ,kwanini watu(haswa wa upande wa mama mdogo kama wewe) wanasikitika kiongozi wa hamasi kufyekwa na Israel?
Hata kiongozi wa al qaida Osama bin laden alipouwawa Kuna watu walilalamika ,Je Kuna ukweli wowote kua haya makundi ya kigaidi yanatekeleza mafundisho ya Uislam?
Maana mara nyingi wengine usema hayo makundi yanajivika Uislam lakini sio waislam ,

Why kifo hiki kiwe huzini na si shangwe? The Mongolian Savage
 
Hawa ndio walioleta ule msemo utakiona cha mtemakuni
 
Kiongozi,hiko chumba walitumia wale jamaa kupanga njama za kumuua imam Hussein
Inabidi tusuke mipango ya kukibomoa
Hahaha yani ukinikumbusha Imamu wetu alivyouwawa kikatili kulinda, kupigania na kuutetea uislamu yani naenda chumbani kwenye kona giza nakaa na kujikunyata huku nimekunja miguu nakuzamisha kichwa kwenye magoti nakukikumbatia kwa kubana kwa mikono miwili nakuangua kilio cha hatarii.

Kipenzi chetu cha dhati alipambana sana leo tumepewa Tawfiq tunauhakika wa jannah na firdaus.

Allah amfanyie wepes na ampe qauli thabeet kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein.

Jagina adriz
 
Naomba nijulishwe zaidi ,kwanini watu(haswa wa upande wa mama mdogo kama wewe) wanasikitika kiongozi wa hamasi kufyekwa na Israel?
Hata kiongozi wa al qaida Osama bin laden alipouwawa Kuna watu walilalamika ,Je Kuna ukweli wowote kua haya makundi ya kigaidi yanatekeleza mafundisho ya Uislam?
Maana mara nyingi wengine usema hayo makundi yanajivika Uislam lakini sio waislam ,

Why kifo hiki kiwe huzini na si shangwe? The Mongolian Savage
Hili swali gumu sana, nasubiri jibu
 
Back
Top Bottom